King Zenji
Senior Member
- Feb 18, 2008
- 178
- 18
Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Ha ha haaa...hivi hata kama ina UKWELI wowote clip ile iso na mwanzo wala mwisho..muhusika mkuu (LWAKATARE)..akisema nilikua natengeneza MOVIE flan hivi..na ile ni sehem tu ya SCRIPT ya movie husika ....mtamfanya nn???,,,manake haonekan muhusika mwingine yeyote zaid ya yule dada (sijui muhudumu yule???) anaepita pale...hii kesi haina MASHIKO zaidi ya kujaribu KUUKOMOA upande wa pili.