Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
njema tu wewe je? hivi ni kweli kuwa ma-doja wa cc jumapili huwa wengi? utaangalizia wapi mpira?
mh!ni kweli kabisa,mi mpira naangalizia home swt home na bby wangu rutta pembeni!
njema tu wewe je? hivi ni kweli kuwa ma-doja wa cc jumapili huwa wengi? utaangalizia wapi mpira?
Halafu nasikia mko timu tofauti hivyo atakayefungwa baadae naye anafungwa live mkiwa humo kwenye match zenu za ndani lol sipati picha timu ya mmoja ikifungwa 9 hahahaaaa kifuatacho ni mkesha kwikwikwiiii passion lady ni balaamh!ni kweli kabisa,mi mpira naangalizia home swt home na bby wangu rutta pembeni!
Hahahaaa usinune shem wangu siunajua ninavyokuenda aiseeHalafu wewe nikikukamata?? Ujue nimekununia kuanzia saa hizi USINISEMESHE TENA
ha ha haaaaaaaaaaaaa, kwa hisani ya watu wa mfaranyaki, lol!
Halafu nasikia mko timu tofauti hivyo atakayefungwa baadae naye anafungwa live mkiwa humo kwenye match zenu za ndani lol sipati picha timu ya mmoja ikifungwa 9 hahahaaaa kifuatacho ni mkesha kwikwikwiiii passion lady ni balaa
majukumu rafiki.....si unajua haya maisha?Kuna kipindi ulipotea madame, ulikuwa niaje?
Hahahaa ndio kazi zake
Ila angalia usimtose kama walokutangulia maana mnamtenda sana loya wangu Ruttashobolwa yan hadi anakonda kwa mawazo a kutoswa na nyie
Paloma mi sijakataa
sasa Vin Diesel mlimpeleka wapi tokea pale haonekani tena home wala mtaa wa jf,
hapa kuelewana ni mmrudishe walau hapa jamvini.
Mamndenyi....i cant give you a yey or a nay now kuhusu kushiriki kumtafuta huyu Vin Diesel, ila, let me promise you that he will contact you, sooner or later. Endelea kuvumilia a lil bit longer mamito!!!Paloma tutamtafuta huko huko mitaa ya kati.
Ngoja niwatafute Maria Roza na kisukari tuje zetu Madame BHahaha...
Erickb52, Mwambie Dena Amsi unayo sehemu salama ya Kushtua memory.
Ila inabidi uwahi kabla lokoo haijapita.
Mimi Juzi,Jana na Leo.
Wewe Jana tu.
Evelyn Salt, Kimbweka na funzadume watapita na Attendance Register.
Hahahaha...
AiiiiMamndenyi....i cant give you a yey or a nay now kuhusu kushiriki kumtafuta huyu Vin Diesel, ila, let me promise you that he will contact you, sooner or later. Endelea kuvumilia a lil bit longer mamito!!!
Madame B n'zeze!?!? heeeee.........nakumiss!!!
Mamndenyi....i cant give you a yey or a nay now kuhusu kushiriki kumtafuta huyu Vin Diesel, ila, let me promise you that he will contact you, sooner or later. Endelea kuvumilia a lil bit longer mamito!!!
Madame B n'zeze!?!? heeeee.........nakumiss!!!
Hivi ulijificha jukwa gani ummu kulthum ?
Mara ya mwisho tulionana kulee kwenye complains
Hamia chit chat bhana achana na majukwaa mwengine
vipi tena? huyo jamaa alikuwa anakuja sana kuniwangia nikafanikiwa kumtoa nishai sehemu na ndege yakeHahahaaaa uuwiiiiiii!