Salamu za wiki kwa ZITTO NA LEMA

Mkuu @mhwobo kipindi hiki ukifatilia Zito anatumika kubomoa chama si kujijenga!!!
Tunashukuru kwa kazi aliyofanya kipindi hicho, bali sasa yuko kwenye net ya mafisadi, muelekeo
wa Chama na yeye ni tofauti!!
Ni bora ahamie kwa hao wafadhiri
wake!!
huo ni mtazamo wako, hata mimi naona mtu anaekibomoa chama ni Lema
 
unajua kuna watu wanafikiri kwenye hili kutakuwa na mshindi kumbe wana sahau kujiuliza atakaye shindwa atashindwa vipi/

LEMA ANA HITAJI KUAMBIWA UKWELI.
NA KUNBUKA KUNA KIPINDI MBOWE ALIMKEMEA NASSARY LAKINI NA SHANGAA ANA SHINDWA KUMWANBIA LEMA APUNGUZE NIHEMKO YA KISIASA.

NA HIKI NI KIPIMO CHA MBOWE? LEMA NI NANI ASIAMBIWE

LEMA ANAHITAJI KUKEMEWA TUU.

MBOWE NA KUSUBIRI KWENYE HILI.

na hicho ndicho tunachokisubiria wanachadema otherwise kuna tatizo kwenye safu ya uongozi wa juu maana wote tumeshudia kwa mwenyekt wa arusha sasa na kwa lema tunasubiria mzani ule ule! Utumike
 
hoja zko zinaeleweka lakini kumbuka kukisaidia cchama si ndo utumie dhamana hiyo kukiua,halafu kumbuka CDM ilianza kuwa maarufu hata kabla ya Zitto ndo maana hata yeye alikiona ni chama kinacho mfaa........hakuna mtu maalufu kukizidi chama.........kwani naamini hata Zitto mwenyewe angekuwa chama kingine tofauti na CDM pengine asingekuwa kwenye hali kama hii ya sasa hivyo ni lazima tuwe tunapima pande zote mbili......pia tumwangalie Zitto wa sasa na wa zamani jiulize ni kwa nini mambo mengi siku hizi anafanya katika ubinafsi na si kichama?.......Hata umahili wake siku hizi haupo tena kwani hata takwimu za bunge zinaonesha na kama ni umahili hata wakina dr slaa walishakuwa mahili kabla ya yeye............Umalufu wake siku hizi umeshuka na kama unabisha hili liko wazi katika jamiii hii
 
Nashukuru kaka kwa kunikumbusha ,nafuta usemi na nasisitiza nchi haiwezi jengwa na ccm hii inayokumbatia uchafu wa kila aina.
Nionapo mtu wa Mbeya Mbele yangu najua haki itatendeka (kumbuka jinsi polisi Mwampamba alivyojaribu bila mafanikio kuokoa maisha ya Mwangosi).. Pili, Naona ujasiri katika maamuzi (Kumbuka Mwakyembe Vs Serikali, Ulimboka Vs Serikali n.k.)... Nakukubali sana!
 
Ukimya wa rafiki unaumiza kuliko kelele za adui...

Sishangai mtu kuniita mnafiki. Ni mawazo au fikra. Ila katika hili sina unafiki wowote. Simuogopi Lema na wala simtetei. Sina sababu ya kumuogopa.

Suala hapa ni Lema na Zitto kuangalia kile kilicho kwenye nafsi zao. Posho sio tatizo.

Kuhusu vikao sijadharau vikao. Ila kukimbilia kwenye kichaka cha vikao ni unafiki. Tabia ya kuficha mambo kisa eti itaathiri chama ni unafiki. Tutakuwa na tofauti gani na CCM? Chama kinaathirika vipi kama Zitto ni mla rushwa na mnafiki? Au kama Lema ni muongo na aliyejaa fitna?

Chama kitaimarika pale ambapo tutajua mla rushwa ni nani, muongo nani na mnafiki nani. Tuache woga wa kufikirika.

Kuhusu Mwigamba kuhukumiwa sijawahi kusema ni sawa au si sawa. Sikuwepo wakati yanatokea na sijaongea na mtu yeyote kuulizia. Sina double standards hata kidogo.

Mazungumzo yangu niliyamaliza kwa kusema wajipime kwa utendaji wao na baada ya hapo tutaona kama wapokee au wasipokee posho.

Sina allegiance kwa yeyote kati yao. Sijaongea na Lema wala Zitto kuhusu hili. Mawazo au maoni yangu yanabaki kwangu. Mapungufu au kutokukubalika kwake hakumaanishi sistahili kusema. Nastahili kupuuzwa na yule ambae anaona hayafai.

Mwisho, wahusika wanahaki ya kujibu au kutokujibu. Pia kupuuza.
Kaka hapa unatudanganya ,umeonyesha wazi wewe upo upande gani...Action speak louder than words
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom