chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,569
- 28,486
[emoji26]CCM ni chama chenye unyama mwingi mno !
[emoji26]CCM ni chama chenye unyama mwingi mno !
Magufuli alijua kweli??Hivi unyama alioutenda Sabaya Hayati Magufuli hakuujua au ndio aliyemtuma ? what A President !
Hawa walikuwa wanaongea na maofisa wa TRA Magufuli akiwa mzima wa Afya njema , ulisikia akichukua hatua zozote ?Magufuli alijua kweli??
Aisee!Awamu hii kuna wizi kuliko awamu nyingine zote.
Wanachofanya wateule wa rais ni kupitia kwenye ukali wa rais kujinufaisha. Huu ni ujambazi wa wazi kabisa.
CCM ni chama chenye unyama mwingi mno !
Sijui kama alijua ila kuna baadhi ya aliyowateua walijua kucheza na akili
Zake
Ova
Hiyo kawaida ila ya huyu ole imezidiWapo wanajipanga kumchezea Samia pia
Wasubiri kunyolewa bila maji
Kabila la hovyo kabisaLiarusha halinaga akili
Jiwe alitaka viongozi wahuni ili kufanikisha mambo yake maovuHiyo kawaida ila ya huyu ole imezidi
Ila kwa wanaoijua historia yake wala
Hawashangai...ila cheo alichopewa kilikosea
Njia
Ova
Ajue Mabeberu wanaoweka sumu kwenye Barakoa asijue hawa wateule walio nchini kwake ?Sijui kama alijua ila kuna baadhi ya aliyowateua walijua kucheza na akili
Zake
Ova
Maneno kuntu .Ajue Mabeberu wanaoweka sumu kwenye Barakoa asijue hawa wateule walio nchini kwake ?
CCM ni kikundi cha watu wa ajabu sana !Huyu Bichwa akipata tena uteuzi litakuwa jambo la ajabu sana
CCM ni kikundi cha watu wa ajabu sana !
VUNJA IFUNGUKEHaifunguki!