Salary slip hewani, no increment no ongezeko

Salary slip hewani, no increment no ongezeko

salary slip huwa zinaanza kutoka kabla ya mshahara ?
 
Tunajenga miundombinu kwanza kuweni wapole endeleeni kutuvumilia tumeagiza ndege 4 zingine kwa cash tunajenga reli ya standard gauge kwa hela zetu
 
Jiwe halijawahi kuwa na hisia, hivyo pambaneni na hali zenu vinginevyo msubiri mwaka 2020 mtaongezwa kwa ajili ya kuwalaghai kwenye uchaguzi mkuu
Uchaguzi huo hatapata tabu sana ana uhakika atashinda tu hata kwa mtutu!
 
Na hapo ndipo ninapoonaga watumishi hovyo sana, yaani huwa wanalegezwa hata kwa karanga za kuonjeshwa... tehteehhh
Mkuu,usiwalaumu watumishi wa umma, Ben' alishawahi kusema "hatuwezi kukabidhisha nchi kwa makaratasi"
 
Unafikiri Rais Alisema
Akiongeza Siyo Elfu Kumi
 
Jiwe vibaraka wako wanalia huku njaaa
 
lini maisha yaliwahi kuwa simple ? siku zote pesa huwa haitoshi
 
Back
Top Bottom