Salaamu kwa Wanaume.

Salaamu kwa Wanaume.

Naunga mkono hoja Wallah wa billah🔥🔥 ngoja tuendelee kua strong woman mpka siku tukutane na Mwana -mume

Ila ukikuta na sample ya Natafuta Ajira utazeeka ukiwa strong woman 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣My dia,Mungu akuepushe na hiyo type akukutanishe na mwana -mume,utalelewa hadi unajiuliza au huyu ni baba yangu mzazi jamani?
 
Huyu hizi salamu zimpite mbali kama mashariki na magharibi haya ni maji marefu😂😂hapa akija atafungua uzi ndani ya uzi
Ila tuseme ukweli kwenye hiyo quote huyo jamaa wa buti moja siku akibaini anachapiwa atajiuwa. Niwe mkweli siwezi kumnunulia mwanamke vyote hivyo ilihali namiliki boxer mbili na buti moja, NO.
 
Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke, ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!
Kwanza kabisa,nikisema nina salamu za wanaume sio wanaume wote,huu uzi ni kwa wanaume wapambanaji wenye uwezo wa kutafuta na kutunza familia na jamii yake,wanaume ambao sio wachoyo,wanaume wanao sacrifice kwa ajili ya wengine Mungu awabariki sana na awatie nguvu unapohisi kuchoka,
Unakuta mwanaume anamlea mwanamke aliyekuta nae tu ukubwani utadhani amemzaa,kila kitu anampa kwa wakati,mfano jirani yangu hapa mwanaume ana buti pair moja ila mke wake ana viatu pair 20 na pochi 15,huu ni upendo wa ajabu na kushangaza,!

Unakuta mwanaume anamtunza mkewe na mwanaume huyohuyo Ukiachana na mke wake unakuta ana michepuko mitatu yote anahudumia,hakika nyinyi ni mashababi kabisa!Mbarikiwe sana ukiona unaangukia kwenye kundi hili ujue NAKUPENDA SANA endelea na moyo wako mzuri

Huu uzi hauwahusu wale wanaume waoga wa majukumu na wachoyowachoyo nyie uzi wenu siku nyingine nitawqpa salamu zenu.

Heshima kwenu wapambanaji!...!
Joanah ndio mdada pekee jf nzima asiyependa kuhudumiwa na hela ya mwanaume,nyie wengine acheni uongo😂
Hupendi kuhudumiwa na hela ya mwanaume huku gazeti zima linasifia wanaumeme wanajitoa kwa ajili ya wanawake!!!

Mapenzi (mahusiano) ni 50 kwa 50.
Hilo la kugeuzana baba/mama/mzazi/mlezi ni kwa wanawake "masikini wa akili" na wanaume "masikini wa upendo na akili".

Mapenzi(mahusiano) sio biashara, bali ni utimilifu wa mtu kimwili, kiakili, kiroho na kijamii.
Utimilifu hauwezi kujengwa katika mambo ya kidunia (material things), bali unajengwa kihisia.
 
Ila tuseme ukweli kwenye hiyo quote huyo jamaa wa buti moja siku akibaini anachapiwa atajiuwa. Niwe mkweli siwezi kumnunulia mwanamke vyote hivyo ilihali namiliki boxer mbili na buti moja, NO.

Inategemea mkuu,
Ila kama ni mama watoto yuko homme ana behave fresh tu, hyo n kawaida.
 
Hellooo gud pipo,na bad pipo natumai mko poa sana jumapili tulivu ya leo,mimi shemeji yenu niko poa kabisa ila leo nina salamu zenu wanaume. Leo nitatuma salamu zangu kama" Ex Strong woman",miaka michache nyuma niliwahi kuwa strong woman niliyepambana na kutothamini michango ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke, ila nivyostaafu u strong woman nikajaelewa mwanamke yeyote ataendelea kuwa "strong woman mpaka pale atakapokutana na Mwanaume,elewa neno Mwana-mume!
Kwanza kabisa,nikisema nina salamu za wanaume sio wanaume wote,huu uzi ni kwa wanaume wapambanaji wenye uwezo wa kutafuta na kutunza familia na jamii yake,wanaume ambao sio wachoyo,wanaume wanao sacrifice kwa ajili ya wengine Mungu awabariki sana na awatie nguvu unapohisi kuchoka,
Unakuta mwanaume anamlea mwanamke aliyekuta nae tu ukubwani utadhani amemzaa,kila kitu anampa kwa wakati,mfano jirani yangu hapa mwanaume ana buti pair moja ila mke wake ana viatu pair 20 na pochi 15,huu ni upendo wa ajabu na kushangaza,!

Unakuta mwanaume anamtunza mkewe na mwanaume huyohuyo Ukiachana na mke wake unakuta ana michepuko mitatu yote anahudumia,hakika nyinyi ni mashababi kabisa!Mbarikiwe sana ukiona unaangukia kwenye kundi hili ujue NAKUPENDA SANA endelea na moyo wako mzuri

Huu uzi hauwahusu wale wanaume waoga wa majukumu na wachoyowachoyo nyie uzi wenu siku nyingine nitawqpa salamu zenu.

Heshima kwenu wapambanaji!...!
Joanah ndio mdada pekee jf nzima asiyependa kuhudumiwa na hela ya mwanaume,nyie wengine acheni uongo😂
I am afraid this sounds more like poverty anxiety than anything else.
 
Back
Top Bottom