Salamu za wiki kwa ZITTO NA LEMA

Salamu za wiki kwa ZITTO NA LEMA

Sina historia ya siasa ya mh.Lema kuliko Zitto.Zitto nilimfahamu kwa mara ya kwanza nko form 3 na saiv nimemaliza SUA kupitia Jarida la Fema wakati huo likiwa linaitwa FEMINA.Nilisoma historia yake toka akiwa shule ya msingi.Kwa Mh.Lema sjui chochote kuhusu yeye,lakin kuhusu huu mgogoro wanachadema kuweni makini chama chenu kitakufa kifo cha Mende.
Halafu kuna tatizo moja kwa vijana wengi wa chadema kuamini viongozi wao kwa kufuata mkumbo kuliko kutafakari wao binafsi.Sijawahi kushuhudia maandamo Kigoma kama Arusha,na kabla ya Zitto kigoma ilikua haipo kabisa kwenywe ramani ya siasa lakini saivi ukitaja kigoma moja kwa moja jina la Zitto linakujia kichwan.

uko sahihi asilimia zote.
 
Nia nzuri ninayo kaka. Ripoti yake itakuwa kipimo kizuri cha kupokea au kutokupokea posho. Ni kipimo tu.
 
Mkuu wewe ndo Albert na unatumia ID feki ama.????
 
Ritz, kama mmoja anasema napokea posho, mwingine anasema sipokei posho ugomvi unatoka wapi? Ni sawa na mimi kusema wewe unaitwa Ritz mimi naitwa Albert. Sasa tunagombana nini kuhusu majina??? Eti tunabishana mpaka tulete vyeti vya Ubatizo na Kuzaliwa??

Kwa nafasi zao wala wasingefika huku kama suala ni 'Je Mbunge apokee au asipokee posho'

Hapa ukisoma vizuri jinsi wote walivyoandika utaona kutofautiana kuhusu posho ni exit point. Ni mahali pa kutokea tu. utaona wazi kuwa hawa ni watu ambao hawaongei kila siku.

Unajua tunaendekeza mambo ambayo hayana msingi kama vijana. Kama mtu ni mwizi na fisadi kwa nini tunamuacha? Tunasingizia hakuna ushahidi, je sasa kama ushahidi haupo kwanini tunamsema??

Haya tunasema huyu ni muongo na msambaza fitna mbona anaachwa?? Kulindana mpaka lini?? Hiyo ndio mantiki yangu kwamba kuna zaidi ya yale tunayoambiwa.

Kuna watu wanadhani kwamba kuna ninayojua. Ukweli ni kwamba sijui ila sio mjinga kutokutafakari kile ninachokiona.

Tutafika tu. Mti utapuputisha majani ila hautakauka.

Pamoja nakukubaliana na ww lakini.... Kwenye invention principles za price theory has apply kabisa.... Mgunduzi anapewa cash tu hata kama anakosea/ hajagundua kitu cha maana. analipwa kwakukosea ili kosa moja lipelekee kwenye ugunduzi wa wapi kakosea ili arekebishe.

Alberto tulipofikia kwenye chama bado hatuja weza kutoka kwenye level ya invention ndiyo tunafanya finishing ili product iingie market kwa penetration price.... So usione watu wanalea makosa hiyo pia ni busara maana kwakukosea kwao key figures we lear how to perfect our invention. Tukiingia market level/democracy level haya ndiyo mambo ya kutungia sheria ngumu ila kwa sasa makosa ya wakosaji wengine ambao tuliwasimika kama nguzo tunaweza kuyavumilia huku tukijifunza jinsi ya kuimarisha nguzo zetu as we keep on adding bricks...

Hii haina maana chisel zetu hazita chonga mbao ili tupate curves nzuri to fit in joints... I mean the Mwigambas...

So hapa tunaenda katika horizon ya 'just enough' ili tukishafika basi tujiulize 'is this good enough?'

Hope you get me right.... Punguzeni hasira kunyweni maji kushusha pumzi then waacheni watu wasuke kamba zao za kujinyongea badala ya kunyonga ki zygote chetu kinachohitaji incubator kuweze kuishi...
 
Wabeja sana nkoi.Unajua zitto anapungukiwa kitu kidogo sana kama akikifanyia kazi bado credibility inaweza rejea.Yeye anamuona mbowe na slaa kama wanapoteza muda kukaa majukwaaani wakati yeye anahangaika na kamati zake.Lakini ajue kwamba kule vijijini kabisa ndani, ukiongelea cdm kwa sasa wanakutajia mbowe na slaa.Kwa nini ni kwa sababu wale wanakuwa karibu na wanavijiji kwa kuwatembelea na kufanya mikutano.
Hii mbinu ndiyo iliyokijenga chama cha TANU na baadae CCM na diyo maana ccm bado inanguvu vjijini kwa sababu watu walitembelewa enzi hizo na bado wanakumbuka.

Uwekezaji alioufanya mbowe na slaa vijijini kwa muda mfupi utachukua karne kufutika na ndiyo maana ccm wamegundua kuwa siri yao imefichuka na sasa mzee kinana ameanza siasa kama za kina mbowe na slaa ni baada ya kugundua kuwa ccm walikuwa wameacha wameendelea kula faida ya GOODWILL huku wakisahau kuongeza uwekezaji.

Kwako zitto; siasa unazofanya za kujijenga mijini hazitakusaidia, uwekezaji wa maana uko vijijini, vinginevyo hata dogo mnyika atakuzidi soon kwani ameanza kuzunguka.chukua hatua

Ziara alizofanya Zitto Katavi, Tsbora, Mwanza na kwingineko hivi karibuni sio sehem ya hicho unachokisema ? Au hufuatilii !
 
ben haya mambo ya kujibishana kwenye social media kwa viongozi wetu ni sawa? naomba mtazamo wako mkuu@ben saanane

Inaweza kuwa sio sawa kwa kuwa hatujazoea lakini duniani kote haya mambo ya kawaida sana (refer Gordon Brown and David Miliband)

On 29 July 2008, Miliband wrote an article in The Guardian that outlined his vision of a future of the Labour Party but made no mention of Gordon Brown. The piece was widely interpreted as a leadership challenge to the then Prime Minister, not least because the timing of its publication – just after Brown's departure on holiday at the start of the parliamentary summer recess, and while there was intense speculation about his continuing leadership following Labour's defeat in the Glasgow East by-election the previous week – seemed designed to produce a large political impact. In the following days two Labour MPs called on Brown to sack Miliband for his perceived disloyalty. Miliband, while denying claims by his detractors that he was seeking to provoke an early leadership election, did not rule himself out of eventually running for the leadership of the party. Many grassroots supporters believed a David Miliband-led Labour Party would tackle the Conservatives more effectively, reaching out to voters in marginal seats as well as securing Labour's core support
 
Mkuu wewe ndo Albert na unatumia ID feki ama.????

Watu wengine bana; Albert nae kaja kwenye uzi huu na katoa ufafanuzi ila bado wataka kujua mimi ni nani? Jina kamili naitwa mme wangu na sio albert msando
 
Ritz, kama mmoja anasema napokea posho, mwingine anasema sipokei posho ugomvi unatoka wapi? Ni sawa na mimi kusema wewe unaitwa Ritz mimi naitwa Albert. Sasa tunagombana nini kuhusu majina??? Eti tunabishana mpaka tulete vyeti vya Ubatizo na Kuzaliwa??

Kwa nafasi zao wala wasingefika huku kama suala ni 'Je Mbunge apokee au asipokee posho'

Hapa ukisoma vizuri jinsi wote walivyoandika utaona kutofautiana kuhusu posho ni exit point. Ni mahali pa kutokea tu. utaona wazi kuwa hawa ni watu ambao hawaongei kila siku.

Unajua tunaendekeza mambo ambayo hayana msingi kama vijana. Kama mtu ni mwizi na fisadi kwa nini tunamuacha? Tunasingizia hakuna ushahidi, je sasa kama ushahidi haupo kwanini tunamsema??

Haya tunasema huyu ni muongo na msambaza fitna mbona anaachwa?? Kulindana mpaka lini?? Hiyo ndio mantiki yangu kwamba kuna zaidi ya yale tunayoambiwa.

Kuna watu wanadhani kwamba kuna ninayojua. Ukweli ni kwamba sijui ila sio mjinga kutokutafakari kile ninachokiona.

Tutafika tu. Mti utapuputisha majani ila hautakauka.

Ni wapi alipoandika Zitto panapoonyesha ana issue na Lema zaidi ya posho?kwa nini uzunguke?Zitto kajibu tu hoja alizoshutumiwa...Kama kuna issue zaidi ya posho hilo ni vyema aulizwe Lema.
 
Lema ukweli umekuweka huru - cha msingi umeshamwambia hiyo tabia yake ya kula la kupiliza au ile ya kinyonga kubadilisha rangi wengi tunaijua aachane nayo; leo tunajenga wote hoja kesho unaibuka na version ya kwako - si mara ya kwanza Zitto kwenda kinyume na maamuzi ya Chama / Viongozi wake kwa kisingizio cha Demokrasia.

Kuna siku wabunge wenzake walishampigia kura kutokuwa na Imani naye - Sasa yaani kila siku unasingiwa wewe tu brother? kaa chini jifikirie tena inawezekana una mapungufu.

YES - Wanaume ni kuambiana ukweli.
 
Albert,

I concur with you....Very good!

Je unakubaliana na Albert hata anaposema hivi?:

Nimesoma andiko la Lema. Limejaa hasira, jazba na kiasi fulani chuki. Nimesoma majibu ya Zitto. Yamejaa kujiamini, kupuuzia na kiasi fulani dharau. Nawajua jinsi mlivyo kwa hiyo sishangai na wala hainikeri.
 
Watu wengine bana; Albert nae kaja kwenye uzi huu na katoa ufafanuzi ila bado wataka kujua mimi ni nani? Jina kamili naitwa mme wangu na sio albert msando
Mkuu usichukulie Jazba na ninaomba ku declare interest yangu kuwa mie ni miongoni mwa tunaomkubali sana Kamanda Advocate Albert, nauliza essence ya wewe kuanzisha uzi ambao kama anguanzisha Albert Mwenyewe ingeleta Mashiko zaid.
Ni Hivyo tu Kamanda.
 
Ninaloliona hapa ni kutafuta umaarufu tu, na kama mtu unasema Chadema sio kitu bila wewe si toka Chadema kaanzishe chama chako tuone kama Chadema itasimama au itakufa. Na hicho ndio kitakuwa kipimo cha umaarufu wako.
 
Kwa akilim za kawaida tu, tatizo kama walivyosema baadhi ya wajumbe sio kupokea au kukataa posho. Tofauti hizo haziwezi kumfanya mtu kuja hapa kupost madongo ya kiongozi wake ambaye ni mbunge mwenzie.Nadhani kuna kitu kimegundulika na kinachoudhi sana ambacho kimepelekea kauchokozi katafutwe.
Lema nakuamini sana kwa kuwa mtu mwenye msimamo na usiyetetereka. Hebu usizunguke mbuyu, kama umeamua kuja hapa JF tueleze issue yenyewe yaliyokusukuma kuja hapa kutuambia hayo uliyosema.

Zitto hebu jiulize kwa nini wewe na Shibuda mnakuwa mnahisiwa kuwa mamluki au Ndumila kuwili?
Na hii kauli ya Mbowe kuwa kuna Viongozi wa chama wanaokihujumu chama, haina uhusianao kweli na mnyukano huu?

:confused2:JUST THINKING
 
simbilisi acha matusi, kwani Zito ni nani???
Ameanza kupoteza heshima kwa kufadhiliwa na CCM, tunaona siio mwenzetu!!!
 
Last edited by a moderator:
zito nimbunge nanikiongozi anae paswa kuigwa nasisi vijana.

Zito nibinaadam anamapungufu yake.

Na lema nae nibinaadam anamapungufu yake.

Tuwaombe kwapamoja wasitutoe kwenye njia yakuelekea kudai uhuru.

Hasira na chuki zenu wekeni pembeni.kaeni muone wapi mnapaswa kutupeleka
 
kwa hazina hii mtu anasema eti Chadema akiondoka sijuhi nani itakufa,nani kakudanganya? Chadema imejaa vipaji vya kutosha hongera sana Mh Albert

Mitandao haina nafasi yoyte kuendeleza chama, wengi wetu hatumjui huyo Mh Albert. so utegemee kauli mitandaoni kufanikisha lolote.
 
Mkuu @mhwobo kipindi hiki ukifatilia Zito anatumika kubomoa chama si kujijenga!!!
Tunashukuru kwa kazi aliyofanya kipindi hicho, bali sasa yuko kwenye net ya mafisadi, muelekeo
wa Chama na yeye ni tofauti!!
Ni bora ahamie kwa hao wafadhiri
wake!!
 
Back
Top Bottom