Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,316
- 31,108
Kuna stori leo nataka nishee nanyi.
Kuna mamdogo wangu (true stori) aliolewa na mtu mwenye hela zake. She was indeed a charming woman.
Na alipo olewa ndipo alizidi ku glow, maisha yalienda vyema sana kwake.
Ilikuwa familia yenye Furaha tele,
Ila ndugu upande wa mwanaume walitokea kumchukia, so akajikuta inakuwa ngumu sana ku vibe nao.
Na yeye, alikuwa mwalimu, kama ujuavuo yule ni mwanamke tena mkali tu, so unakuta wanaume kadhaa wanamrushia ndoano. Yeye hakuwa mtu unaye dhani anaweza Kucheat, ila sijui ilikuwaje, mpaka wale ndugu wakamnasa yuko na mwanaume, then wakapitiza information kwa kaka yao,
Na yule mwanaume alikuwa hana mbambamba, akafukuza mazima, walikuwa na mtoto mmoja. Jamaa aka chukua mtoto, then akamrudisha home.
That, incident ilimvujna kisaikolojia, mamdogo ambaye alikuwa mcha dini akaanza kunywa pombe kama kichaa, alikuwa ana ondoka anatoroka kwa bibi, anakwenda kukesha bar, anapitia na wanaume, anabakwa, aisee mpka nikawa najiuliza as to why, binadamu wengine wako so fragile?
Ilifikia hatua akawa analala ndani, asubuhi mpaka jioni, hana tumaini, mwili umekuwa kama mzee, miguu ime vimba, yaani it was hectic..
Sasa, nikawa najiuliza, kama kweli Haku cheat na alionewa mbona angeli move on tu haraka? Wanaume wanaomtaka wako wangapi? Mbona angeolewa tena na maisha yangesonga?
So, I came to realization kuwa, sio kila mtu yuko strong, wengine wako na fragile soul, yaani a single twist ya maisha inaweza kuharibu destiny yake...
Mpaka wa leo, haja wahi kuwa sawa, she's living in her moms house, anaweza kuwa sawa kwa muda, then akarudi kwenye pombe. Yaani shes having episodes kila mara. Mpaka unasema why can't she just snap out of it?.
Ndugu zangu, mnapofanya matukio, jaribu I kuangalia mtu kama anaweza kuhandle, kuna wengine hawawezi na inawaharibu maisha yao yote.
Ni hayo tu.