Unauliziwa Huku.Eti we Ndo nani??Vipi mmeshindwa hata kuongeza hiyo annual increment?
PointRais Wa Nchi Ni Lazima Aandaliwe Siyo Kuchaguliwa Tu.
Naona kaja JIWE MWENYEWE KUJIBU.Ach upumbavu wewe, Kwani uliambiwa kuna nyongeza yoyote itatok mwezi huu? Kw nini mnapenda sana kuwashwawashwa?
Mpuuziee huyooUmesoma mikataba ya kazi.
We Acha tu.Wafanyabiashara wenyewe wanasubilia wafanyakazi.Watu hawajui tu.Hivi MTU anapomdharau mfanyakazi eti aache akafanye kazi ingine.Anakuwa anafikilia kwa kutumia nini??Mambo ya nchi yataendaje bila wafanyakazi.Wote sasa tuanze kuuza maduka.Au nyanya.Kazi ipooooooMagufuli bana,atatuua njaa haki ya mungu!!!!!
Mpuuziee huyoo
Mpotezeeee hajui anenalooo.Hata madaktari hawataki tena.Waache wakauze BuchaLakini bila hao huwezi ishi kwani unatutegemea sana kipndi unajiharishia tunakuosha na kukuhudumia.Unalingine tena?
Nimefuta like nikiyokupa.Unaniudhii sasa shemMkuu, kwa hiyo comment yako... Sinto shangaa ukirogwa.... tehteehhh
SanaKazi mnayo watumishi..!
Kweli tupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!Kutokana na serikali kutokuwapa nyongeza ya mshahara watumishi mwaka mpya wa fedha, hali hii itachangia kuongezeka kwa rushwa na kuzorota kwa utoaji wa huduma wa wananchi kwenye taasisi mbali mbali za serikali mfano polisi, hospitalini, shuleni na mahakamani.
Shem, tangu nilipo mrudia Mungu, marachache huwa najisahau kwa mambo ya kidunia.....Nimefuta like nikiyokupa.Unaniudhii sasa shem

Machozi yamenitokaaaa kwa hii point yako...Mmmh, sasa wewe unategemea kumuondoa madarakani jiwe kwa kura? Au unatarajia 2020 kijani itoke madarakani? Hapa na wewe usijifariji, la msingi kila mtumishi aangalie njia za kupitia ili kufikia pale alipo dhamiria, si kutegemea 2020 hapatakuwa na jipya, hata Wtz wasipo piga kura wote....nchi ilisha bakwa...
Are you serious??Kama jiwe mwenyew hajajiongezea unategemea uongezw wew?
Yote hayo yanafanyika tena Sana usidhani hakuna.But hali imekuwa Teteeeee.Si kama Zamani.Sijui upo BelgiumYou gave yourself false hopes. By the way unaweza kujiongezea pato lako kwa kufanya shughuli nyingine za uzalishaji. Watumishi wa umma wa siku hizi, wengi mabishoo. Enzi zetu zile, walimu walikuwa wanafunga ice cream, wanatengeneza maandazi na kuwauzia wanafunzi nk. Kitaa unakuta mtu anafuga ng'ombe, analima mahindi nk. Ukifanya hayo, mshahara wa serikali itakuwa ni kitu cha nyongeza tu.
Umetumwambona mimi umeongezeka?
Jidanganyee.Hao hao Pigia wakishawishi ndugu zao.Usinipe Jibu(Sema huwa haki haitendeki)Mshindi hutangazwa mwingine.Tume Si yao??Nakushangaa sana kwa kufikiria kuwa watumishi wa Umma ndiyo wanaweza kumtoa jiwe madarakani. Idadi yao ni ndogo sana ukilinganisha na wananchi wengine waliobaki. Kwa taarifa yako hawafiki hata laki 7 kwa hiyo hata wakimkataa kwenye kura shangazi zako walioko Ushirombo ambao ndiyo wengi wanampa kura baada ya kupewa kanga pair 1 na kofia.
Kumbe Na Wewe Umeling'amua hili??Humu naona kuna wasio na ajira wanawasema wazao waache kazi ili wachukue wao nafasi![]()
![]()
![]()
![]()