Kaka ukimnyima shem makitu mazuri mazuri itakula kwako oooh kuna watu wametega wanangoja uache wabebe( Bishanga ) Wazee wa kuokota mabaki
Heheheheeee nilikuwa nakutania tu shem wangu beibe nastyJamaniiii shem leo umeamka namimi so wataka sema mi ntakua mabaki kakaako akinimwaga? Mi nakwambia omba sana leo siku yako iishe salaama laasivo utajuuuta
Hahahaaaaaaaaa kaka umenichekesha sana aiseeMdogo wangu! That's minor , and then niko makini zaidi ya sana .
Kumuhamishia mtu nyeti zake zikahamia kwenye shavu ni very cmpo!
Na ikikaa kwenye shavu haizibiki hata kwa kuvaa kapelo!
Mlingotini ndiyo babu alipo Laid in RIP.
Heheheee kwanza futa kauli ya kumsema BAGAH au thibitisha uharifu wake lol
Dah umeniandama mzee lol au kisa nakubania kumiliki Dena Amsi na Yummy kwa mara moja?mmm mara Remmy mara Amyner mara CUTE mara The secretary mara BADILI TABIA mara cacico na huyo Amyner anaamini tuu kuwa unaenda kwenye mkutano wa innjili
Hapo thawa my sheemHeheheheeee nilikuwa nakutania tu shem wangu beibe nasty
Heheheee Mentor ila siunajua muhusika ni Mr Rocky ?Erickb52 nakufungulia kesi ya defamation, ruttashobolwa uko wapi unisimamie kesi hii!
Heheheee Mentor ila siunajua muhusika ni Mr Rocky ?
Hata hivyo sio ishu ngoja nimwite klorokwini aje kunisaidia
Heheheee Mentor ila siunajua muhusika ni Mr Rocky ?
Hata hivyo sio ishu ngoja nimwite klorokwini aje kunisaidia
Hivi klorokwini kenda wapi siku hizi?
Njoo basi tengeru hapa!