Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Hawana akili wanaendelea kujitolea tu.
Kutokana na serikali kutokuwapa nyongeza ya mshahara watumishi mwaka mpya wa fedha, hali hii itachangia kuongezeka kwa rushwa na kuzorota kwa utoaji wa huduma wa wananchi kwenye taasisi mbali mbali za serikali mfano polisi, hospitalini, shuleni na mahakamani.
 
Halafu wameambizana ,wanataka wafanyakazi walio ndani ya ccm kwelikweli ndio wasimamie uchaguzi. Hii ni baada ya wenyeviti wa wilaya kulalamika kwamba baadhi ya watumishi wanawaangusha .jamani sensa inafanyika sasa
 
Ndipo akili iwakae sawa ili wasifanye makosa 2020 Pombe mwisho iwe kaunta
Mmmh, sasa wewe unategemea kumuondoa madarakani jiwe kwa kura? Au unatarajia 2020 kijani itoke madarakani? Hapa na wewe usijifariji, la msingi kila mtumishi aangalie njia za kupitia ili kufikia pale alipo dhamiria, si kutegemea 2020 hapatakuwa na jipya, hata Wtz wasipo piga kura wote....nchi ilisha bakwa...
 
IMG_20180723_040948.jpg
serikali ina vituko hii haaa haa mwafwaaa.
 
Wadau wale waliojiunga na salary slip portal fungueni mjionee wenyewe mi sina mengi aisee
You gave yourself false hopes. By the way unaweza kujiongezea pato lako kwa kufanya shughuli nyingine za uzalishaji. Watumishi wa umma wa siku hizi, wengi mabishoo. Enzi zetu zile, walimu walikuwa wanafunga ice cream, wanatengeneza maandazi na kuwauzia wanafunzi nk. Kitaa unakuta mtu anafuga ng'ombe, analima mahindi nk. Ukifanya hayo, mshahara wa serikali itakuwa ni kitu cha nyongeza tu.
 
Jiwe halijawahi kuwa na hisia, hivyo pambaneni na hali zenu vinginevyo msubiri mwaka 2020 mtaongezwa kwa ajili ya kuwalaghai kwenye uchaguzi mkuu
Hivi unafahamu idadi ya watumishi wa Umma Tanzania? Hata wote wasipompa kura au wasipopiga kura hawaathiri chochote. Kwa taarifa yako hawafiki hata laki 8.
 
Ndipo akili iwakae sawa ili wasifanye makosa 2020 Pombe mwisho iwe kaunta
Nakushangaa sana kwa kufikiria kuwa watumishi wa Umma ndiyo wanaweza kumtoa jiwe madarakani. Idadi yao ni ndogo sana ukilinganisha na wananchi wengine waliobaki. Kwa taarifa yako hawafiki hata laki 7 kwa hiyo hata wakimkataa kwenye kura shangazi zako walioko Ushirombo ambao ndiyo wengi wanampa kura baada ya kupewa kanga pair 1 na kofia.
 
Hvi si muache kazi mbona mimi nimetulia sipendi mtu kulilia lilia 3000 mara 5000 itabadili nn kwenye mshara kama wanaongeza waongeze kama wanaacha na waache
 
Back
Top Bottom