Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

Unatuletea utoto wako hapa peleka kwa makamanda fake huko Ufipa!

Kwa Kukusaidia tu Mimi ni mwana CCM mwenzako ( japo bado sina Kadi ya Chama ila ni Mkereketwa mkubwa tu ) na pia namkubali na nampenda mno Mheshimiwa Rais JPM huenda kuliko hata Wewe lakini kwa hili wala tusimung'unye maneno, tusitikise masikio na tusipepese macho ukweli uko wazi tu kwamba DC Sabaya ametenda hilo Kosa tena kwa 100% na wala haonewi au hasingiziwi. Kuwa mwana CCM hakumaanishi uwe unakubali na kutetea hata Upumbavu ulio wazi kabisa kwani kwa Kufanya hivyo ni Kujidhalilisha na Kukidhalilisha Chama chetu pia. Badilika na waambie wale Wapuuzi wenzio wanaojifanya ni wana CCM Kutetea Daima hata vitu vya hovyo hovyo nao wabadilike.
 
cleverbright,
Huwezi sikiliza upande mmoja uka conclude ndiyo maana hata mahakamani wanasikilizwa wote sasa wewe kuona clip tu mapovu kibao hujui clip inaweza kuwa edited? Mtu makini huwa hatoi uamuzi mpaka asikie na upande wa pili. Tayari umeshaanza kuita watu wapumbavu simply umepata facts za upande mmoja!! That is asshole mkuu!
 
AbaMukulu,

Hata huyu mfanyabiadhara wa Hai kilichokompa ujasiri ni ule mkutano wa wafanyabiashara na rais Ikulu. Kabla ya hapo wafanyabiashara wa nchi hii walijisikia wanyonge na kutothaminiwa. Mkutano na rais uliowapa matumaini na kuanza tena kujiamini. Tunaendelea kujifunza na kujisahihisha kama motto madogo asiyejua kuwa moto unaunguza mpaka umchome!
 
Jama
Jamani hamkumbuki kwa Mnyeti? Hamkumbuki kwa Gelas Bakanwa? Mteuaji ndiye anayependa majitu ya hovyo kama hili! Dawa yao ni Mwamwindi tu!
Mkuu hiyo mpaka mmoja awekwe chini ndio akili itakuja. Ule mwaka 1972 Dr Kleruu akutane na Mwamwindi ghafla watumishi wote wa umma waliokuwa na tabia za ajabu ajabu kama za Dr waliufyata.
Na pamoja na Mwalimu kuchukizwa sana na kitendo cha Mwamwindi lakini aliwa koromea sana watumishi wa umma walio kuwa na fikra na tabia za kikoloni
 
Wataanza na wewe ukae chini ndiyo akili itakurudia!
 
Sijaona cheche yeyote hapo labda kama kuna stori nyingine.
 
Ila nyinyi mlivyounda vikundi vya kikabila hapa Arusha kiasa kwamba wana Arusha hawafaidi kitu chochote hamkioni eeeh!! Everything is under you!! Tumeshajitambua
Jaguar (mwanamuziki kutoka kenya) unamfahamu jina lake halisi!
 
Erythrocyte nisaidie kidogo kuelewa, nini hasa kilichopo katika hizo video?
Ninaona watu wanatembea tembea hebu nipe kisa kamili, bundle iliisha wiki nzima ndio nimejaza
Huyo mkuu alikua ameenda kucheza pool table na kupata huduma ya Swimming pool mida ya kumi alfajiri mkuu.
 
Ngosha akimwacha huyu jamaa, .
Atatupa stress sana wale tunaomwamini.
na utapata stress mpaka upasuke endelea kumwamini Ngosha tu maana haina jinsi, ila Sabaya hatumbuliki maana yeye ni wakala tu wa Ngosha katika kukusanya fedha za dhuluma na ndiyo maana ana kiburi maana anajua baba yake yu upande wake je ni nani we "Leonardo Harold" ambaye uko kinyume naye!!!!!
 
Kwa Kukusaidia tu Mimi ni mwana CCM mwenzako ( japo bado sina Kadi ya Chama ila ni Mkereketwa mkubwa tu ) na pia namkubali na nampenda mno Mheshimiwa Rais JPM huenda kuliko hata Wewe lakini kwa hili wala tusimung'unye maneno, tusitikise masikio na tusipepese macho ukweli uko wazi tu kwamba DC Sabaya ametenda hilo Kosa tena kwa 100% na wala haonewi au hasingiziwi. Kuwa mwana CCM hakumaanishi uwe unakubali na kutetea hata Upumbavu ulio wazi kabisa kwani kwa Kufanya hivyo ni Kujidhalilisha na Kukidhalilisha Chama chetu pia. Badilika na waambie wale Wapuuzi wenzio wanaojifanya ni wana CCM Kutetea Daima hata vitu vya hovyo hovyo nao wabadilike.

Nadhani watu pekee wenye uhakika kuwa hili kosa limetendeka kama inavyodaiwa ni Swai na Sabaya tu. Watu wengine tunaweza tu kutumia hisia zetu. Binafsi sijapata kuvutiwa na DC Sabaya. Siku zote nimekuwa nikimuona hakustahili hata kidogo kupata uteuzi huo. Tangu aende Hai habari nyingi ambazo zimekuwa zikimhusu hazionyeshi uongozi ndani yake. Badala yake tumekuwa tukiona matumizi mabaya ya madaraka kuumiza baadhi ya raia, hasa wenye uwezo kiuchumi. Kiongozi wa hulka hiyo mara nyingi anakuwa na malengo yake binafsi. Isitoshe wakati anateuliwa alikuwa na kesi mahakamani. Tunaotambua hii nchi ilikotoka tunajua kuwa kimapokeo nafasi hizi za uteuzi zilikuwa mahsusi kwa Watanzania ambao hawana makandokando yoyote. Kimsingi kama mtu ameshakuwa na kesi mahakamani, hata kama ameshinda au amefutiwa hastahili kuteuliwa na rais. Tayari hilo ni doa kwake wakati kuna mamilioni ya raia safi wanaoweza kuchoka nafasi hiyo. Mtu huyo afanye kazi zingine lakini siyo ya uteuzi wa rais. Nadhani haya mapokeo yameanza kupuuzwa kutokana na wateuliwa siku hizi kutarajiwa kuendeleza zaidi maslahi binafsi ya kisiasa kuliko kutumikia umma.
 
Jama
Jamani hamkumbuki kwa Mnyeti? Hamkumbuki kwa Gelas Bakanwa? Mteuaji ndiye anayependa majitu ya hovyo kama hili! Dawa yao ni Mwamwindi tu!
...nimemkumbuka sana huyu mzee. RiP alikufa kishujaa sana kwa kuukataa unyanyasaji wa hawa walevi wa madaraka.
 
Uyu DC inatakiwa muda huu awe kasimamishwa kazi,, kama ataachwa aendeleee kuna siku hawa Kwa jinsi magufuli anavyowabeba, watakuja kuua mtu Kwa kibri tu, maana watajua rais atawatetea hata wafanye nini
Ahhhhh Mina cute mbona kuua washaua sana hao wateule wa Magu kumbuka yule mkurugenzi wa wilaya moja kule Singida alivyovamia ibada kanisani na kuua mtu na tena mteule huyu ni ndugu yake Magu, huyu mtu ana kiu nzito ya damu na hata zikimwagika vipi hazitoshelezi kiu yake yaan mapepo aliyonayo ni yale ya madhabauni mwa shetani mwenyewe
 
Back
Top Bottom