Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

Sakata la Sabaya: CCTV zaanza kutema cheche

Nampongeza sana Swai kwa kitendo chake cha ujasiri. Bila yeye kufanya hivi hawa majinuni wangeendelea kunyanyasa wafanyabiashara.
Hata makonda kafanya sana michezo hii.
Walionewa na makonda hawakuwa na uthubutu wa kukusanya ushahidi.

Tulishaona hadi gari la drug dealer likiwa nyumbani kwa Makonda.

Mtetezi wa wanyonge endelea kukaa kimya
Hapo mstari wa mwisho hebu edit kidgo isomeke "mtetezi wa wanyonyaji".
 
Nampongeza sana Swai kwa kitendo chake cha ujasiri. Bila yeye kufanya hivi hawa majinuni wangeendelea kunyanyasa wafanyabiashara.
Hata makonda kafanya sana michezo hii.
Walionewa na makonda hawakuwa na uthubutu wa kukusanya ushahidi.

Tulishaona hadi gari la drug dealer likiwa nyumbani kwa Makonda.

Mtetezi wa wanyonge endelea kukaa kimya
Kuna mipango wa kumdhuru inaratibiwa na Sabaya
 
4:12am.

Sabaya kwa kupanic anaweza akapayuka na kuagiza bwana Swai akamatwe kwa kosa la kufunga CCTV bila kufuata kanuni na taratibu😂. Walidhani ni wao tu wenye uwezo kwa kutap voices. Hii ni trailor. Akibisha, wanarelease msgs za miamala na voice clips.
 
Walivyo wajinga hawa wahuni wanaosukumiziwa madaraka yanayowazidi kimo ni kwamba hawajifunzi wala kubadilisha mbinu za kujinufaishaa au kuwanufaisha wanaowatuma. Tunaambiwa mfuko wa CCM sasa umetuna...swali ni kwa pesa zipi? Je ni kwa pesa zinazotokana na dhulma kama hizi? Bashite alivamia Clouds FM kwa bunduki akaambiwa aendelee tu kuchapa kazi na leo tunaambiwa ni tajiri wa kutupwa. Mnyeti alidai rushwa kwa nguvu, TAKUKURU ikadai ushahidi ulitolewa hautoshelezi na akapandishwa cheo. Kwa kweli hakuna awamu iliyokuwa na uthubutu wa kuwadhulumu Watanzania kama hii.
 
Back
Top Bottom