Salaamu kwa Wanaume.

Salaamu kwa Wanaume.

Context sio gharama. Point ni wewe una kiiatu kimoja halafu mkeo 20. Yaani wewe hujijali na unaemjali hakujali.

Sasa mkuu wanaume tunavaa viatu vya gharama hyo 50k unapata kiatu kimoja wakati mwanamke anarudi na pair 10.
 
Me Kuna mwanamke nipo nae mahusiano ya kisela no feelings attached huwa anapewa pesa huko na wanaume namm lazima atanipa au kuninunulia chochote
 
Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke, ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!
Kwanza kabisa,nikisema nina salamu za wanaume sio wanaume wote,huu uzi ni kwa wanaume wapambanaji wenye uwezo wa kutafuta na kutunza familia na jamii yake,wanaume ambao sio wachoyo,wanaume wanao sacrifice kwa ajili ya wengine Mungu awabariki sana na awatie nguvu unapohisi kuchoka,
Unakuta mwanaume anamlea mwanamke aliyekuta nae tu ukubwani utadhani amemzaa,kila kitu anampa kwa wakati,mfano jirani yangu hapa mwanaume ana buti pair moja ila mke wake ana viatu pair 20 na pochi 15,huu ni upendo wa ajabu na kushangaza,!

Unakuta mwanaume anamtunza mkewe na mwanaume huyohuyo Ukiachana na mke wake unakuta ana michepuko mitatu yote anahudumia,hakika nyinyi ni mashababi kabisa!Mbarikiwe sana ukiona unaangukia kwenye kundi hili ujue NAKUPENDA SANA endelea na moyo wako mzuri

Huu uzi hauwahusu wale wanaume waoga wa majukumu na wachoyowachoyo nyie uzi wenu siku nyingine nitawqpa salamu zenu.

Heshima kwenu wapambanaji!...!
Joanah ndio mdada pekee jf nzima asiyependa kuhudumiwa na hela ya mwanaume,nyie wengine acheni uongo😂
Si vizuri kuwapa wageni chakula cha watoto.
 
Unatunza lakini Kwa akili, yaani Mimi nitembelee kiatu kimetoboka halafu mke wangu ana viatu pair za kutosha labda kama sio Mimi maana Kwa mke anayekupenda lazima na yeye ajali ustawi wako wa afya, akili na hata muonekano, Mimi naona Sana utakuta mwanaume anatoa Kila kitu lakini anajisahau na yeye, yaani mke anawaka ila mwanaume yupo kama kaokotwa jalalani kmmke, dalili za mke mzuri pia ni kujua Hali ya mume wake Kwa ujumla.
 
Unatunza lakini Kwa akili, yaani Mimi nitembelee kiatu kimetoboka halafu mke wangu ana viatu pair za kutosha labda kama sio Mimi maana Kwa mke anayekupenda lazima na yeye ajali ustawi wako wa afya, akili na hata muonekano, Mimi naona Sana utakuta mwanaume anatoa Kila kitu lakini anajisahau na yeye, yaani mke anawaka ila mwanaume yupo kama kaokotwa jalalani kmmke, dalili za mke mzuri pia ni kujua Hali ya mume wake Kwa ujumla.
Huo ndio upendo wa agape sasa ukisikia,,,tunawapenda sana
 
Back
Top Bottom