Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,485
- Thread starter
- #181
Heheheeeee naona kwa hapa umemsahau platozoom ambaye alifirisika mara tu baada ya kuachwa na charmingladyTena umebaki peke yako,
wale vidume wote wamefilisika mbaya kuanzia Asprin, Kaizer, Bishanga, Mr Rocky, Judgement, Smiling Saint, Nicas Mtei na wameingia mitini kina dada wamebaki wanashangaa tu humu.
Ila mi najitahidi kuendelea kuwepo na naandaa mkakati wa kujiimarisha zaidi
Last edited by a moderator: