hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,590
- 73,947
aiseeSalary slip ndo nini?
aiseeSalary slip ndo nini?
HahahahaKinywaji cha Mo Energy
Vipi mmeshindwa hata kuongeza hiyo annual increment?Yuko jamaa yangu mmoja anaitwa Salary Slip
Jamaa kaulizia Salary Slip ndio maana nilikuwa namsaidia kujibu.Vipi mmeshindwa hata kuongeza mishahara?
Si acha kazi kafanye mambo yako kinachokufanya ugande na ajira ya serikali ni nini.....? huku unapata shida tu....waache wale ambao wanajua nini maana ya kujenga nchi hizi masikini kwa moyo wote.Wadau wale waliojiunga na salary slip portal fungueni mjionee wenyewe mi sina mengi aisee
Nadhani alimaanisha serikali (hazina) ishalipa mishahara na bado process za kibenki zinaendelea, na kupitia hayo malipo yeye kaona hakuna ongezeko.Mkuu, Salary slips hazitoki bank.
Kama pangekua na ongezeko, lazima ingeonekena kwenye slips wakati hizo taratibu zaki bank zikiendelea.
Mkuu, nakusihi kwa heshima na taadhima usiwafanye watumishi wa serikali hii ni wajinga
Moja; nakuomba uweke hapa salary slip yako ili tuone km ni kweli au lah!, tunaamini ktk uongo km picha haijaletwa😀
Mbili; sio wote waajiliwa wa serikali yenu😵😵
Tatu: ukiona taasisi za kukopesha pesa zinapunguza riba, changamsha akili yako...acha kulala. Ujue zina muunganiko na taasisi unazotegemea zikuongezee mshahara😱😀😀
Nne, na mwisho: Pesa hazitoshagi hata wakuongeze mara mbili ya mshahara wako sasahivi😛, acha kusubiria embe chini ya mnazi😕😕....
Slogan ya nyongeza ya mshahara, ni kila taasisi wanaitaka ila ndo hivo, 😎😎😎
Embu punguza stress kichwan mkuu... Hao watumishi wa uma wenda hata shangazi yako, dada ako, mama ako, babu, mjomba, mchepuka wako nao ni watumishi wa umma. ...Watumishi wa Umma ni viumbe wa ajabu kuwahi kutokea kuishi Duniani.
Walichaguliwa waongoze kwa kufwata sheria na sheria inasema ongezeko la mshahara lazima liwepo kila mwaka na kila baada ya miaka mitatu madaraja yapande...Kwani ulichagua viongozi ili waje wakuongeze mshahara??? pole sana!! utapata taabu sana.
Age yako inaonyesha namna unavyo panic mapema. Upo kwenye foolish age...vumilia tuKichwa chako kimejaa maji sio bure.
Aweke siri zake Jf ili iweje?
Unataka kuona kama kuna mabadiliko kwani mshahara wake unajua ni kiasi gani?
Kichwa box Jf hapakufai.