Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

Haya niliyoyaona hayahusiana na siasa za upinzani. Hebu fungua macho uangalie mambo kwa upana zaidi, uzingatie yale yaliyoongelwa kwenye mada. Ningeyaandika haya hata kama alieytamka hayo angetoka CUF, CHADEMA, TLP n.k. Tukiwa na muelekeo wa kuona kila kitu kama 'upinzani' itakuwa ni vigumu sana kupata maendeleo katika nyanja mbalimbali.
Hakuna maendeleo hapo zaidi ya majungu, mke wa rais kuchanganya lugha kidogo ndio ugeuze mada, kinachowatesa ni vile mlivyo aminishwa kuwa nchi hii itakuwa na firstlady kimada.
 
First Lady hajakosea,
Alitafsiri kiswahili-English
"Nimekasirishwa sana na ninyi"-"I am very dissappointed by you"
 
Couple ya vilaza! Product Mwanaasha naye kilaza. Shetani kawapa kipaji
 
Mwonyesheni ile thread ya Mama wawili ya kufanya mazoezi ya kiingereza naamini itamsaidia.
 
familia yake nzima inakiherehere mkuu!

IMG_1679.JPG

Mke wa Rais naMwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na mkuu wa Mkoa wa Rukwa mara tu baada ya kuwasiri kwenye uwanja wa ndege wa Sumbawanga kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo.(mfano sasa hivi yupo Rukwa hivi hizi ziara zake zina tija gani kwa taifa zaidi ya kuchezea hela ya walipa kodi ya watanzania masikini)
 
baba yupo msibani uganda .
watoto nao sijui watakuwa wapi kutumia kodi zetu.
 
.

1. I’m disappointed by the government’s decision (i.e., I think the decision would affect me negatively, although it might be good for the nation).

2. I’m disappointed at the result (i.e., the result does not reflect well the effort).

3. I’m disappointed in you (i.e., I believed in you / your ability, but you betrayed my trust).

4. I’m disappointed with your performance (i.e., I still believe in you, but your performance was below my expectation).

5. I’m disappointed about something (i.e., I’m displeased with the process / event(s) that brought about the unexpected outcome).
.

tutakuletea first lady wetu umpatie tuition asije tutia aibu katika anga la kimataifa
 
Hivi nyie mnajua nini mbn ,nakomaa kama mmekula mapera
 
Anajifunzia English kwa Wanakijiji

Mbona humu JF wengi huwa mnaandika kiswahili na kiingereza ovyo ovyo tu. mnakosea saaana lakini kibanzi cha mwenzenu kuteleza preposition moja tu imekuwa issue!
I am very disappointed in you all!
 
IMG_1679.JPG

Mke wa Rais naMwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na mkuu wa Mkoa wa Rukwa mara tu baada ya kuwasiri kwenye uwanja wa ndege wa Sumbawanga kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo.(mfano sasa hivi yupo Rukwa hivi hizi ziara zake zina tija gani kwa taifa zaidi ya kuchezea hela ya walipa kodi ya watanzania masikini)

Lala salama hiyo, mzee ana kaba kona hii, mama naye kona nyingine; muda ukifika watakuwa wameshajikusanyia za kutosha...
 
Huyu mama jakaya anaingilia majukumu ya uwt. Mbona wamekaa kimya tu? Sophia Simba upo?
 
Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimemuona Salma Kikwete akiwaambia kina mama wa kijiji kimoja mkoani Pwani (sikulishika jina la kijiji): "I am very dissappointed by you"! Aliposema hayo nilitaka kusikia kwa nini aliyasema maneno hayo kwa Kiingereza kwa wakina mama wa kijiji hicho. Alisema kuwa vodacom wamewaletea msaada, sasa baada ya kina mama kumshangilia, wao walijikunyata. Alimalizia kwa kuwaambia kuwa waache tofauti zao za ki itikadi na washangilie kwa sababu msaada huo umeletwa kwa faida yao.

Hao ndio VIONGOZI wetu Wajao kama CCM ikishinda 2015... Tulikuwa Tunalalamikia kuhusu Mama Mwinyi na Mama Mkapa kwa vibiashara vyao - huyu ni ndani ya serikali - na Mwanae pia...

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MGENI MWALIKWA KATIKA MKUTANO WA UCHAGUZI WA SHINA LA PAMBA ROAD, LILILOPO POSTA JIJINI DAR ES SAAAM, NDUGU RIDHWAN J. KIKWETE AKIWASILI KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE ULIPOFANYIKA MKUTANO HUO, AKIONGOZANA NA MWENYEKITI MSTAAFU WA SHINA HILO NDUGU SAID SALUM MASANGA (WA KWANZA KULIA) RIDHWAN (MWENYE SHATI YA KIJANI) ABDALAH MALEMA-KATIBU WA TAWI LA KIVUKONI NA SALEHE KISAUTI (MJUMBE)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Picha ya pamoja ya wanachama na wajumbe wa mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Shina la Pamba Road uliofanyika leo katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na Adam Mzee, Dar es salaam.

Shina la Chama cha Mapinduzi la Pamba road lenye maskani yake eneo la Posta, Jijini dar es salaam limefanya Uchaguzi wa muda kwa nafasi ya Mwenyekiti na Mjumbe, kupelekea Mwenyekiti wake wa zamani Ndugu Said Salum Masanga kujiuzulu nafasi hiyo kwa kuwa amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa CCM Wilaya ya Kinondoni.

Ambapo kutokana na Katiba na Kanuni ya Uongozi za Chama cha Mapinduzi, kuwa Mwanacha hawezi kuwa na vyeo viwili vya kutumikia katika wakati mmoja, hivyo Ndugu Masanga alijiuzulu na kuacha wazi nafasi ya Mwenyekiti wa Shina Hilo.

Kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Shina Hilo, walijitokeza watu watatu ambao walipitishwa na vikao vya ndani na hivyo kupitisha majina yao ili yaweze kupigiwa kura, ambao ni;
1) Khamis Nshimba
2) Ramadhani Makula
3) Dr Richard Manunu
Ambapo Ndugu Ramadhani Makula aliibuka mshindi kwa nafasi hiyo na kutangazwa kama kiongozi halali na Mwenyekiti wa Shina hilo lililopo katikati ya Jiji.
Kwa nafasi ya Ujumbe walijitokeza watu wawili ambao ni;
1) Allen Malewah
2) Sophia Mbwile.

Ambapo Ndugu Sophia Mbwile aliibuka Mshindi.

Mkutano huo wa Uchaguzi ulifanyika katika ukumbi wa Karimjee ambapo ulihudhuriwa na waalikwa nawageni mbalimbali, akiwemo Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa akiwakilisha wilaya ya Bagamoyo Ndugu Ridhwani Kikwete na Paul Christian Makonda (Aliyegombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa), Mwenyekiti wa Kikao hicho kwa muda ndugu Augustino Matefu na wengineo.

Uchaguzi huo ambao ulikuwa wa haki na huru ulimalizika salama Jioni ya leo ambapo hakuna mgombea yeyote aliyejitokeza kupinga ama kulaumu kutotendewa haki.
 
Ivi NAPE alisoma shule gani vile ile ya magumashi inayopokea hata failures tumwembee mama naye aende huko walau kwa mwaka mmoja!
 
.

1. I’m disappointed by the government’s decision (i.e., I think the decision would affect me negatively, although it might be good for the nation).

2. I’m disappointed at the result (i.e., the result does not reflect well the effort).

3. I’m disappointed in you (i.e., I believed in you / your ability, but you betrayed my trust).

4. I’m disappointed with your performance (i.e., I still believe in you, but your performance was below my expectation).

In standard English Language usually results is used instead of result. We normally say... I am waiting for the results, not I am waiting for the result--may be proper but not suitable.

Back
Top Bottom