Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Endeleeni kusubiri hivi mnataka aongee kisukuma ndio mtaelewa?
Watu wana akili za kenge, mpaka waone damu. Kuelewa jambo dogo kwao imekuwa ni ngumu.

JITU lilishatangaza kwamba haliongezi mshahara hata MIA MBOVU mpaka miradi yake anayofikiria itakapokamilika,

LAKINI,

Unakuta mtumishi ana matumaini kabisa mshahara ameongezwa. Hii inadhihirisha WATUMISHI WENGI WA TANZANIA NI "ILLUSIONED" Wanastahili kumwona PSYCHOLOGIST
 
You gave yourself false hopes. By the way unaweza kujiongezea pato lako kwa kufanya shughuli nyingine za uzalishaji. Watumishi wa umma wa siku hizi, wengi mabishoo. Enzi zetu zile, walimu walikuwa wanafunga ice cream, wanatengeneza maandazi na kuwauzia wanafunzi nk. Kitaa unakuta mtu anafuga ng'ombe, analima mahindi nk. Ukifanya hayo, mshahara wa serikali itakuwa ni kitu cha nyongeza tu.
Kwa kuwauzia maandazi wanafunzi au ice cream mshahara uwe kitu cha nyongeza?

Shule niliyosoma mwalimu aliyekua anakuja na gari alikua anamiliki shamba na ng'ombe na hakuwahi kutuuzia chochote wanafunzi.
 
Hvi si muache kazi mbona mimi nimetulia sipendi mtu kulilia lilia 3000 mara 5000 itabadili nn kwenye mshara kama wanaongeza waongeze kama wanaacha na waache
Acha ujuha wewe, tunaongelea stahiki zilizopo kwenye makubaliano yetu na serikali wakati inatuajiri sio nyongeza za hiari. Hata nikiacha kazi lazima makubaliano yaheshimiwe.

Kama wewe haikuhusu sisi tukilalamika unawashwawashwa kwanini? Boya wewe
 
Watu wana akili za kenge, mpaka waone damu. Kuelewa jambo dogo kwao imekuwa ni ngumu.

JITU lilishatangaza kwamba haliongezi mshahara hata MIA MBOVU mpaka miradi yake anayofikiria itakapokamilika,

LAKINI,

Unakuta mtumishi ana matumaini kabisa mshahara ameongezwa. Hii inadhihirisha WATUMISHI WENGI WA TANZANIA NI "ILLUSIONED" Wanastahili kumwona PSYCHOLOGIST
Hapana, nyongeza inayoongelewa hapa alisema itakuwepo. Ile nyongeza ya JK ndiyo alisema tuvumilie. Hapa wadau wanaongelea Annual increment
 
Humu naona kuna wasio na ajira wanawasema wazao waache kazi ili wachukue wao nafasi
 
Kwa awamu hii kitendo tu cha kuwa na uhakika na iyi salary slip ni muujiza tosha
 
Mkuu usiwe na haraka ongezeko lipo na utaliona tu.
Hivi kuna watumishi wa umma bado wana ndoto ya kuongezewa mshahara awamu hii? Ina maana hamjui kuwa hapa ni kazi tu huku mkibana matumizi? Kalagabaho!
 
Back
Top Bottom