Salamu Toka kwa Erickb52

Salamu Toka kwa Erickb52

Nataka ile waliokuja na wale Chipmunks wakike watatu.
Nitaipata wapi?
Mme wangu anaililia,hata kula hataki.
Lol...!!
Mentor mambo?

Aaah hiyo ni ya pili..i have it! nnayo kwenye CD..heheh this means lazima untafute! I like it...umezidi kunipiga date!!!

Tena ntakupa bonus ya ile ya Alvin & the chipmunks - chipwrecked!
 
Aaah hiyo ni ya pili..i have it! nnayo kwenye CD..heheh this means lazima untafute! I like it...umezidi kunipiga date!!!

Tena ntakupa bonus ya ile ya Alvin & the chipmunks - chipwrecked!

Mentor acha hzo.
Si uje kuniletea?
Me ntakuwa ng'ambo,
si unajua siruhusiwi kukanyaga majumba ya Mabachela?

Hahahahahahaha
Acha hizo date si bado haijafika?
 
Mentor acha hzo.
Si uje kuniletea?
Me ntakuwa ng'ambo,
si unajua siruhusiwi kukanyaga majumba ya Mabachela?

Hahahahahahaha
Acha hizo date si bado haijafika?

Heheh..ebu pitia maujumbe yangu yote..kuna ambayo nimekuambia uje kwangu au unataka nionekane mbaya!??
Apo no excuse....Look for me mamii...btw niko siriaz i have those movies kavp ntafutege!
 
Hujaulizwa wajibu ukiulizwa itakuwaje????
Heheheeee mwambie kuanzia sasa nimekuteua wewe kuw wakili wangu kwenye kesi alonifungulia....! Dena Amsi sikuombi radhi coz nahisi kuanza kukulove love tena kuliko Mr Rocky so ngoja naandaa mashairi then narudi kwako
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom