Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Viongozi bora wangekaa kimya,kuliko kuahidi visivyotekelezeka.Wangejijengea heshma sana.
 
Magufuli bana,atatuua njaa haki ya mungu!!!!!
We Acha tu.Wafanyabiashara wenyewe wanasubilia wafanyakazi.Watu hawajui tu.Hivi MTU anapomdharau mfanyakazi eti aache akafanye kazi ingine.Anakuwa anafikilia kwa kutumia nini??Mambo ya nchi yataendaje bila wafanyakazi.Wote sasa tuanze kuuza maduka.Au nyanya.Kazi ipoooooo
 
Umepewa maarifa fanyia kazi huo mshahara uzalishe acha kulalamika kama mtoto wa mama
 
Kweli tupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Nimefuta like nikiyokupa.Unaniudhii sasa shem
Shem, tangu nilipo mrudia Mungu, marachache huwa najisahau kwa mambo ya kidunia.....
Irudishe tu ile like Shem, bado nahitaji maombi ili niwe mkomavu kwenye NENO...[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Machozi yamenitokaaaa kwa hii point yako...
 
Yote hayo yanafanyika tena Sana usidhani hakuna.But hali imekuwa Teteeeee.Si kama Zamani.Sijui upo Belgium
 
Jidanganyee.Hao hao Pigia wakishawishi ndugu zao.Usinipe Jibu(Sema huwa haki haitendeki)Mshindi hutangazwa mwingine.Tume Si yao??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…