Wewe ni poor brain na waziri wako pia ni poor brainTuache kuhalalisha ujinga mkuu wewe hiyo nyimbo mutaruhusu mtoto wako aimbe nyumbani?
Ni wimbo wenye maadili?
Maneno ya "namkatia uno hani wangu".
Mnataka watoto wayaimbe hayo halafu baadaye mje mseme kizazi hiki kimeharibika?
Wengi mnasema et kama wimbo ulikuwa mbaya kwanini Basata wasifungie yaani kwahiyo Basata wakiruhusu mbaya wewe utaruhusu wanao wasikilize kwa sababu Basata wameruhusu?
Tukubaliane kuwa wimbo hauna maadili kwa watoto, na walimu tumewapa dhamana ya kusimamia maadili ya watoto wawapo shuleni wakiwa nje ya shule ni jukumu la wazazi.
Nyimbo inapotred inapigwa kila mahali mda wote hao watoto walikiwa wanauimba kama wimbo wa taifa vile yani wanaujua sana
Eti wewe huoni kosa la waziri,serikali wala basata bali waalimu ndiyo wenye makosa
Na ukiangalia hapo shule ni kama kulikuwa na tukio maalumu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app