Salamu za wiki kwa ZITTO NA LEMA

Salamu za wiki kwa ZITTO NA LEMA

mwobho

Tatizo moja umeegemea upande mmoja.. Anapokosolewa Zitto haina maana kuwa hakutenda mema... Yanayoudhi ni yale anayotenda chini ya kapeti kuendesha usaliti. Nakuhakikishia Mtela, Mchange, Shonza, Eddo n.k. wasingeondoka CDM kama si kutumiwa vibaya na huyu bro. FANYA UCHUNGUZI...
 
Last edited by a moderator:
ya tega mkuu,utasikia mengi ila hutaona unachokikusudia
Mkuu, macho hayana pazia!.

Hata haya marumbano ya posho sikutegemea kama yangeweza kutokea kwa viongozi wa ngazi ya juu kabisa ndani ya chama kinachojinasibisha kupigania wananchi walalahoi kwa kufuta kodi ambazo hazina tija little known to them kama posho wanazozihitaji zinatoka kwenye hiyo kodi isiyo na tija. Kwa lugha nyingine, kutaka posho zifutwe ni sawa na kujikata mikono wanayotumia kupata mlo wa siku.
 
Wahenga walisema mgema akisifiwa, tembo huitia maji. CHADEMA ilikuwa kitu kimoja hadi pale uchaguzi ngazi ya taifa ulipofika, mkoroganyo ukaanza hapo. Since then hali si shwari. By then nliona wazee wamefanya jema kumshauri Zitto asigombee uenyekiti, now naona kosa kubwa lilifanyika. Walitakiwa waachwe Mbowe na Zitto kwenye contest, wanachama wangeamua mshindi nani, hadi leo hii CHADEMA ingekuwa moja na salama. Nnachokiona ni Mbowe kutumia madaraka yake ku-protect nyadhifa yake ndani ya chama, bad enough muda wake umeisha haoni mafanikio aliyoyapata, leo hii Zitto angekuwa mwenyekiti, chama kingekuwa kimefika mbali, tayari tungekuwa tunaandaa kijana kushika dola, ila just because haki haikutendeka back then, chama hakijatulia hadi leo. CHADEMA kama chama hakitotambua wapi kiliteleza basi yale makosa ya CCM kupangiana viongozi kirafiki yataicost CHADEMA very soon na chama kitasambaratika kabisa. Mwisho wa siku tutaanza sema Wasira alisema hivi, kumbe chama tumekiua wenyewe.

Narudia tena kusema, waacheni wanachama waamue nani akiongoze chama, sio Mtei.

Wewe ulitaka chama kikue kwa mantiki ipi? Kipindue serikali?
 
Zitto ni jembe anaheshimika hata na watu wenye heshma zao. Ngos na mashirika makubwa nchini yanamtaji kwenye midahalo. Anaandka makala hadi kwny magazeti ya mbele kuhusu afrika. Hakuna shrika la maana lnaloweza mwalika lema. Zzk ni gaucho wa siasa tz
 
Albert anatakiwa kujua kuwa waswahili wana misemo mingi. Maana hata wakati akina Nelson Mandela, Solomon Mahalangw, Steve Biko, Ernesto Che Guevara, Ken Saro Wiwa, Martin Luther na wengineo wakati wanapigania haki na ukombozi wa jamii yao, Watawala walisema wanatafuta UMAARUFU.

Sasa kama Lema anapigania haki, usawa na ukweli kwa kuwaanika wazi wanafiki na wasaliti ndani ya chama basi wacha waseme Lema anatafuta UMAARUFU.

Huwezi kufikiria kuchukua mamlaka ya nchi wakati ndani kwako kuna wanafiki na wasaliti ndani ya nyumba yako hujawasafisha. Labda tukubaliane njia inayofaa kuwashughulikia wanafiki, wasaliti na wabinafsi.

Kama kukaa kimya huku unawaza kuchukua nchi eti wengine wakuite Mzalendo kinafiki wacha Lema aitwe mkorofi, na ni heri akose ubunge kwa kutetea haki, usawa na ukweli ndani ya chama na nje ya chama kuliko kuwa mnafiki

Alichosema Albert in short ni kwamba Lema ni mnafiki anayejifanya ana ugomvi kuhusu posho kumbe ana agenda nyingine...
 
Niko against na CHADEMA kwa mambo mengi kwa hili nakubali ya kuwa Zitto ndio alibadili sana upepo na sura kwa vijana wengi kujiunga na kuisupport CHADEMA,si Mbowe wala Slaa walio fanyayote haya au kuleta huu ushawishi,nivigumu kuamini mtu kama huyu kuweza kutumiwa na baadhi ya watu kukivuruga CDM bado na mashaka sana na baadhi ya viongozi wa cdm kuleta ugomvi binafsi na kuungiza kwenye chama
Huhitaji kuwa na mamilioni ya fedha kujua usaliti huu... Utafiti mdogo tu.... Onana na Mchange, Gwakisa, Mwakajila, Mwigamba, Shonza, Mtela n.k. jifunze kwao chanzo cha mgogoro wao na CDM... Ni vijana wengi aliowashawishi na kuwatumia lakini wengine wakapingana naye.
 
Kamanda lema yupo sahihi.

Chadema ni taasisi ambapo tungependa kuona viongozi na wanachama wake wanafanya kazi ktk mifumo ya team working and networking na si kama ambavyo baadhi yao wamevyokuwa wakifanya ama kwa kujiona kuwa ni wa kipekee kwa maana ya kuwa ni miongoni mwa wabunge ambao hoja zao zimekuwa materialized kuliko wengine kama ambavyo wamekuwa wakijinasibu au pengine ni hulka za dharau kujiona bora kuliko wengine.

Na hili sisi kama wanachama tulishaliona mda mrefu kabla hata lema hajaliweka bayana.Kuna watu wanapenda sifa na umaarufu wa kipekee kuliko ule wa kitaasisi na hili linajidhihirisha kwa namna mtu anavyowaza nitoke vipi na si tutoke vipi kama chama. Inapangwa mikakati ya pamoja lakini mtu anakurupuka kwa staili ya nitoke vipi. Watu hawa ni wabinafsi na wasaliti na hakuna haja ya kuwabembeleza.

Na tusijidanganye eti mtu fulani ndo amekuza chama.
Kwa taarifa tu mi ni miongoni mwa vijana ambaye kimsingi nilitokewa kuvutiwa na siasa za utetezi wa wanyonge kupitia chama hiki bungeni kama taasisi na si mtu binafsi kama wengi wamevyokuwa wakinadi.Kwa hiyo msipotoshe ukweli kuwa vijana tulivutiwa na uwepo wa kijana bungeni bali ni uhodari wa ujengaji wa hoja kupitia wabunge wake wote.
 
Zitto ni jembe anaheshimika hata na watu wenye heshma zao. Ngos na mashirika makubwa nchini yanamtaji kwenye midahalo. Anaandka makala hadi kwny magazeti ya mbele kuhusu afrika. Hakuna shrika la maana lnaloweza mwalika lema. Zzk ni gaucho wa siasa tz
Umemtafutia mpini?
 
kwani mmesahau unafiki wa zitto na hila zake tangu kipindi cha akina kafulila njoo kwa Juliana shonza na kujifanya kapewa sumu anajiona na kufikiri kuwa ana akili na ana mvuto hana lolote ni mpuuzi
 
Kaka zitto songa mbele japo wanakufanyia fitna viongozi wako...wewe ndio mkweli
Hafanyiwi fitina.. Anajifanyia fitina kwa kurubuni vijana wasaliti chama.
Naungana mkono na wewe mia kwa mia, vijana tunatakiwa tupunguze mihemko(munkari) . Hii nchi tutaijenga kwa kushirikiana sote uwe cdm ,cuf ama ccm, tunapoteza muda mwingi kulumbana kwa mambo yasiyo na na msingi
Huu ni unafiki... Mnajenga nchi na majangili? Mnajenga nchi na mafisadi... Mwakalinga acha unafiki... Kwenu nyie ni watu wenye misimamo inayo heshimika si unafiki huu.
 
Hakuna jipya hapa.
Mbona kwa swala la mwigamba wote tulisema amekosea?

Huyu anajaribu kumtetea lema kwa kujificha na kwa maneno yake anaonesha kukubali njia aliyotumia Godbless J Lema.

Albert anasema kwenye vikao vya chama mambo ubaki kulekule na huwa siri za vikao hivyo muda mwingine ni lazima watu waseme nje ya vikao hili tujue.

Kwa mantiki hiyo kukingana na maansishi ya albert ni wazi ana support njia ya aliyotumia mwigamba.

Na kama mwigamba was right kwa nini alipewa adhabu? Is this double standard albert?

Albert kwa nini mwigamba aliadhibiwa?

Albert amejikuta ana muita Godbless J Lema mnafiki maana amesema posho si chanzo cha vurugu za lema.

Albert mbona una jichanganya?

Albert anaonekana kujua chanzo cha hizi vurugu kinyume tunavyo fikiri na amejikuta ajiita mnafiki kama alivyo muita lema maana hata yeye kashindwa kusema pamoja na kusema kuwa muda mwingine watu wanatakiwa kuongea hata nje ya vikao lakini yeye kashindwa.

Albert amejaribu kuzunguka mbuya lakini mwisho wa siku ameonesha dharau kubwa kwa vikao vya chama na walio tunga kanuni maana ana zipinga.

Albert anaogopa kumwambia ukweli lema kuwa amekosea na aache ujinga.

Albert ni mnafiki anamuogopa lema.

Hivi mbowe,albert lema ni nani mpaka asikemewe?

Zitto ni naibu katibu mkuu lakini huyu albert ana halalisha lema kumtuhumu kiongozi wa juu wa chama kupitia mitandao.

Hivi albert una muogopa lema hili iweje?

Albert anajidanganya kuwa njia anayo itumia lema kuwa ni nzuri na cha kina weza baki salama,hapa akawadanganye watoto wake ,time will tell.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna jipya hapa.
Albert aseme hapa kuwa hakuna sababu ya vikao vyachama?
 
Hakuna jipya hapa.
Mbona kwa swala la mwigamba wote tulisema amekosea?

Huyu anajaribu kumtetea lema kwa kujificha na kwa maneno yake anaonesha kukubali njia aliyotumia Godbless J Lema.

Albert anasema kwenye vikao vya chama mambo ubaki kulekule na huwa siri za vikao hivyo muda mwingine ni lazima watu waseme nje ya vikao hili tujue.

Kwa mantiki hiyo kukingana na maansishi ya albert ni wazi ana support njia ya aliyotumia mwigamba.

Na kama mwigamba was right kwa nini alipewa adhabu? Is this double standard albert?

Albert kwa nini mwigamba aliadhibiwa?

Albert amejikuta ana muita Godbless J Lema mnafiki maana amesema posho si chanzo cha vurugu za lema.

Albert mbona una jichanganya?

Albert anaonekana kujua chanzo cha hizi vurugu kinyume tunavyo fikiri na amejikuta ajiita mnafiki kama alivyo muita lema maana hata yeye kashindwa kusema pamoja na kusema kuwa muda mwingine watu wanatakiwa kuongea hata nje ya vikao lakini yeye kashindwa.

Albert amejaribu kuzunguka mbuya lakini mwisho wa siku ameonesha dharau kubwa kwa vikao vya chama na walio tunga kanuni maana ana zipinga.

Albert anaogopa kumwambia ukweli lema kuwa amekosea na aache ujinga.

Albert ni mnafiki anamuogopa lema.

Hivi mbowe,albert lema ni nani mpaka asikemewe?

Zitto ni naibu katibu mkuu lakini huyu albert ana halalisha lema kumtuhumu kiongozi wa juu wa chama kupitia mitandao.

Hivi albert una muogopa lema hili iweje?

Albert anajidanganya kuwa njia anayo itumia lema kuwa ni nzuri na cha kina weza baki salama,hapa akawadanganye watoto wake ,time will tell.
Hili ndilo tatizo la unafiki kutaka kuuficha kwa kutumia uwongo. Anataka awe sehemu zote za mapambano kutaka kuwaridhisha wote wakati huo huo bila kufahamu kumbe anamponda mmojawapo na kujichanganya katika maelezo yake mpaka kukosa hata mantiki.

Kupindisha ukweli siyo kazi rahisi hata magwiji wa tamthlia huwa hawawezi kupambana na ukweli.

Ingekuwa bora tu akanyamaza kama walivyonyamaza wanaCHADEMA wengi hapa JF ambao hawataki kuweka nyanya za kisiasa kwenye kikapu kimoja.

Mtifuano wa Mh. Zitto na Mh. Lema hautaki wanafiki bali unahitaji wachangiaji ambao ni impartial au wenye side.
 
Moja ya mambo yaliyonisukuma nianike jambo hili ni mwanzo wa story hii ya miamba hawa wawili . Story ilianzia FB kwa mkuu Zitto kuweweka bandiko hili:

Kama ulivyoona hapo juu alitajwa ndugu yetu Albert Msando, sasa leo kamanda Albert Msando amevunja ukimya na kuweka haya kwenywe wall yake ya FB kama Salamu kwa Godbless J Lema na Zitto.



Wakiweza kujibu hoja kutokana na mambo hayo manne kweli naamini utakuwa mwanzo mzuri wa kumaliza tofauti za manguli hawa wawili

Majibu ya Zitto kwa hili

mkuu mwakalinga hilo bandiko hapo juu ni la albert msando au nassari?coz nimeliona kwenye fb wall ya nassari kama yeye ndo amepost....ufafanuzi plz
 
Mkuu katika hatua iliyopo ya CDM ebu jiulize kwa nini ZZK anaongea mambo ambayo sivyo alivyo katika maisha yake? ZZK ni tatizo hata ajitetee vipi ndiyo maana kipenzi cha Lumumba( Why Mheshimiwa Mbunge Zitto is My Hero!!
Started by W. J. Malecela, Today 19:13. )

Hata hivyo hana credibility yo yote anapojisifia ana marafiki mabepari, mamaxist angeweza kusema mafisadi ila anaogopa kuchafua hewa.
 
Kumbe nimekuja kugundua jambo flani katika siasa zetu za Tanzania. Kiongozi aina ya Zitto Kabwe ni kiongozi ambaye hawafikishi wananchi mahali pale wanapopataka, anawapeleka wananchi sehemu flani na kisha anawaacha hapo hapo. Na ndiyo siasa za aina kiongozi huyu zilivyo. Kama kuna mtu ananibishia kuhusu hili nitamshangaa sana, kwani Zitto aliwaunganisha vijana karibu wote hapa Tanzania katika awamu ya kwanza ya Kikwete, awamu ya pili ya Kikwete Zitto huyu huyu kawachukua wasanii wa bongo flava wanaotoka mkoa wa Kigoma tu, kawaimbisha jukwaani mara sijui wakatengeneza group. Mmmh! Embu tujipeni muda tuendelee na shughuli zetu za maana, tuone episode gani itafuatia.
 
Back
Top Bottom