Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

Hivi karibuni mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya alionekana akiongelea swala la uhujumu wa miundombinu ya reli kutoka Moshi mpaka Arusha.

Mkuu huyu alifikia hatua pia ya kusema kuwa wamiliki wa mabasi ndio wahusika wakuu wa swala hili. Hii inamaanisha alikua na data kamili kuhusu swala hili.

Leo katika taarifa ya habari ITV, kamanda wa jeshi la polisi amekanusha taarifa hizi na ni baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini kuwa mkuu wa wilaya alidanganya. Kwa kuwa si kweli kwamba miundombinu ilihujumiwa na waliotajwa si wahusika wamechafuliwa tu.

Kutokana na hili maswali yangu ni

Je, anafanya haya kwa lengo gani?

Ni mambo haya haya ya siasa?

Haya anayooneshaga runingani kuhusiana na taarifa taarifa za aina hizi nayo ni uongo?

Kutokana na hili tu, hapaswi kuwajibika?

Tunataka viongozi wa kutuletea maendeleo na si wenye lengo la kukomoa na kuumiza wananchi.

Wafanya biashara wa mabasi unganeni muhakikishe hili zimwi linapigwa chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ilivyoripotiwa na mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya kuwahusisha wafanyabiashara wa mabasi siku chache zilizopita, uchunguzi umebainisha taarifa za Mkuu wa Wilaya hazikuwa na Ukweli.

My take ; Ole Sabaya unapaswa kuomba msamaha na kuwalipa faini uliowatuhumu

Chanzo: ITV
Hivi kuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kumuamini mla rushwa Sabaya ? kwani uliona RC akihangaika na mazingaombwe ya Kitoto ya Sabaya ? hebu angalia majina yaliyotajwa na Sabaya
 
Wenye akili wanampuuzia tu

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Dc hakujua impact ya kauli yake, umeambiwa reli imeibiwa utapanda treni? Hili Jambo ange dili nalo kimyakimya
 
Kama ilivyoripotiwa na mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya kuwahusisha wafanyabiashara wa mabasi siku chache zilizopita, uchunguzi umebainisha taarifa za Mkuu wa Wilaya hazikuwa na Ukweli.

My take ; Ole Sabaya unapaswa kuomba msamaha na kuwalipa faini uliowatuhumu

Chanzo: ITV

Maswali muhimu ya kujiuliza

Kutokana na hili maswali ni

Je, anafanya haya kwa lengo gani?

Ni mambo haya haya ya siasa?

Haya anayooneshaga runingani kuhusiana na taarifa za aina hizi nayo ni uongo?

Kutokana na hili tu, hapaswi kuwajibika?

Tunataka viongozi wa kutuletea maendeleo na si wenye lengo la kukomoa na kuumiza wananchi.

Wafanya biashara wa mabasi unganeni
Dawa ni kumfungulia kesi ya madai mpka auze mashamba yao ya urithi huko shambashi,tapeli mkubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi karibuni mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya alionekana akiongelea swala la uhujumu wa miundombinu ya reli kutoka Moshi mpaka Arusha.

Mkuu huyu alifikia hatua pia ya kusema kuwa wamiliki wa mabasi ndio wahusika wakuu wa swala hili. Hii inamaanisha alikua na data kamili kuhusu swala hili.

Leo katika taarifa ya habari ITV, kamanda wa jeshi la polisi amekanusha taarifa hizi na ni baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini kuwa mkuu wa wilaya alidanganya. Kwa kuwa si kweli kwamba miundombinu ilihujumiwa na waliotajwa si wahusika wamechafuliwa tu.

Kutokana na hili maswali yangu ni

Je, anafanya haya kwa lengo gani?

Ni mambo haya haya ya siasa?

Haya anayooneshaga runingani kuhusiana na taarifa taarifa za aina hizi nayo ni uongo?

Kutokana na hili tu, hapaswi kuwajibika?

Tunataka viongozi wa kutuletea maendeleo na si wenye lengo la kukomoa na kuumiza wananchi.

Wafanya biashara wa mabasi unganeni muhakikishe hili zimwi linapigwa chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kana ukabila kale kajamaa hiyo ndio motive yake.
 
Kwanza nataka nikuambie suala la reli kuhujumiwa halijaanza kuzungumzwa na dc wa hai Juzi ,
TRC wakati wa sikukuu walianza kulia mapema wakidai wanahujumiwa kwenye reli lakini watu wakaaa kimya ,

Amesema juzi Dc wa Korogwe hujuma izo izo za reli mkoani tanga,Imetokea ivyo ivyo wilayani mwanga

Lakini aliposema sabaya imekuwa nongwa imewaumaa sana baadhi ya watu

Lakini tijiulize kwanini dc Sabaya kwake imekuwa na muwasho imekua na inawakunakuna watu mahali imekuwa imachoma kama shubiri?

Hii yote ni jinsi dc huyo anavyotenda kazi zake zinazoonekana,zenye logic,Zenye maelezo yaliyoshiba
Na ndio kinachowawasha watu fulani hasa wahalifu wa nchi hii.

Mimi nitoe hongera kwa Dc Sabaya kwavkuendelea kuwaadabisha wahalifu bila kujali kelele zao wala vibaraka wao,

Dc @⁨🇲 🇭 🇪 🇩 🇨 🇸 🇦 🇧 🇦 🇾 🇦⁩ chapa kazi kaka Tanzania imechelewa sana na wengi walihusika kuchelewesha walikuwa wenzetu hata ndani ya serikali na chama ,,,,,Kanyaga Twende tumechelewa sana.

Sabaya bana hahaha unahangaika
 
Majuzi mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya kama ilivyo kawaida yake aliita vyombo vya habari na kuwataja wafanyabiashara wawili wa usafirishaji kuwa ni wahujumu uchumi na kuwa wanahujumu reli kwa kuing'olea nati na mataluma ili mabehewa yaanguke. Hivyo waripoti Polisi.

Habari hiyo ilipokewa kwa hasira sana na Watanzania wengi kwamba watu hao ni wauaji na hata wao wanafaa kuuwawa na kuwa Sabaya ni DC mzalendo na mchapa kazi.

Uchunguzi wa Polisi umegundua kuwa habari hizo hazina ukweli na Ole Sabaya ni mzushi na muongo mkubwa awezaye kuhatarisha amani kwa tabia hiyo.

Hii sio mara ya kwanza kuja na taarifa Mara kakamata fedha bandia, Mara gongo nk lihali jeshi la Polisi hajalihusisha.

Kiongozi kama yeye kutoa taarifa za uongo kama hizo ni kuhatarisha amani aliyopewa jukumu la kuilinda. Na pengine ndio maana haivi na bosi wake RC Mgwira.

Niwakati sasa wakutupiwa jicho utendaji wake hata kama kazi maalum aliyopewa ya kumharass mbunge wa Hai
anaonekana kuifanya kwa bidii sana
Screenshot_20200123-232905.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom