Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

Ina maana Bi Salma baada ya kujifunza kingereza cha u first lady ndo kaenda kuwachapia walala hoi wa ukweni kwake. Ama kweli n.an. Haoni kundule...
 
Watanzania tujifunze kuwa tunaongea na nani, wapi na wakati gani,kabla hatujatoa kauli zetu
 
Sina tatizo sana na kiingereza cha Mama Salma Kikwete, maana ni lugha ya kigeni. Ila kuna mambo naona hayaendi sawa: nani anagharamia ziara za Mama Kikwete? Week iliyopita alikuwa Lindi, mara akaja Rukwa na Rufiji, nani anagharamia hizi safari?

Pili, kwenye hizi ziara mara wanamtambulisha kama MNEC, mara kama Mke wa rais, mara kama Mwenyekiti wa WAMA! Ni kitu gani kinaendelea hapa? Anafanya ziara kama nani? Waamue moja, ijulikane.

Tatu, iliwahi kutokea huko nyuma lakini siku hizi za karibuni naona mambo yanazidi kushika kasi. Mama Salma anaonekana kujikita kwenye mambo ya afya ya mama na mtoto. (vema). Lakini kuna hatari (msisitizo) wa muingiliano kati ya kazi za mama Salma na Wizara ya Afya. Kadri siku zinavyoendelea na yeye anakwenda mbele zaidi utadhani ni Waziri wa Afya. Mkoani Rukwa kapewa report ya Mkoa (na mkuu wa mkoa), kasomewa report na mganga mkuu wa mkoa, na akatoa maelekezo! yeye ni nani mpaka apewe report ya mkoa, na anatoa maelekezo based on what, mipango ya wizara 'yake'? Hivi watendaji wa Wizara ya afya wanapata maelekezo toka wapi, na wanareport wapi? WAMA?

Kwanini asifanye kazi zake za kwa kushirikiana na Wizara ya afya badala ya kufanya nchi iwe kama ina mawaziri wawili kwenye wizara moja. Akiwa Rukwa amekabidhi vitambuliso vya matibabu kwa wazee!

Ikulu wanaweza kulipuuzia hili lakini upo uwezekano wa kuzua manung'uniko ndani ya wizara ya afya kwa jinsi huyu mama anayojiingiza huko. Kwa upande mwingine, kuna hatari kubwa Mama Salma akaingiza siasa kwenye hizi ziara zake. Ni hili litakuwa jambo la kuhuzunisha sana maana atakuwa anatumia hali duni ya afya kujijenga kisiasa. Kwenye ziara yake Mkoani Rufiji, aliambata na Dr Asha Rose Migiro. Hii si siasa kweli?

Pamoja na mabiashara yake, mbona mama Mkapa na EOTF yake hakuwa na ziara kama hizi? Na ukifuatilia kwa makini EOTF imefanya mambo mengi kuliko WAMA. Mimi nadhani Ikulu wawe makini.
 
Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimemuona Salma Kikwete akiwaambia kina mama wa kijiji kimoja mkoani Pwani (sikulishika jina la kijiji): "I am very dissappointed by you"! Aliposema hayo nilitaka kusikia kwa nini aliyasema maneno hayo kwa Kiingereza kwa wakina mama wa kijiji hicho. Alisema kuwa vodacom wamewaletea msaada, sasa baada ya kina mama kumshangilia, wao walijikunyata. Alimalizia kwa kuwaambia kuwa waache tofauti zao za ki itikadi na washangilie kwa sababu msaada huo umeletwa kwa faida yao.
hahahaha she is so bright
 
2. I'm disappointed at the result (i.e., the result does not reflect well the effort).


In standard English Language usually results is used instead of result. We normally say... I am waiting for the results, not I am waiting for the result--may be proper but not suitable.

kamuntu


Results - plural. There is more than one result under discussion.
Result - singular. There is only one result under discussion.

The only difference is in the number of results.
==

Question: "result or results"?

People say 'exam results' when they talk about results after exams, but do they still say 'exam results' even though they have only one exam? Will it be weird if I say 'exam result' ?


ANS

If it is one exam 'exam result' would be correct. It may sound awkward, but it's right. Usually someone will ask you how were your 'exam results' assuming you took more than one exam.


If you say " my exam result " it's correct


Kwa hiyo ni sawa kusema: [
I'm disappointed at the result]
.
 
Mh, kaona awaonee/awaoshee wamama wa watu, wanyonge wake hao!!!!
 
  • Thanks
Reactions: kui
tutakuletea first lady wetu umpatie tuition asije tutia aibu katika anga la kimataifa

mkuu nilishamuonaga kwenye anga la kimataifa akisoma kiingilishi kwa wadhungu, alitetemeka mpaka alitaka kuchana hotuba
 
Akili nyengine lakini, wamama wa watu si walimshangaa tu while she was "showing off"
 
Hoja hapa ni kutumia lugha ngeni na kukaripia wananchi. Yeyote yule angeweza kukosea kwa sababu Kiingereza sio lugha yetu ya kwanza.

Mkuu, nakubaliana nawe, hata Waingereza pia hukosea si katika kuongea tu, bali hata katika kuandika.
Kwa tuliosoma zamani kulikuwa na kitabu cha kiingereza kilichoitwa "common mistakes in english" Kitabu kile hakikuandikwa kwa ajili ya weusi bali kwa wote wanaotumia lugha ya kiingereza wakiwemo Waingereza wenyewe.

Suala la msingi hapa siyo kukosea lugha, bali kuongea lugha isiyoeleweka kwa watu unaoongea nao-kiingereza. Hilo ni kosa kubwa.
 
Who doesn't know..Who doesn't know..Who doesn't know ubungo kuna shida ya maji?? eeh (smiling), jk bana

"Who doesn't know,Who doesn't know,Who doesn't know,Who doesn't know,Who doesn't know,Who doesn't know,
Who doesn't know,Who doesn't know,Who doesn't know,Who doesn't know,Who doesn't know,Who doesn't know, Bint yangu Mwanaasha alikula Division four ya point 28 Mwaka jana"

By JK Mkwe.re
 
Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimemuona Salma Kikwete akiwaambia kina mama wa kijiji kimoja mkoani Pwani (sikulishika jina la kijiji): "I am very dissappointed by you"! Aliposema hayo nilitaka kusikia kwa nini aliyasema maneno hayo kwa Kiingereza kwa wakina mama wa kijiji hicho. Alisema kuwa vodacom wamewaletea msaada, sasa baada ya kina mama kumshangilia, wao walijikunyata. Alimalizia kwa kuwaambia kuwa waache tofauti zao za ki itikadi na washangilie kwa sababu msaada huo umeletwa kwa faida yao.

Usimlaumu bure jamani; wakumshauri ni mmewe........Matatizo mengine ni ya KIFAMIlIA-i.e. Baba, Mama na Watoto
 
mkuu nilishamuonaga kwenye anga la kimataifa akisoma kiingilishi kwa wadhungu, alitetemeka mpaka alitaka kuchana hotuba
Hapo ingetokea akaulizwa swali Baada ya Kusoma hiyo Hotuba Nadhan angekufa
 

kamuntu


Results - plural. There is more than one result under discussion.
Result - singular. There is only one result under discussion.

The only difference is in the number of results.
==

Question: "result or results"?

People say 'exam results' when they talk about results after exams, but do they still say 'exam results' even though they have only one exam? Will it be weird if I say 'exam result' ?


ANS

If it is one exam 'exam result' would be correct. It may sound awkward, but it's right. Usually someone will ask you how were your 'exam results' assuming you took more than one exam.


If you say " my exam result " it's correct


Kwa hiyo ni sawa kusema: [
I'm disappointed at the result]
.

It is always exam results not exam rsult. Why? Because the result may be pass or failure. in this case the results are two. Hence there is no singular but plural.

When asked what are the exam results, the answer would be either the result is good or bad. How do you find this? Enjoy your english class.



 
Chezea Kiingereza cha mwalimu wa darasa la pili bana! Huyo mama siku zote anapoongea huongea kama anafundisha darasa lake la pili
Labda sikumsikia vizuri...lakini suala zima la kuzungumza Kiingereza mbele ya wanakijiji akina mama wa rika tofauti kama wanafunzi wake wa darasani kilinishangaza sana.
 
Mama Salma + JK = Mwanaasha Kikwete (with DV 0)

Nadhani muache kumsimanga Mwanaasha eti kwanini alipata Zero
 
Back
Top Bottom