Salamu Toka kwa Erickb52 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu Toka kwa Erickb52

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Erickb52, Sep 19, 2012.

 1. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wapendwa nimewakumbuka sana na nimeona walau niwasalimu kwa pamoja coz mmekuwa adimu sana jukwaani.
  Kwanza naomba sweetlady , BAGAH beibe nasty cacico popote mlipo mpokee salamu zangu za pekee
  Pia Asprin Kaizer Bishanga Mr Rocky Judgement Smiling Saint Nicas Mtei nawasalimu sana na nawaomba mje jamvini. Remmy The secretary BADILI TABIA najua inawauma kwa kuwatema ila vumilieni mtawapata vizee km Bishanga
  Vijana wangu ruttashobolwa Baba V Mentor Katavi Young_Master mtu chake @St paka Mweusi MUSSOLIN Boflo ndetichia Mphamvu Ruhazwe JR Vin Disiel Ronn M platozoom Big Up sana vidume.
  Warembo wetu cacico Madame B YNNAH Catherine beibe nasty Kipipi FirstLady1 Smile CUTE FP Zinduna Kongosho charminglady King'asti AmKATRINA ummu kulthum Cantalisia Preta Erotica Kaunga Miss you ladies....! afrodenzi nimemiss your animated pics Rejao naomba umrudishe Cantalisia chap kabla hujapokonywa card ya Chama ( CCM )
  Wazee wa Arusha Filipo PakaJimmy Liverpool IGWE Arushaone marejesho salamu kwa wingi
  Dada yangu kipenzi Roulette nakumiss sana madame. Mamndenyi na Mtambuzi nawamiss wakwe zangu.
  Mwisho ni kwa Mpenzi wangu Amyner nakumiss sana mylove....But im happy uko salama!
  Kwa ambao sijawataja nawasalimu saaaaaaana na tuko pamoja sana tu kama Rungu kule jukwaani kwetu wazee!
  Hebu njooni hapa niwasalimie jamani nina zawadi yenu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nilivyoona nimetajwa nikakurupuka nikijua kuna jambo la maana kumbe ni salaam tu.....LOL
  Hiyo salaam yako nakwambia chionde chonde na mabinti zangu, nitakukuvhita.....
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Asante sana Shemeji tumezipokea
  Mie nitapotea kidogo naelekea kwenye kilimo hapa nitakuwa nachungulia kwa nadra sana
  Msalimie my wife wako
   
 4. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ha haaaaaaaaaaaaaa, kweli kabisa Erickb52 hili jukwaa nilishasahau kama linaexist................ asante kwa salamu, tunakusalimu pia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Huwezi kuwapata wadada, saa hizi wanatafuta vivazi vya mtoko... Chezea wadada wa JF weye.....!

  [​IMG]
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa hao washakuwa wangu ngoja posa na mahari tu
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Umeona eeeh ngoja tulifufue chap libaki juuu
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Heee...kwa staili hiyo itabidi tu nimrudishe...kadi ya CCM kwangu ndio kila kitu..lol!!
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Huyu ni nani? cacico au sweetlady ?
  Nilidhani Kipipi ila sio yeye
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa tukupe siku ngapi kumleta?
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheee sawa shemeji we nenda kalete vyakula wacha sisi tujenge barabara
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  thanx kwa masalamu wangu, zimefika, na mie nazipeperusha kwa Yummy, BADILI TABIA, Kongosho popote walipo! jamani mmesalimiwa huku, lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,740
  Trophy Points: 280
  Niko hapa kwa mrefu we upo wapi B52?
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ngoja na mimi nijipumzishe huku anga za Mtambuzi Pub maeneo ya Tabata Ubaya Ubaya

  [​IMG]
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Asante Erickb52 salamu zimefika,
  Nami sijambo kabisa ila Shemejio ana Malaria ndio tuko hapa AghaKhan anataka achomwe sindano.
  Tunashukuru kwa kutukumbuka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nimezipokea kutoka uwanja wa NMC. Nipo nasikitika tu hapa!
   
 18. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Duh..! Yummy, nakuona mwenyewe hapo unavyokodolea macho Jukwaa la Wakubwa.... Kazi unayo mwanakwetu...LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Erickb52 umekuja kufuata nini bana
  Nilikuwa nishashangilia naanza kumvizia Amyner kumbe unajitokeza bana
  Afadhsali lakini umeenda kuwasalimia wale watoto wako kule meatu maana walikuwa wanapata shida sana Mtambuzi mbona umetoa piccha ya mke wangu Dena Amsi bana na mimi nilikuambia ni siri usiitoe
  halafu Erickb52 nilimuona Asprin mitaa ya hapa sijui alikuwa anakuja kumkagua nani aise
  na Bishanga nasikia anamuwania sana Amyner na alivyo na manoti chezea tajiri wa kihaya wewe utaangushwa soon
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaaaa anataka kwenda kuleeeeeeeeeee lol
  Anajijua kama kapigwa picha?
   
Loading...