Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

Ongea ww labda utaeleweka,hii ni chukua chako mapema ukizubaa utabakiza manyoya kuku wanaliwa na rais na familia yake.
DON SAY DAT ASNAT PLEASE!!! ASINGEONGEA KIINGELEZA PIA MNGEMSEMA KIPI KIZURI KWETU??:yo::yo::yo::yo: USHANIFAHAMU UZURI
 
hehehe, :A S 39:umejitwika ubaba mlezi?:nono:
wifi AshaDii, naomba usogee hapa kuna mtu anataka kunisubject to dna test bila sababu:nono:

Hebu usimwite dada yangu asee....hajui kuwa tunamendeana

unamendeana na nani?
kwanza una hisa ngapi humu jf? mie naongea na owners tuuuuuuuuu!
babaaaaaaaaa Mtambuzi, njoo umuone huyu bazazi.
wifi AshaDii, naomba umuone huyu bazazi hapa manake siku kakako akimlima ban ya maisha uwe shahidi wa familia!

Please leave my sister out of this....tena ukizidi kunimendea mie namwambia usivyoisha kunisumbua...

Wapenzi... Mmenifurahisha sana, nikajisahau nakudhani nipo MMU. Wifi yangu King'asti naomba achana kabisa na kaka Vin Diesel na usimjibu; mkikosana mtihani kwangu... Twen zetu shopping kuna sale mahala... :A S shade:
 
Last edited by a moderator:
Hoja hapa ni kutumia lugha ngeni na kukaripia wananchi. Yeyote yule angeweza kukosea kwa sababu Kiingereza sio lugha yetu ya kwanza.

Toka zako hapa..

wewe hukua na nia hiyo hata kidogo,

wewe ulidhan yule mama alikosea kitu ambacho sicho,umechoka ulipopewa facts na umeishiwa nguvu kabisa..
 
Dingiswayo... Tunakoelekea, imekuwa kawaida kwa viongozi kutupia maneno ya kiingereza wanapo address wananchi. Na naomba niunge mkono kwa ujumbe aliotoa Mama Salma Kikwete. Ila tu hayo maneno aliyo ongea kwa kiingereza angeongea kwa Kiswahili ingekuwa effective, sio kwa sababu ya ueleweka wa lugha bali kwa uzito wa ujumbe.

That is to say angesema "Akina mama mmeniangusha sana" ujumbe ungefika zaidi kuliko hiyo ya expression of dissapointment.
 
Last edited by a moderator:
Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimemuona Salma Kikwete akiwaambia kina mama wa kijiji kimoja mkoani Pwani (sikulishika jina la kijiji): "I am very dissappointed by you"! Aliposema hayo nilitaka kusikia kwa nini aliyasema maneno hayo kwa Kiingereza kwa wakina mama wa kijiji hicho. Alisema kuwa vodacom wamewaletea msaada, sasa baada ya kina mama kumshangilia, wao walijikunyata. Alimalizia kwa kuwaambia kuwa waache tofauti zao za ki itikadi na washangilie kwa sababu msaada huo umeletwa kwa faida yao.
Alikuwa anaongea na kina mama wa kijiji kimoja halafu anatumia kizungu cha kuvunja vunja!
Crime number moja- Kawaharibu wanaojifunza kiingereza
Crime number mbili - Kuwakoga anaojua hawaipati hiyo lugha.

Hukumu yako: 2015 toka nje ya mjengo wa magogoni ukauze samaki hapo jirani! na huyo Mr. smile bright wako! Vilaza wakioana wanaharibu Gene mfano Mwanaasha
 
Wapenzi... Mmenifurahisha sana, nikajisahau nakudhani nipo MMU. Wifi yangu King'asti naomba achana kabisa na kaka Vin Diesel na usimjibu; mkikosana mtihani kwangu... Twen zetu shopping kuna sale mahala... :A S shade:

Nilimwambia King'asti kuwa akuache maana tutakuonea bure....miss u my sisy....
 
Last edited by a moderator:
.

1. I’m disappointed by the government’s decision (i.e., I think the decision would affect me negatively, although it might be good for the nation).

2. I’m disappointed at the result (i.e., the result does not reflect well the effort).

3. I’m disappointed in you (i.e., I believed in you / your ability, but you betrayed my trust).

4. I’m disappointed with your performance (i.e., I still believe in you, but your performance was below my expectation).

5. I’m disappointed about something (i.e., I’m displeased with the process / event(s) that brought about the unexpected outcome).
.

Kamanda, nimekugongea "like" kwani umeonesha umahili wa hali ya juu wa lugha ya malikia.
 
:A S angel::A S angel::A S angel::A S angel: KWANI KAWAKOSEA NINI MAMA WA WATU?? NDIO MAAANA HATUENDELEI TUMEZIDI MASUFURIA,, KUFANYA MFANYE NYIE TU AKIFANYA FULANI MNAUMIAJEEE HAHAAA, NA BADO MTAMSOMA TUU HADI 2'40 TUOMBE UZIMA TU..USHANIFAHAMU UZURI
 
Embu leteni matokeo ya Form IV hapa tuone... Maana siku hizi ndio style.
 
Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimemuona Salma Kikwete akiwaambia kina mama wa kijiji kimoja mkoani Pwani (sikulishika jina la kijiji): "I am very dissappointed by you"! Aliposema hayo nilitaka kusikia kwa nini aliyasema maneno hayo kwa Kiingereza kwa wakina mama wa kijiji hicho. Alisema kuwa vodacom wamewaletea msaada, sasa baada ya kina mama kumshangilia, wao walijikunyata. Alimalizia kwa kuwaambia kuwa waache tofauti zao za ki itikadi na washangilie kwa sababu msaada huo umeletwa kwa faida yao.

Oooops alidhani yuko Majuu na Mzee, ingawa kaongea broken nadhani naye alikuwa form IV enzi za Kawambwa waliopita.
 
mateso ya watanzania yanachangiwa kiasi kikubwa na huyo mama kwa sababu hamshauri mwenzake au mabaya ya mzee ni yeye anayapanga. Angetaka kumuenzi mwalimu angetumia muda mwingi kuongea na mama nyerere. Hakika nawaambieni hakuna marefu yasiyokuwa na ncha kuna siku nchi itakuwa huru tu
 
Dingiswayo... Tunakoelekea, imekuwa kawaida kwa viongozi kutupia maneno ya kiingereza wanapo address wananchi. Na naomba niunge mkono kwa ujumbe aliotoa Mama Salma Kikwete. Ila tu hayo maneno aliyo ongea kwa kiingereza angeongea kwa Kiswahili ingekuwa effective, sio kwa sababu ya ueleweka wa lugha bali kwa uzito wa ujumbe.

That is to say angesema "Akina mama mmeniangusha sana" ujumbe ungefika zaidi kuliko hiyo ya expression of dissapointment.

Kwa lengo hilo ulolitaja sikubaliana nawe. Kwa hakika, ujumbe wake umekuwa 'more effective' kwa kuchomekea kidhungu kwa sababu hadhira ile ambayo pengine ilikuwa haitarajii mama wa watu azungumze kidhungu itakuwa ilishtuka kidogo (kama ambavyo mleta uzi anaonesha kushtuka). Ni katika mshtuko huo ambapo ujumbe uliokusudiwa umegonga penyewe. Na ujumbe ilikuwa ni kuonesha kiwango cha juu cha kukasirika, alivyokasirishwa na tendo alilokuwa akikaripia, bila kujali iwapo alikuwa sahihi au la. Lakini pia, wakati huo huo, kwa kutumia mkakati huu wa kimawasiliano (i.e. kuchomekea kidhungu) anadhihirishia umma kuwa kiwango cha lugha na 'elimu' kwa upande huo kimeanza kupanda - anajileta katika hadhi ile ile ya waheshimiwa sana wabunge wa bunge la JMT ambao ni maarufu kwa kuchomekea!
 
yaan hata humu MziziMkavu anapenda kuanzisha mada za tiba mbadala kwa kizungu utafikiri wote tunaelewa.kiswahili ndio mpango mzima kwa mimi ambaye hicho kizungu ni janga la kitaifa.
 
Last edited by a moderator:
Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimemuona Salma Kikwete akiwaambia kina mama wa kijiji kimoja mkoani Pwani (sikulishika jina la kijiji): "I am very dissappointed by you"! Aliposema hayo nilitaka kusikia kwa nini aliyasema maneno hayo kwa Kiingereza kwa wakina mama wa kijiji hicho. Alisema kuwa vodacom wamewaletea msaada, sasa baada ya kina mama kumshangilia, wao walijikunyata. Alimalizia kwa kuwaambia kuwa waache tofauti zao za ki itikadi na washangilie kwa sababu msaada huo umeletwa kwa faida yao.

Maskini akipata ------ hulia mbwata. Huyu Mama miaka ya mwanzo alikuwa hajui kuongea kiingereza sasa baada ya English course anajiona bingwa wa KIINGEREZA?? Mnakumbuka alivyokuja mke wa Bush akawa anaongea kiswahili halafu mtu anafanya ukarimani?
 
Oooops alidhani yuko Majuu na Mzee, ingawa kaongea broken nadhani naye alikuwa form IV enzi za Kawambwa waliopita.
:boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink: VIPI KUHUSU WEWE MKUU TIRIRIKA BASI WEWE NI WA ENZI ZA NANI????;;; USHANIFAHAMU UZURI:yo::yo::yo:
 
Back
Top Bottom