Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,771
Swali zuri sana, nami nangojea majibu.Dharau na kiburi cha zzk kwny lile bandko ni zipi?

Hivi Zitto na Godbless J Lema nani alianza kumuanika mwenzake kwenye mitandao.
Rutta, Mwigamba alifanya nini kati ya haya?
1. Kuandika habari JF bila kuwaambia wengine
2. Kutokutumia vikao kusema yale anayoona ni matatizo chamani?
Kumbuka yeye ni mjumbe wa vikao vya chama kaka. Sio kama mimi na wewe ambao ni wajumbe wa JF. Labda ndio maana akahukumiwa haraka haraka. Ila kama alisema ukweli kuhusu Mbowe au mtu mwingine yeyote basi yuko sahihi. Na asipewe adhabu kwa kusema ukweli hata kama unauma na unawagusa wale tunaowapenda.
Kuna kitu kimoja kwenye Sheria, ushahidi ni ushahidi hata kama umepatikana katika mazingira vunjifu ya Sheria. Nasema ukweli ni ukweli hata kama umetolewa katika njia ambayo sio sahihi.
Mwigamba kakosea njia ya kusema kile anachoamini ni ukweli lakini hajakosea kukisema. Sasa tunakijua na hilo ndilo la msingi. Waliosemwa watoe maelezo tofauti na kumpinga kwamba kasemea nje ya vikao lakini hatua pia zichukuliwe kwa yeye kukiuka utaratibu kama upo. Ni rahisi sana mbona?
Zitto na Lema wamesemana na sasa tunajua walichokisema. Njia ya kusemea sio sahihi kwa madai ya baadhi ya watu. Sawa. Lakini tumeshasikia watueleze tatizo ni nini.
Pia Nakubali kujadiliwa. Na kama nimekosea nikishajadiliwa basi nipuuzwe kama nilichosema sio sahihi au kina mapungufu. Hiyo ndio maana ya majadiliano.
Rutta, Mwigamba alifanya nini kati ya haya?
1. Kuandika habari JF bila kuwaambia wengine
2. Kutokutumia vikao kusema yale anayoona ni matatizo chamani?
Kumbuka yeye ni mjumbe wa vikao vya chama kaka. Sio kama mimi na wewe ambao ni wajumbe wa JF. Labda ndio maana akahukumiwa haraka haraka. Ila kama alisema ukweli kuhusu Mbowe au mtu mwingine yeyote basi yuko sahihi. Na asipewe adhabu kwa kusema ukweli hata kama unauma na unawagusa wale tunaowapenda.
Kuna kitu kimoja kwenye Sheria, ushahidi ni ushahidi hata kama umepatikana katika mazingira vunjifu ya Sheria. Nasema ukweli ni ukweli hata kama umetolewa katika njia ambayo sio sahihi.
Mwigamba kakosea njia ya kusema kile anachoamini ni ukweli lakini hajakosea kukisema. Sasa tunakijua na hilo ndilo la msingi. Waliosemwa watoe maelezo tofauti na kumpinga kwamba kasemea nje ya vikao lakini hatua pia zichukuliwe kwa yeye kukiuka utaratibu kama upo. Ni rahisi sana mbona?
Zitto na Lema wamesemana na sasa tunajua walichokisema. Njia ya kusemea sio sahihi kwa madai ya baadhi ya watu. Sawa. Lakini tumeshasikia watueleze tatizo ni nini. Bado sijabariki njia aliyotumia ila sina tatizo na yeye kusema kisa tu kitaathiri chama Rutta. Chama ni zaidi ya Zitto na Lema. Trust me.

Mnaosema Chadema ni chama cha wachaga msome Msando between the the lines!!
Huwezi kuwa Chadema kaskazini ukatamka hadharani kuwa Lema anafanya makosa,MsandoAlberto anajaribu kujitutumua lakini anashindwa kuweka bayana tatizo.
Hawa ndiyo watetezi Lema, kaishapewa viroba basi anaropoka tu.Unauliza haja kubwa utapataje wakati umebebelea kinyeo.
We vipi!!! lazima utakuwa bonge la mbwege!!
tatizo lako sijui kuna vita ya kimaslahi kati yako na Albert ndiyo maana ukakurupuka na maneno makali.
Elewa point ya hakuna uwoga, bali kinachotakiwa hapa ni Mnafiki ni nani na Mwongo ni nani, na point ya kusema watu wajue ulielewa watajulia wapi?
Acha ushabiki wa u-ccm mkuu.
hapo umemuwekea msandoalberto maneno mdomoni, ni wapi kasema lema kapotoka?
Huwezi kunielewa maana akili hazikuruhusu na huwezi kulazimisha.It's naturalBen Saanane ueleweki,jana uliunga mkono lema ujielewi nini
Albert Msando
Wewe ni rafiki yangu tunafahamiana muda sasa umenistua uliposema tatizo siyo posho kuna kitu nyuma.
Mkuu kama umeamua kufunguka tuambie tatizo ni nini.
Kumbe kelele za posho ni uongo.
Majanga.
Albert has done a wonderful job...
Tatizo la CHADEMA rogue elements kibao, ukichanganya hilo na uongozi dhaifu ndo unapata huu upuuzi wa akina Lema na Zitto.
Rutta, Mwigamba alifanya nini kati ya haya?
1. Kuandika habari JF bila kuwaambia wengine
2. Kutokutumia vikao kusema yale anayoona ni matatizo chamani?
Kumbuka yeye ni mjumbe wa vikao vya chama kaka. Sio kama mimi na wewe ambao ni wajumbe wa JF. Labda ndio maana akahukumiwa haraka haraka. Ila kama alisema ukweli kuhusu Mbowe au mtu mwingine yeyote basi yuko sahihi. Na asipewe adhabu kwa kusema ukweli hata kama unauma na unawagusa wale tunaowapenda.
Kuna kitu kimoja kwenye Sheria, ushahidi ni ushahidi hata kama umepatikana katika mazingira vunjifu ya Sheria. Nasema ukweli ni ukweli hata kama umetolewa katika njia ambayo sio sahihi.
Mwigamba kakosea njia ya kusema kile anachoamini ni ukweli lakini hajakosea kukisema. Sasa tunakijua na hilo ndilo la msingi. Waliosemwa watoe maelezo tofauti na kumpinga kwamba kasemea nje ya vikao lakini hatua pia zichukuliwe kwa yeye kukiuka utaratibu kama upo. Ni rahisi sana mbona?
Zitto na Lema wamesemana na sasa tunajua walichokisema. Njia ya kusemea sio sahihi kwa madai ya baadhi ya watu. Sawa. Lakini tumeshasikia watueleze tatizo ni nini. Bado sijabariki njia aliyotumia ila sina tatizo na yeye kusema kisa tu kitaathiri chama Rutta. Chama ni zaidi ya Zitto na Lema. Trust me.
Pia Nakubali kujadiliwa. Na kama nimekosea nikishajadiliwa basi nipuuzwe kama nilichosema sio sahihi au kina mapungufu. Hiyo ndio maana ya majadiliano.
Nimesoma majibu ya Zitto kwa Lema, lakini niseme tu kwamba Zitto Kabwe anafanya kosa kubwa kwa kuendesha siasa zake ndani ya CHADEMA akidhani kuwa yuko Ulaya na Marekani ambako ukomavu wa siasa katika vyama na uelewa wa wanachama na wananchi kwa ujumla ni wa kiwango cha juu sana. Amekosa utambuzi wa kuelewa level ya utambuzi wa watu wake, hivyo kutaka kuwajaza demokrasia za Kimarekani na Ulaya ni sawa na yeye kukimbia km 50 kwa saa wakati anaowaongoza wanakimbia km 5 kwa saa,(Hata CCM hawakuwa wanafanya hivyo siku za nyuma, walijitahidi sana kwenda mwendo wa wajumbe wa mashina enzi ya Mwalimu). Mwisho wake Zitto anajikuta anakimbia peke yake na wenzake wachache na kuliacha kundi kubwa nyuma, ndio maana anaitwa msaliti. Ushauri wangu kwake kama anaweze ashike breki aamgalia nyuma wenzake kawaacha wapi, vinginevyo anaweza kupitiliza hata katika mstari wa kumaliza mbio na kujikuta hana hata mtu wa kumsghangilia