Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Wadau wale waliojiunga na salary slip portal fungueni mjionee wenyewe mi sina mengi aisee
Ach upumbavu wewe, Kwani uliambiwa kuna nyongeza yoyote itatok mwezi huu? Kw nini mnapenda sana kuwashwawashwa?
 
Inaonekana Unakula Kupitia Nguo Za Langi Za Kijani
 
Pumbavu kabisa.
Hujui salary slip ina taarifa za mtumishi husika,akiweka hapa atakuwa amejianika na kujulikana yeye ni nani?
Age yako inaonyesha namna unavyo panic mapema. Upo kwenye foolish age...vumilia tu

Anapoweka bila picha inaonyesha anaweka umbea tu hauna lolote, akileta taarifa aweke kielelezo tuone km kweli hajaongezewa. Aweke salary slip za miezi miwili nyuma tuone km figure haijabadilika kweli. Sio unaleta umbea unataka tukuunge mkono kwa ujinga wa kuficha. Km huna hela wewe huna tu, hata uongezewe mabilioni bado akili yako imelala
 
Jiwe halijawahi kuwa na hisia, hivyo pambaneni na hali zenu vinginevyo msubiri mwaka 2020 mtaongezwa kwa ajili ya kuwalaghai kwenye uchaguzi mkuu
Ndo kitakachofanyika.HADAA.
What a shithole government.Na hii ni jeuri ya kuwa na tume ya watawala,na katiba inayowabeba wao.
 
Na bado, mpaka wote mtakaponena kwa lugha moja!
 
IMG-20180722-WA0022.jpg


Teh teh...Imefanyika kimyakimya...hata kwenye hati ya mshahara hatujaweka.....usijali.
 
Back
Top Bottom