Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Hivi hamuelewi lugha ya huyu jamaa?? Alishasema msubiri amalize mambo yake.
 
Humu kuna member nimesoma nae O level, ameuchukua huu Uzi kaupandisha whatsapp group la class muda huu
 
Hivi hamuelewi lugha ya huyu jamaa?? Alishasema msubiri amalize mambo yake.
Mambo huwa hayaishi.Hana,ukipanda miba njiani kwa Jirani yako IPO siku itakuchoma nawe,ukisomesha no watu nawe lzm utaisoma tu.
 
Ukuda huo unataka kumchota nani wewe salary slip haitoki kabla ya mshahara labda mwenzetu ushapata mshahara

Usiishi kwa kukariri. experience the difference. Awamu hii salary slip zimetoka kabla.
 
Mkuu, unataka tufanyeje sisi watumishi wa umma? Ushauri wako tafadhar
Mkuu, binafsi sioni la kukushauri. Pengine yawezekana umeridhika na kile unacho kipata hapo ulipo, ama hata nikikushauri nini ufanye pia yawezekana sana hicho ambacho nitakushauri kikawa kigumu Sana kwako.
Pengine naweza tu nikasema kwamba, maamuzi magumu huwa yanahitaji sana individual decision, na hapo unaweza ukajikuta unafanya m-badala kwa moyo wako wote.
Sikuzote napenda kushauri kwamba, kiatu kikikubana nivyema ukakivua, kuliko kusubiri hata kitobolewe na kucha ya kidole.
 
Ulifuatilia sherehe za Mei Mosi, 2018 pale Iringa?
Mimi nilifuatilia na aliahidi annual increment itakuwepo lakini nyongeza kama ile ya JK ndiyo haiyakuwepo. Hebu elewa mada mkuu sio mnakurupuka tu
 
Mkuu, binafsi sioni la kukushauri. Pengine yawezekana umeridhika na kile unacho kipata hapo ulipo, ama hata nikikushauri nini ufanye pia yawezekana sana hicho ambacho nitakushauri kikawa kigumu Sana kwako.
Pengine naweza tu nikasema kwamba, maamuzi magumu huwa yanahitaji sana individual decision, na hapo unaweza ukajikuta unafanya m-badala kwa moyo wako wote.
Sikuzote napenda kushauri kwamba, kiatu kikikubana nivyema ukakivua, kuliko kusubiri hata kitobolewe na kucha ya kidole.
Nmekusoma vyema mkuu .Nipo ktk harakati za kuchukua maamuzi magumu saana mwishoni mwaka huu .
 
Nmekusoma vyema mkuu .Nipo ktk harakati za kuchukua maamuzi magumu saana mwishoni mwaka huu .
Mkuu, Mungu akujaalie hekma na busara ili ukasimame vyema pale penye tamanio la moyo wako.
 
Nani amelia na huyo kichaa wako,mimi napinga kuweka picha ya salary slip hapa labda najibizana na kichaa hajui tumeanzia wapi?

Bora mzazi angepiga punyeto kuliko kuzaa poyoyo kama wewe.

Sent from my H8402 using JamiiForums mobile app
acha kulia lia, ooh ongezeko....utapata tabu sana mtoto wa kiume
 
Mshahara umeongezwa kwa waalimu tu. Kada nyingine nasikia mwezi August
 
Back
Top Bottom