Salamu Toka kwa Erickb52

Salamu Toka kwa Erickb52

Sasa wewe unataka kukutana na mshitakiwa in private kwann!?? au ndo kunizunguka nianze kutafuta msaada pengine!??

NATAFUTA MWANASHERIA WA KIKE SASA HIVI..any one around!???
Hahahaaaa ndio wanasheria wetu hao!
Namimi kaniita USA jumapili sasa anaangalia atakayetoa dau kubwa ndio anashinda kesi
 
Mai waifu wangu how is your dat at work?? me will be late today naipitia polisi kituoni kumfungulia kesi Erickb52 nimwendee arusha na RB...
Hahahaaaaa Mentor tutapishana pale Mombo kwenye chakula na tutakula pamoja ukiwa hujui unayemfuata ndio uko nae anakupigia stor za Arusha lol
 
Last edited by a moderator:
Hakuna taratibu zilizo vunjwa mshitakiwa si adui adui yetu bali ni mtuhumiwa wetu!

Sasa wewe unataka kukutana na mshitakiwa in private kwann!?? au ndo kunizunguka nianze kutafuta msaada pengine!??

NATAFUTA MWANASHERIA WA KIKE SASA HIVI..any one around!???
 
Mai waifu wangu how is your dat at work?? me will be late today naipitia polisi kituoni kumfungulia kesi Erickb52 nimwendee arusha na RB...

naomba summary husband huyu dogo kafanyaje? Halafu usichelewe sana kuna kazi inabd tuifanye pamoja.
 
Last edited by a moderator:
naomba summary husband huyu dogo kafanyaje? Halafu usichelewe sana kuna kazi inabd tuifanye pamoja.
Heheheee Catherine mtaniweza?
Hebu ngoja nimwite@Kongosho aniletee vibomu vyangu niwageuze chura sasa hivi
 
Last edited by a moderator:
mie mzima wa afya, hofu na mashaka kwako uliye mbali na .....................yangu.
Mi niko pouwa na wala siko mbali na upeo wa macho yako coz kwa kuwa niko moyoni basi si mbali na macho yako Catherine
 
Last edited by a moderator:
umemkosea nini mai husband wangu? Utasababisha leo asiperform vizuri. Lol
Heheheeeee akishindwa yatakuwa ni matatizo yake tu ila havihusiani
Kama akikugusagusa tu akakuacha njiani uje kwani nikupandishe hadi mlima Kilimanjaro kuleeeee Kibo
 
Erickb52 Erickb52 Erickb52....una hamu sana ya kuongezewa kivumishi kwenye jina lako sio!??

NATOA ONYO: Mazoea na my waifu wangu Catherine UACHE lasivyo..

bak to ze topic: my waifu..sitachelewa ninamtuma private detective Pasco ashughulikie hilo suala then Arushaone atatusaidia kumu-identify victim wetu na Polisi atachukua hatua husika. huyu kesi yake haifunguliwi huku Dar maana atashindwa ku-concentrate kwa kushangaa maghorofa af ikiisha atang'ang'ania kubaki!

ooh n btw, ngoja nimwambie beibe nasty aje kukata mzizi wa fitna maana umezidi..mi nimng'ang'anie mdogo wangu? ndugu yangu? huwezi kuwa haujalewa wewe....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Heheheeeee akishindwa yatakuwa ni matatizo yake tu ila havihusiani
Kama akikugusagusa tu akakuacha njiani uje kwani nikupandishe hadi mlima Kilimanjaro kuleeeee Kibo

Pyeeeee..umemshindwa The secretary mpaka kakukimbia, Amyner mpaka akatangaza dau kila kucha anansumbua na PM kibao ndo ujidai kwa mai waifu...ebu kajifunze kwanza!!!!
Apa ndio ISO a.k.a SI Unit ya urijali!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 Erickb52 Erickb52....una hamu sana ya kuongezewa kivumishi kwenye jina lako sio!??

NATOA ONYO: Mazoea na my waifu wangu Catherine UACHE lasivyo..

bak to ze topic: my waifu..sitachelewa ninamtuma private detective Pasco ashughulikie hilo suala then Arushaone atatusaidia kumu-identify victim wetu na Polisi atachukua hatua husika. huyu kesi yake haifunguliwi huku Dar maana atashindwa ku-concentrate kwa kushangaa maghorofa af ikiisha atang'ang'ania kubaki!

ooh n btw, ngoja nimwambie beibe nasty aje kukata mzizi wa fitna maana umezidi..mi nimng'ang'anie mdogo wangu? ndugu yangu? huwezi kuwa haujalewa wewe....
Mentor umeamua kunimaliza.....sawa bhana nafikiria kuomba msamaha ila ngoja kwanza ntatoa kauli ya mwisho baadae na ukiendelea kunimind naongea na beibe nasty akukane
 
Last edited by a moderator:
what happened here? nilimzunguka nani? sanasana my kaka Judgement ana kesi ya kujibu kwa Husninyo... sijui iliishaje!! mie mtoto mzuri kabisa.... kama huamini kamuulize Golden mpoleee kokte aliko au Smile atakuambia.... halafu hivi bro Erickb52 una familia ngapi hapa?
Smiling Saint naona swali lako ni gumu sana kuhusu idadi ya familia ila naendelea kuzihesabu then ntakujulisha baadae
Ila sijajua unamaanisha familia kama mke au?
 
Last edited by a moderator:
Mentor umeamua kunimaliza.....sawa bhana nafikiria kuomba msamaha ila ngoja kwanza ntatoa kauli ya mwisho baadae na ukiendelea kunimind naongea na beibe nasty akukane

Fanya ufanyalo pinduka lakini sikio halizidi kichwa!???
Umeona wapi kuku akarudi reverse!??
Damu nzito kuliko maji...

Na hayo ni ya wahenga bado yangu...ngoja nijiendee zangu kwangu mie nshaona output = 0.00
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom