Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Erickb52 yani wewe!!.............staki salam zako hadi uniombe msamaha
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana kajukuu kapendwa,

Ishallah nitakuja huko tuongee yale mambo yetu kukukabidhi urithi...

Babu DC!!

Babu ndio maana nakupenda...!
Uko systematic sana sio kama Bishanga
Haya uje na Arabela eeh huo ndio urithi wa pekee unaopaswa kunachia
 
Last edited by a moderator:
We kakoroge harmal unywe mwenyewe napeta tu sina roho ya paka kwa jinsi ninavyopendwa hadi najionea wivu najihsi mtoto wa miaka 12
Heheheheee eti upendwe lol nani akupende?
Huna haya aibu we ngoja wanaopenda matapishi km Bishanga ila sio watanashati na masharobaro.
We ushaepure
 
Last edited by a moderator:
Babu ndio maana nakupenda...!
Uko systematic sana sio kama Bishanga
Haya uje na Arabela eeh huo ndio urithi wa pekee unaopaswa kunachia

Hapa sasa utaka kuharibu wewe mwana wee.....

Mambo ya urithi hayajadiliwi hadharani bwana....

Au kwa sababu mimi ni analogia??

Babu DC!!
 
upo kijana......asante nawe nakutakia upendo mwingi
upendo wa agape sio huo wako wa naniluuu


Watu wa 1947 utawajua tu, wakihisi haya mambo ya hawa vijana wa dotcom inakuwa kama wana allergy....

Ndo maana mzee mwenzangu CHUAKACHARA nilimwona anatamani kutoa machozi asubuhi...lol!!

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya Amyner ;
Nimeona niwarushie salamu za valentine mapemaa kwa kuwa nimewakumbuka sana na siwezi kusubiri hadi siku hiyo ifike! Kwa upendeleo naomba Kipipi uzipokee salamu zangu za dhati kwa upendo wako ambao hausemeki!
Rafiki zangu Chimbuvu TANMO Baba V noahism watu8 BAGAH Slave kapsitrano Nicas Mtei Smiling Saint Katavi moto2012 Mwanyasi KakaKiiza C6 na Young Master nawasalimu sana.
Pia kwa wana Arusha Mr Rocky PakaJimmy Preta sweetlady Preta Mzee wa Rula Lily Flower Filipo na mkeo marejesho Mungi LiverpoolFC Blaki Womani Arushaone Tonykp na Kabakabana nawamiss sana aisee.
Chit chat ladies bila shaka you are the best! Salamu kwa Remmy (I miss your love) Arabela (Ntakuja Tanga) KOKUTONA (Mtunze Erick) AshaDii Smile Madame B (Tukutane kuleeee kwa Evelyn Salt na kisukari ) YNNAH (Nakumiss) nivea King'asti Mamndenyi gfsonwin FP BADILI TABIA (Umepotea sana) CUTE (Long time) ladyfurahia passion lady (Pamoja mdada) Kongosho (Ushazeeka) The secretary (Usinizoee) mwaJ beibe nasty Paloma

Babu zangu Dark City na Asprin na mzee Bishanga na mzee Mtambuzi salamu zenu!
Special greetings kwa charminglady Roulette Judgement Invisible

Ujumbe wangu: Tuishi kwa upendo na mshikamano...Upendo hauna gharama!

Copy kwa Amyner



Bwana mdogo, Salamaleko..............
 
Heheheheee eti upendwe lol nani akupende?
Huna haya aibu we ngoja wanaopenda matapishi km Bishanga ila sio watanashati na masharobaro.
We ushaepure

We hujawai kupendwa zaidi ya kutendwa ndo maana hujui radha yake utamu ee hujaonja utamu wa penzi wee utamu wa penzi ee yereree
 
Last edited by a moderator:
Hivi Erickb52 hii mada inaruhusiwa kuchakachuliwa, kuna mtu nimemuona hapa nataka kumchokoza..???
 
Last edited by a moderator:
Erickb52... Nakusalimu wewe na Amyner with Love. Nawaombea na kuwatakia valentine njema...
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 unajua juzi ulipoondoka umesahau iteitei lako huku home wacha watu walione wacheke ,ila nakuonya uwe na heshima kwa sisi dadazako .msalimie Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Hapa sasa utaka kuharibu wewe mwana wee.....

Mambo ya urithi hayajadiliwi hadharani bwana....

Au kwa sababu mimi ni analogia??

Babu DC!!

Heheheheee kweli mababu wote ni Analogia ila sio wewe...!
 
Erickb52 hakunipa pole ya msiba ingawa alipata taarifa

Mh pole mwaya.
Mi sio wa kukaaga kimya kwa mambo ya kijamii sio JF tu hata uraiani.
Sina taarifa labda sikupita kwenye uzi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom