Aminaaa....Mungu awabariki wanaume watoaji.
Wabahili Vyuma viendelee kukazaa
😆Umepigiwa pasi nzuri sana usipaishe shuti kwa kufunga PM, utapata hodi nyingiHeee! 😂
Uko kwenye kundi gani 😜Aminaaa....
Waje tu PM waone navyoenda off target makusudi😆Umepigiwa pasi nzuri sana usipaishe shuti kwa kufunga PM, utapata hodi nyingi
Unalolipenda wewe...Uko kwenye kundi gani
Unakuta mwanaume anamtunza mkewe na mwanaume huyohuyo Ukiachana na mke wake unakuta ana michepuko mitatu yote anahudumia,hakika nyinyi ni mashababi kabisa!Mbarikiwe sana ukiona unaangukia kwenye kundi hili ujue NAKUPENDA SANA endelea na moyo wako mzuri
Huu uzi hauwahusu wale wanaume waoga wa majukumu na wachoyowachoyo nyie uzi wenu siku nyingine nitawqpa salamu zenu
Cc: Natafuta AjiraUnakuta mwanaume anamlea mwanamke aliyekuta nae tu ukubwani utadhani amemzaa,kila kitu anampa kwa wakati,mfano jirani yangu hapa mwanaume ana buti pair moja ila mke wake ana viatu pair 20 na pochi 15,huu ni upendo wa ajabu na kushangaza,!
😂Off target ya nini wakati Joannah keshavunja defense yote, bado unataka uwape tabu tuWaje tu PM waone navyoenda off target makusudi
Ni kupaisha mpira tu 😂