Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,799
- 71,220
Hivyo ni kwa nini lakini?Magufuli anawapenda mno viongozi duni kama Sabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo ni kwa nini lakini?Magufuli anawapenda mno viongozi duni kama Sabaya
Kwani Mbowe yuko mmoja?!Hapo kuna mmiliki wa mabasi anaitwa Mbowe , ndio chanzo cha mla rushwa anayefugwa mithili ya paka wa hoteli kukurupuka
Ndio maana mwenye wilaya yake na kamati ya ulinzi imetolea ufafanuzi..Kippi Ana Hekima Sana kuliko Hilo tutusa Sabaya maana ni Baya Kama jina lake..Hana adabu hata kdg..mama Mghwira wanamchosha Sana ..
Hai ni wilaya ya Kippi?!Ndio maana mwenye wilaya yake na kamati ya ulinzi imetolea ufafanuzi..Kippi Ana Hekima Sana kuliko Hilo tutusa Sabaya maana ni Baya Kama jina lake..Hana adabu hata kdg..mama Mghwira wanamchosha Sana ..
Huyu Ole Sabaya alitaja wamiliki wawili wa mabasi. Lim Safari na Machame kuwa ndio wahusika pamoja na wengine. Kulikua na haja ya kuwavunjia heshima kabla ya uchunguzi kufanyika? Kwa nn asingeacha jeshi la polisi lifanye kazi, watuhumiwa wapelekwe mahakamani, mashahidi wafanye yao, ndio watu watajwe sasa kuwa ndio wahalifu wa isue hiyo? (HAPA UNAGUNDUA KUWA LAKE LIMEZUNGUMZIWA KWA SABABU TAYARI ALITAJA WATU WANAOHUSIKA, KWA MAJINA YAO NA YA KAPUNI ZAO) Na zaidi akasema hana mashaka na taarifa hizo.Kwanza nataka nikuambie suala la reli kuhujumiwa halijaanza kuzungumzwa na dc wa hai Juzi ,
TRC wakati wa sikukuu walianza kulia mapema wakidai wanahujumiwa kwenye reli lakini watu wakaaa kimya ,
Amesema juzi Dc wa Korogwe hujuma izo izo za reli mkoani tanga,Imetokea ivyo ivyo wilayani mwanga
Lakini aliposema sabaya imekuwa nongwa imewaumaa sana baadhi ya watu
Lakini tijiulize kwanini dc Sabaya kwake imekuwa na muwasho imekua na inawakunakuna watu mahali imekuwa imachoma kama shubiri?
Hii yote ni jinsi dc huyo anavyotenda kazi zake zinazoonekana,zenye logic,Zenye maelezo yaliyoshiba
Na ndio kinachowawasha watu fulani hasa wahalifu wa nchi hii.
Mimi nitoe hongera kwa Dc Sabaya kwavkuendelea kuwaadabisha wahalifu bila kujali kelele zao wala vibaraka wao,
Dc @🇲 🇭 🇪 🇩 🇨 🇸 🇦 🇧 🇦 🇾 🇦 chapa kazi kaka Tanzania imechelewa sana na wengi walihusika kuchelewesha walikuwa wenzetu hata ndani ya serikali na chama ,,,,,Kanyaga Twende tumechelewa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nataka nikuambie suala la reli kuhujumiwa halijaanza kuzungumzwa na dc wa hai Juzi ,
TRC wakati wa sikukuu walianza kulia mapema wakidai wanahujumiwa kwenye reli lakini watu wakaaa kimya ,
Amesema juzi Dc wa Korogwe hujuma izo izo za reli mkoani tanga,Imetokea ivyo ivyo wilayani mwanga
Lakini aliposema sabaya imekuwa nongwa imewaumaa sana baadhi ya watu
Lakini tijiulize kwanini dc Sabaya kwake imekuwa na muwasho imekua na inawakunakuna watu mahali imekuwa imachoma kama shubiri?
Hii yote ni jinsi dc huyo anavyotenda kazi zake zinazoonekana,zenye logic,Zenye maelezo yaliyoshiba
Na ndio kinachowawasha watu fulani hasa wahalifu wa nchi hii.
Mimi nitoe hongera kwa Dc Sabaya kwavkuendelea kuwaadabisha wahalifu bila kujali kelele zao wala vibaraka wao,
Dc @🇲 🇭 🇪 🇩 🇨 🇸 🇦 🇧 🇦 🇾 🇦 chapa kazi kaka Tanzania imechelewa sana na wengi walihusika kuchelewesha walikuwa wenzetu hata ndani ya serikali na chama ,,,,,Kanyaga Twende tumechelewa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Reli inafika hai? Kamanda Hamduni leo llikua na mkuu wa wilaya ya Moshi, Kippi warioba..kutolea ufafanuzi..Hilo dubwasha lenu liliropoka tu mambo ya wilaya nyingine wakati ndo kwanza ukarabati wa kufukua njia unaendelea Moshi..Hai ni wilaya ya Kippi?!
Swali hili la kijinga muulize SabayaKwani Mbowe yuko mmoja?!
Magufuli angemsikiaje kama angedili nalo kimyakimya.Dc hakujua impact ya kauli yake, umeambiwa reli imeibiwa utapanda treni? Hili Jambo ange dili nalo kimyakimya
Wapo tena wengi tuu, tatizo ukichukua samaki wawili watatu ukawatupa kwenye tenga utasababisha na wengine waozeBoss Chakaza Kumbe bado kuna Polisi Wazalendo??? !!! Hivi hawa Viongozi hawajifunzi tu??? Cheo ni Dhamana.
Kule mbambabay kwao Freeman akina Mbowe wamejazana......nenda Mpwapwa na Kongwa wapo akina Mbowe chungu nzima bwashee!Swali hili la kijinga muulize Sabaya