gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,289
Unanipa RahaaaaWewe si kibaka wa ccm, lazima uongezeke tu maana nasikia mnalipwa buku nane na sio buku saba tena!!
Unanipa RahaaaaWewe si kibaka wa ccm, lazima uongezeke tu maana nasikia mnalipwa buku nane na sio buku saba tena!!
Sana tu Dada graceKumbe Na Wewe Umeling'amua hili??
Wanaona Wivuuuuu
Kwa hiyo kama mtumishi wa umma akifanya hayo,ruksa sheria kuvunjwa,ruksa kuminya haki zao!?You gave yourself false hopes. By the way unaweza kujiongezea pato lako kwa kufanya shughuli nyingine za uzalishaji. Watumishi wa umma wa siku hizi, wengi mabishoo. Enzi zetu zile, walimu walikuwa wanafunga ice cream, wanatengeneza maandazi na kuwauzia wanafunzi nk. Kitaa unakuta mtu anafuga ng'ombe, analima mahindi nk. Ukifanya hayo, mshahara wa serikali itakuwa ni kitu cha nyongeza tu.
Hasa katika nchi ya kama hii, hatari SanaWatumishi wa Umma ni viumbe wa ajabu kuwahi kutokea kuishi Duniani.
Walimu wa wapi? Nimeongea na jamaa zangu walimu wananiuliza kama kwenye Taasisi huku tumeongezewa maana kwao bilabila.Mshahara umeongezwa kwa waalimu tu. Kada nyingine nasikia mwezi August
Am I not?Are you serious??
We ulitaka wafanyaje ili uwaone wana akili?Hawana akili wanaendelea kujitolea tu.
We ulitaka wafanyaje ili uwaone wana akili?
Bora hajaongeza wembe ni ule ule hadi kila mtu ajitambue.

wote tutaongea lugha moja sio hahahhhaaaNaona yanatoka kwa MJAMBAJI yamekuja kwangu MTEMA MATE. Punguza hasira hakuna nyongeza wala increment. Kama hivi achia hilo gap hilo wapo watu wakuliziba.Mimi nilifuatilia na aliahidi annual increment itakuwepo lakini nyongeza kama ile ya JK ndiyo haiyakuwepo. Hebu elewa mada mkuu sio mnakurupuka tu
Kwi! Kwi! Kwi!Serikali ishalipa bado process za kibenki tu
Confirmed!!! Hakuna salary increament!!!! Labda tusubiri august!!! Ni vizuri kuishi kwa matumaini, ikifika August tutasema labda septemba and son on, ili mradi Standard gauge inaendelea hakuna shida!!! Ni maumivu mpaka basiiiiiiiii!!!!!!!!Moja; nakuomba uweke hapa salary slip yako ili tuone km ni kweli au lah!, tunaamini ktk uongo km picha haijaletwa😀
Mbili; sio wote waajiliwa wa serikali yenu😵😵
Tatu: ukiona taasisi za kukopesha pesa zinapunguza riba, changamsha akili yako...acha kulala. Ujue zina muunganiko na taasisi unazotegemea zikuongezee mshahara😱😀😀
Nne, na mwisho: Pesa hazitoshagi hata wakuongeze mara mbili ya mshahara wako sasahivi😛, acha kusubiria embe chini ya mnazi😕😕....
Slogan ya nyongeza ya mshahara, ni kila taasisi wanaitaka ila ndo hivo, 😎😎😎
Sikiliza tena hotuba ya mei mosi mkuu!!!! Ukisikiliza tena utapita hapa kimya kimya!!Ach upumbavu wewe, Kwani uliambiwa kuna nyongeza yoyote itatok mwezi huu? Kw nini mnapenda sana kuwashwawashwa?
Watumishi wa umma ni sawa na mtoto anayedeka,muongezewe salary kwa vigezo gani,Wadau wale waliojiunga na salary slip portal fungueni mjionee wenyewe mi sina mengi aisee