Salamu Toka kwa Erickb52

Salamu Toka kwa Erickb52

Hapana..
Vipi kwani? Umenishtua...
Hajambo yule ndugu yetu?
Hahahaaaaa unashtuka nini sasa?
Au ulidhani nakurudishia cha moyoni wako?
Hajambo ila hata mimi nahisi nimezungukwa na PakaJimmy coz tangu waonane sijawaona tena wote kokote sijui wamejifungia wapi
 
Last edited by a moderator:
Nasikia kawekezwa kwa jimama moja la A -Town,
anajilia vyake.
Watu wanataka warudi mavumbini.
Hahahaaaaa humu mi sijasema neno asije nitoa kifanyio changu bure lol
 
Hahahaaaaa unashtuka nini sasa?
Au ulidhani nakurudishia cha moyoni wako?
Hajambo ila hata mimi nahisi nimezungukwa na PakaJimmy coz tangu waonane sijawaona tena wote kokote sijui wamejifungia wapi

Unalo..
According to Researchers, Penzi la Preta is like a Bus Chair..
You come in, sit down then stand up and go..
Don't say i didn't warn You...
 
Hahahaaaaaa halafu mbona humfanyii Arushaone na ruttashobolwa kama ulivyomfanyia Ruhazwe JR ?
Mi nangoja itokee ila naona unakomaa nao tu

Unajua Erickb52,
Ruhazwe nilikuwa nakaa nae tu as my Grandpha,nilikuwa sina mapenzi nae kabisa,
Cjui kwa nini.
Lakini hapa nilipo kwa sasa,ni kama nipo Eden najilia 'matunda ya mti wa katikati'
Full raha.
 
Last edited by a moderator:
Nipo mbona, umenitafuria wapi?Asante kwa salam, nakukumbuka pia.

  • Binafsi namtumia salam dada afrodenzi popote alipo. Ujumbe wa leo: Raha ya salam kurudishiana. Salam zangu zisindikizwe na wimbo: shadow dancer wa Lokua Kanza

asante sana kwa salamu maamaa Roulette.
ningependa kukusalimu japokuwa nimechelewa.

Ni matumaini yangu u mzima kabisa na unaendelea na shughuli vema.
ubarikiwe sana.
ps.. Thank you so much for the song .. 🙂
AfroD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom