Wadau wale waliojiunga na salary slip portal fungueni mjionee wenyewe mi sina mengi aisee
Kinywaji cha Mo EnergySalary slip ndo nini?
Salary slip ndo nini?
Mkuu, Salary slips hazitoki bank.Serikali ishalipa bado process za kibenki tu
Na hapo ndipo ninapoonaga watumishi hovyo sana, yaani huwa wanalegezwa hata kwa karanga za kuonjeshwa... tehteehhhJiwe halijawahi kuwa na hisia, hivyo pambaneni na hali zenu vinginevyo msubiri mwaka 2020 mtaongezwa kwa ajili ya kuwalaghai kwenye uchaguzi mkuu
Ni I'd ya member mmoja wa humu alie tukuka sanaSalary slip ndo nini?
Ndipo akili iwakae sawa ili wasifanye makosa 2020 Pombe mwisho iwe kauntaEndeleeni kusubiri hivi mnataka aongee kisukuma ndio mtaelewa?
hahaaaKinywaji cha Mo Energy
hahaaa pole sanaNimecheka sana na kunifanya nisahau kidogo kama mchana ulipita bila kupata chakula.
Yuko jamaa yangu mmoja anaitwa Salary SlipSalary slip ndo nini?