Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

mhhh kwa hali hii na malalamiko na mioyo ilopondeka kwa udhalimu na uonevu wa serikali hyo ilopita. Mungu amejibu kwa namna nyingine..
 
Hivi ndivyo Jukwaa Makini la JF lilipoanza kuripoti Uharamia wa Sabaya kwa vielelezo
, Tena bila kuogopa kutekwa , ilikuwa enzi za mwendazake
 
Jambazi sabaya habari yake kwisha ,mwili umepukutika wote ,ung'avu umeisha wote sasa rangi kama ya msouth sudan!!
 
Back
Top Bottom