Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Kwenye hili Lema alipaswa kuambiwa kweli, kwamba yeye ni mtu mzima awe anatafakari kabla ya kulopoka hovyo, huwezi kumlipua Zitto, Mbowe au Dr Slaa bila kuiathiri Chadema. Lema amejisahau sana anaendesha siasa za kupumbaza vijana aonekane ana hoja za msingi wakati kiukweli anataka maslahi binafsi, Lema usidhani kila mtu ni kijana wako wengine tumeanza mbali nahiki chama ukikivuruga na tukajua source ni wewe utatafuta namna ya kutujibu
unajua kuna watu wanafikiri kwenye hili kutakuwa na mshindi kumbe wana sahau kujiuliza atakaye shindwa atashindwa vipi/
LEMA ANA HITAJI KUAMBIWA UKWELI.
NA KUNBUKA KUNA KIPINDI MBOWE ALIMKEMEA NASSARY LAKINI NA SHANGAA ANA SHINDWA KUMWANBIA LEMA APUNGUZE NIHEMKO YA KISIASA.
NA HIKI NI KIPIMO CHA MBOWE? LEMA NI NANI ASIAMBIWE
LEMA ANAHITAJI KUKEMEWA TUU.
MBOWE NA KUSUBIRI KWENYE HILI.