Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Kwa heshima niliyonayo kwako na Kiperemende, basi msamaha umepita bila shaka...
Karibu wewe na Amyner huku Port Lois Shelisheli, ndio tumejichimbia mie na darling wangu katika wiki hii nzima ya malav dav

Dah kweli aisee
Nisamehe watu8 unajua wakati napost Kipipi alinishtua nkapoteza memory ila we unajua jinsi gani namkumbuka shem wangu measkron
 
Last edited by a moderator:
Kwa heshima niliyonayo kwako na Kiperemende, basi msamaha umepita bila shaka...
Karibu wewe na Amyner huku Port Lois Shelisheli, ndio tumejichimbia mie na darling wangu katika wiki hii nzima ya malav dav

Asante
Mi na swthty wangu Amyner tutatia maguu jijini Durban Kesho jioni kwa mapumzikl hadi next Tuesday ndo tutarudi bongo
 
Last edited by a moderator:
nilidhani mngeondoka jana ili kuwahi fainali ya leo...

Asante
Mi na swthty wangu Amyner tutatia maguu jijini Durban Kesho jioni kwa mapumzikl hadi next Tuesday ndo tutarudi bongo
 
Last edited by a moderator:
hata kama mie mpenzi wako wa kwanza....hujanisalimu...pokea salamu zangu
 
Ahsante sana kajukuu kapendwa,

Ishallah nitakuja huko tuongee yale mambo yetu kukukabidhi urithi...

Babu DC!!
 
hebu rudia tena ulishaona wapi simba akazoewa?halafu umerudi macho juu juu unaulizia tu wake za watu

Hasa wewe nakutamani sana nataka nikikupa mambo umsahau Bishanga na uache kunizoeazoea ukidhani mi hanisi
 
We kakoroge harmal unywe mwenyewe napeta tu sina roho ya paka kwa jinsi ninavyopendwa hadi najionea wivu najihsi mtoto wa miaka 12
 
Last edited by a moderator:
upo kijana......asante nawe nakutakia upendo mwingi
upendo wa agape sio huo wako wa naniluuu
 
Back
Top Bottom