TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

Status
Not open for further replies.

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Husika na kichwa cha habari..!
Kuanzia leo Erickb52 nitakuwa mwenyekiti wa mahusiano cheo ambacho nimekichukua kutoka kwa Mwenyekiti wa awali Baba V .Nimeamua kukichukua kwa kuwa mimi ndiye nilimpa dhamana.
Sababu za kumvua uongozi ni hizi:
1. Hana mke hivyo hana uzoefu na mambo ya ndoa
2. Amehusika na uvunjifu wa ndoa nyingi
3. Amekuwa akitongoza wake za watu akiwemo mke wangu Chocs na kipipi
4. Anatumia ubabe kutoa maamuzi na majibu mabaya
5. Anafungisha ndoa kwa kuhongwa (Kama ya Arabela na nitonye )
6. Amekuwa akieneza fitina na kukuza ugomvi kwa wanandoa
7. Hasikilizi mapingamizi ya ndoa toka kwa watu

Hivyo kutokana na sababu hizo....NATANGAZA RASMI kuwa Baba V sio Mwenyekiti tena, na kuanzia sasa mimi Erickb52 ndiye MWENYEKITI na nitasaidiwa na Chocs (Mke wangu kipenzi) Atakaye hakikisha usalama wangu ni zubedayo_mchuzi

Wanakamati watakuwa wafuatao: watu8 na mkewe measkron , Filipo na marejesho , Kaizer na DEMBA Arushaone na Lady doctor na Bishanga na The secretary
Mwisho natoa tamko kuivunja Ndoa ya Arabela na nitonye na ndoa zote zenye mashaka ziwasilishwe kwa ajili ya kuzipitia upya na kamati nzima.

Copy kwa: Mr Rocky Asprin mwaJ AshaDii gfsonwin snowhite SnowBall sakapal Dena Amsi Remmy BADILI TABIA Nicas Mtei BAGAH Lucas King'asti Mamndenyi charminglady Mentor TANMO mtu chake kiwatengu Heaven on earth Judgement KOKUTONA YNNAH shansarie zubedayo_mchuzi mimisa sosoliso Paloma C6 Young Master mwananthropolojia mimi49 Madame B Ben Saanane beibe nasty Passion Lady ladyfurahia kipipi Asnam sweetlady Kongosho KakaKiiza Smile amu Ruttashobolwa stevoh Slave Evelyn Salt KakaKiiza ummu kulthum Mrembo by Nature

Special Copy: Invisible Paw Roulette

I remain
Erickb52
Mwenyekiti

Updates:Tamko la Baba V
Nimeyapokea haya mabadiliko kwa Moyo mmoja....ninaahidi kutoa ushirikiano kwa Erickb52 na wanakamati wake kwa amani kabisa. Nitatoa tamko rasmi kwa wote nitakapokuwa na nafasi. Asanteni wana JF kwa kushirikiana nami katika uongozi wangu uliopinduliwa. Nimeyakubali mapinduzi Go Ahead Erickb52


---Tangazo la Arabela----
Kutokana na harusi yangu kutawaliwa na vikwazo vingi aliekuwa mume wanguzubedayo_mchuzi kudai watoto na kuwa hajatoa talaka suala liko ustawi wa jamii nkisaidiwa na shem wanguJudgement.. Upande mwingine harusi pia imepelekea mwenyekiti Baba V kupinduliwa.g kutokana na matatizo haya naahirisha harusi mpaka hali itakapokuwa shwari. Poleni kwa usumbufu wapendwa

---Maoni ya Demba na Kaizer---
ahsante mkuu Erickb52 kwa kutuweka kwenye kamati mimi na hubby Kaizer, kwa niaba yake nasema tunashukuru sana. na tunaahidi kutimiza majukumu yetu kwa uaminifu mkubwa huyu mwenyekiti aliyepita Baba V kwa kweli alikuwa dikteta sana. ni afadhali amevuliwa gamba. mwenyekiti mpya hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee

--
-Maoni ya Sosoliso---
Afadhali maana toka Ex mwenyekiti aliposema anatumia ile kitu ya tarime mie nimekosa kabisa imani nae..


 
siungi mkono mapinduzi hayo..
yani mmejipendelea wenyewe mke mume,mume mke kwenye uongozi heee....

ila na Baba V nae kama Mugabe alivoung'ang'ania uenyekiti
 
Last edited by a moderator:
Erickb52, Huyo Baba V ndio nani........haya mapinduzi hayaja mwaga DAMU so nachukua jukumu la kuhakikisha ulinzi wa ikulu yako kwa asilimia mia ila,uhai wako ninao mimi ukicheza nakupoteza funga domo lako kabisa....najua umepindua kwa maslahi gani nakuonya mapema...........
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom