Mpenda Posho
Senior Member
- Oct 29, 2012
- 184
- 48
Hiko kijiji kinaitwa NYAMISATI.
Mkuu huko ndiko anakotoka Mchmba wangu, nashukuru kama huyo Mama kafika huko maana tuna shida nyingi huko.
Hiko kijiji kinaitwa NYAMISATI.
Mwalimu huyo......
By you...!?? aje darasani haraka
And i'm very disappointed with her...........hizo swaga za wapi?
mme wake alisema hajui maana ya logisticsThat's among the point where Div 0's our little brethren/kids scored in this year's results originated.
She is a teacher...remember!
Who doesn't know..Who doesn't know..Who doesn't know ubungo kuna shida ya maji?? eeh (smiling), jk bana
Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimemuona Salma Kikwete akiwaambia kina mama wa kijiji kimoja mkoani Pwani (sikulishika jina la kijiji): "I am very dissappointed by you"! Aliposema hayo nilitaka kusikia kwa nini aliyasema maneno hayo kwa Kiingereza kwa wakina mama wa kijiji hicho. Alisema kuwa vodacom wamewaletea msaada, sasa baada ya kina mama kumshangilia, wao walijikunyata. Alimalizia kwa kuwaambia kuwa waache tofauti zao za ki itikadi na washangilie kwa sababu msaada huo umeletwa kwa faida yao.
hehehe, :A S 39:umejitwika ubaba mlezi?:nono:
wifi AshaDii, naomba usogee hapa kuna mtu anataka kunisubject to dna test bila sababu:nono:
Nimerekebisha......i'm sailing in the same boat na Mrs Kikwete.......teh
Hebu usimwite dada yangu asee....hajui kuwa tunamendeana
Labda sikumsikia vizuri...lakini suala zima la kuzungumza Kiingereza mbele ya wanakijiji akina mama wa rika tofauti kama wanafunzi wake wa darasani kilinishangaza sana.
Kwani yule mwingine si alisema kuwa kiherehere wanacho watoto wa shule za msingi wanaopata mimba wakiwa bado wanafunzi? Sasa huyu mama kwani naye mwanafunzi? Kama si mwanafunzi basi hana kihereherehuyu mama kiherehere sana sija wahi ona first lady kiherehere kama huyu.
By you...!?? aje darasani haraka
Na hili ni tatizo kubwa sana hapa Tanzania.... MTU ANAKOSEA BADALA YA KUKUBALI KUKUSOLEWA, UTAMSIKI MBONA FULANI NAYE VILE, HATA MAREKANI NAKO HII IPO, FULANI MBONA ALIFANYA HIVI HAMKUSEMA KITU.... Yaani watu wanatumia makosa ya wengine kuhalalisha ya kwaomkuu vipi angekuwa ni josephine kasema hivo ungesemaje????? kwa kuwa ni moum wa taifa tu, o kwa kuwa ni moum riz??? njoo na thread nyingine hii imekaa kimasufuria mno.:dizzy::dizzy::dizzy::dizzy::dizzy: ushanifahamu uzuri
Mwalimu huyo......
Who doesn't know..Who doesn't know..Who doesn't know ubungo kuna shida ya maji?? eeh (smiling), jk bana