Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

Reli inafika hai? Kamanda Hamduni leo llikua na mkuu wa wilaya ya Moshi, Kippi warioba..kutolea ufafanuzi..Hilo dubwasha lenu liliropoka tu mambo ya wilaya nyingine wakati ndo kwanza ukarabati wa kufukua njia unaendelea Moshi..
Reli inapita Hai lakini ndio inakarabatiwa kupitisha treni ya Abiria na Mizigo. LIM na Mache Safari hufanya Safari DSM to Arusha. Hawawezi kuwa affected na Safari za Treni Hai Hadi waharibu Reli ipitayo Hai. Nawapa pole Watuhumiwa.
 
Kazi walizoombea Muro na Sabaya ni kuua Upinzani hasa Sabaya
kafanikiwa kuizima hai kwa 100%
msishangae hata uchaguzi akapeleka 99.9% ushindi kwa CCM na Magufuli
Sabaya anatumia kila ujinga kuimaliza Hai la sivyo atapoteza ulaji,
kiboka kabisa alipochukua Fedha za jimbo na ofisi
 
Sikia mto mada Sabaya m,Gambi,Makonda na Ali Hapi hao watu hata wafanye nini hawatumbuliwi ni watoto wapendwa wa Mzee baba.

Kama unakumbuka kuna mfanya biashara aliwahi kulalamika na akatoa ushahidi wa video huyo sabaya akilazimisha rushwa kwake na kumnyanyasa lakini mzee yule hakusema kitu.

Rejea kwa mnyeti video zilikua live kabisa lakini akapandishwa cheo....

Mama nanihii niongeze chai na chapati mbili

#Goodmorning JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa vijana hawaelewi

1. Majukum yao.... ( unazi wa chama...weledi zero)

2. Hierarchy of responsibilities ( Nani afanye nini kwa ngazi na utaratibu gani hawajuwi....Vilaza)

3. Wanapenda sifa za kijinga (wazushi na wanafiki)

Enzi za Hayati baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere..... huwezi kuona uchafu wa namna hii katika watumishi wa Umma
 
Huyu DC ana matatizo.. Sijui Mh. Rais haoni matatizo yake au?? Hili sio tukio la kwanza la huyu jamaa. Yapo mengi ya aibu lakini hatuoni akichukuliwa hatua
ivi lile la ngono liliishaje? Huyu kijana hana adabu. Anadhalilisha mamlaka iliyo mteua!?
 
DC ana sources tofauti za info. Anaweza kuwa kapata info za kiintelijensia toka Usalama wa Taifa ambapo RPC hawezi jua.
Simtetei DC Ila naongeza nyama...
Labda aliwasingizia or May be not
 
Sabaya ni mpuuzi tu, tangu ajibambike usalama wa taifa FAKE, kila mwenye akili alijua huyu ni TAPELI, na kwa sababu kuna mtu MMOJA tu alieamua kumpa mdaraka makubwa ili aumize wengine maana ana sifa ya ukatili amabayo kwa awamu hii ndio kigezo kikubwa cha kuwa kiongozi.
 
DC ana sources tofauti za info. Anaweza kuwa kapata info za kiintelijensia toka Usalama wa Taifa ambapo RPC hawezi jua.
Simtetei DC Ila naongeza nyama...
Labda aliwasingizia or May be not
Sio usalama huyo, bali ANAJIITA, Sabaya anapenda sana KIKI, huo mpango kautengeneza mwenyewe ili aonekane anachapa kazi, hakuna maana ya kuharibu miundombinu ya hai amabyo hata haijaanza kazi waache kuhujumu miundombinu ya reli iliyo tayarai kazini na amabyo ndio njia kuu kutoka Dar to Kilimanjaro, Reli kupita Hai ni ile ya kuunga Arusha, sasa ina maana kutoka Hai to Arusha kuna wafanyabiashara wengi na pesa ni ndefu kuliko kutoka Dar to Moshi? Sabaya ni bwege tu.
 
Siasa ni field ngumu sana
Sijuagi kwanini
Labda ndio maana iliitwa Sayansi ya Siasa

Za Sabaya si siasa. Ni mambo ya kitoto...!

Haiingii akilini kuwa wafanyabiashara wa mabasi wawili tu Tanzania nzima, tena kutoka Wilayani kwake wanapanga kuhujumu Shirika la Reli. Ina maana treni inaathiri tu wafanyabiashara wa Hai?
 
Huyu jamaa Mpuuzi sana. Kweli siyo msouth Sudan
Huyu Pimbi anachefua mfanowe hakuna
igor-morski-7fbfb69a799e4e7f3bcf96422ccff983.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20200123-WA0018.jpeg
    IMG-20200123-WA0018.jpeg
    61.1 KB · Views: 1
Kama ilivyoripotiwa na mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya kuwahusisha wafanyabiashara wa mabasi siku chache zilizopita, uchunguzi umebainisha taarifa za Mkuu wa Wilaya hazikuwa na Ukweli.

My take ; Ole Sabaya unapaswa kuomba msamaha na kuwalipa faini uliowatuhumu


Chanzo: ITV



Maswali muhimu ya kujiuliza


Kutokana na hili maswali ni

Je, anafanya haya kwa lengo gani?

Ni mambo haya haya ya siasa?

Haya anayooneshaga runingani kuhusiana na taarifa za aina hizi nayo ni uongo?

Kutokana na hili tu, hapaswi kuwajibika?

Tunataka viongozi wa kutuletea maendeleo na si wenye lengo la kukomoa na kuumiza wananchi.

Wafanya biashara wa mabasi unganeni

Huyu anakurupuka na kubambikizia watu kesi. Hii inatokana na kukataliwa kwa maombi yake ya kutata hao wafanyabiashara wampe pesa. Ref. yule wa asante tours na lodge yake.

Kitakachofuatilia hapo ili kufunika kombe, huyo sabaya na genge lake la wahuni watatafuta namna ya kuhujumu hiyo miundo mbinu ili ionekane kuwa aliyoyasema ni kweli, pia atapandikiza watu waseme wao ndo waliotumwa na wafanya biashara hao wa mabasi kufanya huo uaribifu.
 
Kama ilivyoripotiwa na mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya kuwahusisha wafanyabiashara wa mabasi siku chache zilizopita, uchunguzi umebainisha taarifa za Mkuu wa Wilaya hazikuwa na Ukweli.

My take ; Ole Sabaya unapaswa kuomba msamaha na kuwalipa faini uliowatuhumu


Chanzo: ITV



Maswali muhimu ya kujiuliza


Kutokana na hili maswali ni

Je, anafanya haya kwa lengo gani?

Ni mambo haya haya ya siasa?

Haya anayooneshaga runingani kuhusiana na taarifa za aina hizi nayo ni uongo?

Kutokana na hili tu, hapaswi kuwajibika?

Tunataka viongozi wa kutuletea maendeleo na si wenye lengo la kukomoa na kuumiza wananchi.

Wafanya biashara wa mabasi unganeni
Hapaswi kuomba radhi bali anatakiwa awajibike au awajibishwe. Kiongozi anayesema uongo ambao unasababisha tahaluki kwa wananchi na udhalilishaji kwa watu wema hafai. Ni kanuni ya utawala bora. Lakini kama tunavyojua kwa sasa utawala bora ni adimu hakuna kitakachotokea.
 
Kuna ushahidi usio na shaka kwamba Ole Sabaya ndiye DC anayeongoza kwa kuomba rushwa nchini Tanzania kwa sasa na kwamba inawezekana akawa anashikilia namba 1 duniani ( ushahidi umo humu humu jf )

Ugomvi wake na wafanyabiashara na Matajiri wa Hai unatokana na tabia yake ya kimasikini iliyotokana na malezi duni ya kuomba omba hela kila mara kwa kutumia vitisho huku akilindwa na Jeshi la Polisi , bado haijafahamika kisa cha kukusanya pesa kwa raia wema kwa njia hii na anakozipeleka , Bali inafahamika kwamba analindwa na Mamlaka za Uteuzi

Wafanyabiashara wanaogoma kumpa mil 2 kila mwezi hutiwa misukosuko ama hubambikiwa kesi , ikiwemo hawa wamiliki wa Mabasi waliobambikwa tuhuma za kuhujumu Reli , Shukrani kwa Jeshi la Polisi Mkoa na RC kwa kulinda heshima zenu na kukataa kushiriki laana za Ole Sabaya .

..... APANDACHO MTU NDICHO ATAKACHOVUNA ......
 
Back
Top Bottom