Del a boss
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 395
- 502
Yaani hili sakata lingine kuta mimi nahisi saa hii ningekuwa maiti au nyuma ya nondo. Uonevu kwangu mwiko lazima huyu ku***Dc nimle kichwa
Huwezi sikiliza upande mmoja uka conclude ndiyo maana hata mahakamani wanasikilizwa wote sasa wewe kuona clip tu mapovu kibao hujui clip inaweza kuwa edited? Mtu makini huwa hatoi uamuzi mpaka asikie na upande wa pili. Tayari umeshaanza kuita watu wapumbavu simply umepata facts za upande mmoja!! That is asshole mkuu!
Sio suala la kukurupuka, tusubiriKama isingekuwa CCM tungeona hatua at once.
Hili suala limeibuliwa jana/juzi kwanini unalazimisha maamuzi ya haraka kiasi hicho as if una maslahi nalo, serikali haifanyi lazi kama ambavyo ww inafikirikwani aliyemteuwa ni mweyekiti wa Chama gani??? Kwanini mpaka sasa anamuacha ofisini??
Je yakifanyika mazuri huwa mnamsifia mtendaji au au mnaisifia CCM ???
Mbona sioni jambo la kutia mtu hatiani....kwenye clip hizi !!
Kwani yule aliyeuwa kule Itigi ysliishia wapi?Uyu DC inatakiwa muda huu awe kasimamishwa kazi,, kama ataachwa aendeleee kuna siku hawa Kwa jinsi magufuli anavyowabeba, watakuja kuua mtu Kwa kibri tu, maana watajua rais atawatetea hata wafanye nini
Sabaya atapewa U RCTatizo kubwa ninaloliona mimi ni moja....
Kwamba, tukio hili limefanyika jimboni kwa Freeman Mbowe (KUB) - CHADEMA....
Kinachokuja haraka haraka kichwani mwangu ni hiki;
Kumpiga chini Ole Sabaya, ni kumpa ushindi Freeman Mbowe na CHADEMA hapo HAI japo kiuhalisia mpaka hapa tuhuma dhidi ya DC huyu zinaelemea upande wake kuwa, NI ZA KWELI....!!
Sasa, mkubwa atafanya nini hapa??
Ngoja tuone...
Hizo ni kwa wenye akili timamu tu mazee.Nimeangalia video Mbili kama mtu akiniuliza kinaendelea nini hapo hata sielewi.
Naona maneno mengi yanaongelewa lakini nikitumia akili ndogo Kabisa sioni connection na hata aura za watu hazionekani
Wewe unauliza kana kwamba siyo mwana CCM?Hivi bado ni DC hadi sasa??? Utani huu
Ina maana Rais hajui hii michezo ya wateule wake?Nampongeza sana Swai kwa kitendo chake cha ujasiri. Bila yeye kufanya hivi hawa majinuni wangeendelea kunyanyasa wafanyabiashara.
Hata makonda kafanya sana michezo hii.
Walionewa na makonda hawakuwa na uthubutu wa kukusanya ushahidi.
Tulishaona hadi gari la drug dealer likiwa nyumbani kwa Makonda.
Mtetezi wa wanyonge endelea kukaa kimya
Ana Mghwira Ana mtihani mzitoUyu DC inatakiwa muda huu awe kasimamishwa kazi,, kama ataachwa aendeleee kuna siku hawa Kwa jinsi magufuli anavyowabeba, watakuja kuua mtu Kwa kibri tu, maana watajua rais atawatetea hata wafanye nini
Huu ndio mda wa majambazi
umechelewa sana mkuu , More videos to come , mtakimbiana kudadeki ! washamba ni washamba tuKwaiyo rushwa ndo inaendaga kupokelewa na mabunduki ?? Nyumbu acheni kutapatapa
Kumekucha
Haki tu itendeke katika hili.