thanx kwa masalamu wangu, zimefika, na mie nazipeperusha kwa Yummy, BADILI TABIA, Kongosho popote walipo! jamani mmesalimiwa huku, lol!
Kwa taarifa Erickb52 yule tumeanza nae toka kila mmoja ajiunge jf Dena Amsi hana mpinzani na ndo maana Yummy yeye atabakia nyumba ndogo tuu hata akienuda kwa Asprin au KARIA au Kaizer au Mentor au Bishanga au Nicas Mtei au sijui nani mwingine haiumi wala nini ila Dena Amsi yule ni no nyingine aise hana mpinzani kumoyo
Kwa taarifa Erickb52 yule tumeanza nae toka kila mmoja ajiunge jf Dena Amsi hana mpinzani na ndo maana Yummy yeye atabakia nyumba ndogo tuu hata akienuda kwa Asprin au KARIA au Kaizer au Mentor au Bishanga au Nicas Mtei au sijui nani mwingine haiumi wala nini ila Dena Amsiyule ni no nyingine aise hana mpinzani kumoyo
Heheheheeeeeeee Yummy umeona kauli ya Mr Rocky ?Mmmhhhhh.......ya kweli hayo???!!!!!
Hahahaaaa sawa mi ntaweka kakasuku
Unajua Erickb52 huyo siyo kasuku ila wanaita PENGUIN hapa kwenu Tanganyika hayupo. Vipi za tangu jana? Yesterday was my day............... Nilifurahi sana aisee.
Heheheheee na gharama ya kumlisha zikoje?
Unataka sh ngapi nikupe?
Mhh!
Haya bhana,
na leo ulivyoamka nazo ndo kabisa.
Afu Mchana huu!!