changu ninacho na ninakipambania lakini kuna raha ya kupewa na sio kupewa tu kupewa na mume, mpenzi au mchumba
ukumbuke utoaji sio utajiri, mtu anaweza akawa na hela na sio mtoaji na anaweza asiwe nazo nyingi ila kwenye kile kidogo anajikuna anapoweza na mtu unafurahi tuu
Kama chako unacho ila huishi kutazama, kutegemea, kutolea mate, kutaka kupewa cha mume, hiyo ndiyo poverty anxiety yenyewe.
Tena hata huongelei reciprocity, zaidi ya mbunye unampa nini huyo mwanamme?
Hiyo ni poverty anxiety.
Unakuwa kama wale watu waliozaliwa kwenye njaa ambao hata wakiondoka katika hali hiyo, wanataka kula kila saa, wanalundika chakula ndani, wanapakua kuliko uwezo wao wa kula, hata wakishiba wanakula tu, wakiwa wanakula wanafikiria nini watakula baadaye.
Ni poverty mindset, poverty anxiety.
Wanawake wengi Tanzania wana poverty mindset na poverty anxiety. Na pengine ni tatizo kubwa la kiutamaduni kuwapita wao, wamezaliwa wamelikuta, na wamekuwa socialized hivyo. They don't know any different.
Wanafikiri kupenda kuhudumiwa na mwanamme ndiyo mapenzi.
Kumbe ni kudanga, poverty mindset na poverty anxiety tu.
Na hili jambo linafanya wawe ama subservient au kuwa kama property ya wanaume, to be used and abused.