Salamu Toka kwa Erickb52

Salamu Toka kwa Erickb52

Fanya ufanyalo pinduka lakini sikio halizidi kichwa!???
Umeona wapi kuku akarudi reverse!??
Damu nzito kuliko maji...

Na hayo ni ya wahenga bado yangu...ngoja nijiendee zangu kwangu mie nshaona output = 0.00
Mentor hebu fanya mpango utueleweshe.....Huyu unayemwita dada yako mbona sijawahi kumsikia akimwita Catherine wifi?
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 Erickb52 Erickb52....una hamu sana ya kuongezewa kivumishi kwenye jina lako sio!??

NATOA ONYO: Mazoea na my waifu wangu Catherine UACHE lasivyo..

bak to ze topic: my waifu..sitachelewa ninamtuma private detective Pasco ashughulikie hilo suala then Arushaone atatusaidia kumu-identify victim wetu na Polisi atachukua hatua husika. huyu kesi yake haifunguliwi huku Dar maana atashindwa ku-concentrate kwa kushangaa maghorofa af ikiisha atang'ang'ania kubaki!

ooh n btw, ngoja nimwambie beibe nasty aje kukata mzizi wa fitna maana umezidi..mi nimng'ang'anie mdogo wangu? ndugu yangu? huwezi kuwa haujalewa wewe....

MKUU Mentor nashauri kesi zote zifanyike Arusha kwani mauzoefu ya hapa ni added advantage. Hapa ndipo makesi yote yanayohusu chochote kuhusu bara lote la Africa isipokuwa ya The Hague.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mentor hebu fanya mpango utueleweshe.....Huyu unayemwita dada yako mbona sijawahi kumsikia akimwita Catherine wifi?

Umekunywa nin leo we mi si ni shemejio ama? Huyo unaemtolea mineno ya shombo ndo kaka yangu kipenzii sasa we kunani na kama hujui utoro wako ndo umekuponza coz hadi catherine kukubali ilikua ni jitihada zangu wewe cc yote ilichafuka hapa weeeeee usilete mambo yako bana
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaa kaka umenichekesha sana aisee
Hebu naomba unisaidie kuanza na za Bishanga coz ananitishia sana maisha kisa The secretary

Fifty two!
Bishanga mbona mchache?
Kwanza upande wa michuzi now dayz kwishaa habari yake!
Alikua anaringia vitenda vya Tanesco vya kifisadi.
Profesa Muhongo kazima matundu yake yote!
The Secretary hawezi kumhudumia tena! Wala yeye "ze muhtasi" hako tayari kwenda kwenye nyumba ambako Mbuzi wanaramba reli ! Kula mzigo my young bro!
Kula baba kula! Akijipendekeza tunamuhamishia zalu shingoni , korodani kidevuni! Atatutaka!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaa kaka umenichekesha sana aisee
Hebu naomba unisaidie kuanza na za Bishanga coz ananitishia sana maisha kisa The secretary

Fifty two!
Bishanga mbona mchache?
Kwanza upande wa michuzi now dayz kwishaa habari yake!
Alikua anaringia vitenda vya Tanesco vya kifisadi.
Profesa Muhongo kaziba matundu yake yote!
The Secretary hawezi kumhudumia tena! Wala yeye "ze muhtasi" hako tayari kwenda kwenye nyumba ambako Mbuzi wanaramba reli ! Kula mzigo my young bro!
Kula baba kula! Akijipendekeza tunamuhamishia zalu shingoni , korodani kidevuni! Atatutaka!
 
Last edited by a moderator:
Najua ulipenda jina kama kawaida yako,
kwani hujui kuwa ile ni tatu mara tatu kwa kutwa,
ukishindwa mwone Asprin akupe mkuyati.

Hahahaaa wengine si walikuwa wanampiga mabuti akanahatika kwa The secretary
Sasa na huyo nkamchukua ndio anamtaka ila mi nilishammwaga zamaniii coz inaonekana msumbufu yan anatakaga Kila saa utadhani mi natumia mashine oooh asije niua mtoto wa watu
 
Jamani Natafuta Movie Ya Katuni ya Alvin & Chipmunks nitaipata wapi?
Kila Library ya DVD au VHS wananiambia hawaijui.
Msaada.

Which one unayoitaka Madame B!??
Kuna ile ya kwanza kabisa..
Kuna ile waliokuja wale chipmunks wa kike.. (nmesahau titles zake za kimombo)
af kuna shipwrecked...
 
Last edited by a moderator:
Which one unayoitaka Madame B!??
Kuna ile ya kwanza kabisa..
Kuna ile waliokuja wale chipmunks wa kike.. (nmesahau titles zake za kimombo)
af kuna shipwrecked...

Nataka ile waliokuja na wale Chipmunks wakike watatu.
Nitaipata wapi?
Mme wangu anaililia,hata kula hataki.
Lol...!!
Mentor mambo?
 
Last edited by a moderator:
MKUU Mentor nashauri kesi zote zifanyike Arusha kwani mauzoefu ya hapa ni added advantage. Hapa ndipo makesi yote yanayohusu chochote kuhusu bara lote la Africa isipokuwa ya The Hague.
Arushaone mwambie kesi ni chuga anataka kutupeleka wakatuchakachue
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom