The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,179
- 14,050
🤣🤣🤣🤣we mpare huu uzi utauona mchachu sana maana wapare ni kulisha makande tu wake zenu
Wapare 🙌
🤣🤣🤣🤣we mpare huu uzi utauona mchachu sana maana wapare ni kulisha makande tu wake zenu
kwahiyo wewe mkeo or manzi wako unampea hela au humpiKama chako unacho ila huishi kutazama, kutegemea, kutolea mate, kutaka kupewa cha mume, hiyo ndiyo poverty anxiety yenyewe.
Tena hata huongelei reciprocity, zaidi ya mbunye unampa nini huyo mwanamme?
Hiyo ni poverty anxiety.
Unakuwa kama wale watu waliozaliwa kwenye njaa ambao hata wakiondoka katika hali hiyo, wanataka kula kila saa, wanalundika chakula ndani, wanapakua kuliko uwezo wao wa kula, hata wakishiba wanakula tu, wakiwa wanakula wanafikiria nini watakula baadaye.
Ni poverty mindset, poverty anxiety.
Wanawake wengi Tanzania wana poverty mindset na poverty anxiety. Na pengine ni tatizo kubwa la kiutamaduni kuwapita wao, wamezaliwa wamelikuta, na wamekuwa socialized hivyo. They don't know any different.
Wanafikiri kupenda kuhudumiwa na mwanamme ndiyo mapenzi.
Kumbe ni kudanga, poverty mindset na poverty anxiety tu.
Na hili jambo linafanya wawe ama subservient au kuwa kama property ya wanaume, to be used and abused.
Hivi huwa wana shida gani hawa watu jamani😂
Dah afadhali umenisaidia kumjibu maana mimi nachoka kabisa na wanaume bahili kwa visingizio vya umaskini mindsetchangu ninacho na ninakipambania lakini kuna raha ya kupewa na sio kupewa tu kupewa na mume, mpenzi au mchumba
ukumbuke utoaji sio utajiri, mtu anaweza akawa na hela na sio mtoaji na anaweza asiwe nazo nyingi ila kwenye kile kidogo anajikuna anapoweza na mtu unafurahi tuu
Jichanganye ukizidisha kidogo nakupa password uwe unaenda kutoa pesa mwenyewe.😂😂😂😂nitakutunza kwa wivu mkubwa sana
Hujalazimishwa kuhudumia,Wewe baki na mindset yako ya kitajiri acha wana -mume wahudumie wanawake zao,nilishasema leo hizi salamu ni kwa wanaume na sio wenyeume...Kama chako unacho ila huishi kutazama, kutegemea, kutolea mate, kutaka kupewa cha mume, hiyo ndiyo poverty anxiety yenyewe.
Tena hata huongelei reciprocity, zaidi ya mbunye unampa nini huyo mwanamme?
Hiyo ni poverty anxiety.
Unakuwa kama wale watu waliozaliwa kwenye njaa ambao hata wakiondoka katika hali hiyo, wanataka kula kila saa, wanalundika chakula ndani, wanapakua kuliko uwezo wao wa kula, hata wakishiba wanakula tu, wakiwa wanakula wanafikiria nini watakula baadaye.
Ni poverty mindset, poverty anxiety.
Wanawake wengi Tanzania wana poverty mindset na poverty anxiety. Na pengine ni tatizo kubwa la kiutamaduni kuwapita wao, wamezaliwa wamelikuta, na wamekuwa socialized hivyo. They don't know any different.
Wanafikiri kupenda kuhudumiwa na mwanamme ndiyo mapenzi.
Kumbe ni kudanga, poverty mindset na poverty anxiety tu.
Na hili jambo linafanya wawe ama subservient au kuwa kama property ya wanaume, to be used and abused.
yes ukifanyiwa hivyo usiwe feminist oh sijui mfumo dume oh haki sawa kwa wote.Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke, ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!
Kwanza kabisa,nikisema nina salamu za wanaume sio wanaume wote,huu uzi ni kwa wanaume wapambanaji wenye uwezo wa kutafuta na kutunza familia na jamii yake,wanaume ambao sio wachoyo,wanaume wanao sacrifice kwa ajili ya wengine Mungu awabariki sana na awatie nguvu unapohisi kuchoka,
Unakuta mwanaume anamlea mwanamke aliyekuta nae tu ukubwani utadhani amemzaa,kila kitu anampa kwa wakati,mfano jirani yangu hapa mwanaume ana buti pair moja ila mke wake ana viatu pair 20 na pochi 15,huu ni upendo wa ajabu na kushangaza,!
Unakuta mwanaume anamtunza mkewe na mwanaume huyohuyo Ukiachana na mke wake unakuta ana michepuko mitatu yote anahudumia,hakika nyinyi ni mashababi kabisa!Mbarikiwe sana ukiona unaangukia kwenye kundi hili ujue NAKUPENDA SANA endelea na moyo wako mzuri
Huu uzi hauwahusu wale wanaume waoga wa majukumu na wachoyowachoyo nyie uzi wenu siku nyingine nitawqpa salamu zenu.
Heshima kwenu wapambanaji!...!
Joanah ndio mdada pekee jf nzima asiyependa kuhudumiwa na hela ya mwanaume,nyie wengine acheni uongo😂
Dunia ya sasa ina utapeli mwingi, ni vigumu kuwapataWapo mastrong woman wanaweza,ni suala la kuchagua tu aina yako unayemtaka
Ukipata mmoja uniletee🤣🤣🤣🤣Wapo bwana hujaamua tu