Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

pitia thread kibao za the so called makamanda uone nyingi zilivyojaa uhalo na masifa yasio na mashiko kwa baadhi viongozi wa cdm.
That is your personal assingment to exprole fake kamanda's in this jf.

I now understand what you have been smoking.........reefer
 
pitia thread kibao za the so called makamanda uone nyingi zilivyojaa uhalo na masifa yasio na mashiko kwa baadhi viongozi wa cdm.
That is your personal assingment to exprole fake kamanda's in this jf.

Nobody can argue with you "bado mtoto":

Join Date : 13th March 2013
 
Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?

Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Inategemea definition na interpretation ya ugaidi kisheria na si mkanda wa video
 
Tundu Lissu amefanya Press muda mfupi uliopita. Anasema
1. Anafungua kesi Mahakama kuu kuiomba iiamuru Mahakama ya Kisutu kuendelea kusikiliza kesi ya awali iliyofutwa na DPP katika kesi inayomhusu Lwakatare kwani DPP amevuka mipaka yake inayomruhusu kufuta kesi na isitoshe kesi aliyofungua ni ile ile hivyo Mahakama iamuru shauri la awali liendelee.






2. Kuhusu video iliyoonyeshwa kwenye mitandao Lissu anasema kuna mashaka makubwa sana kuhusiana na video ile na kisheria kesi hiyo ikifika mahakamani haitachukua hata nusu saa ataibuka mshindi.

Lissu anasema
- Hakuna mtu anayepanga mauaji katika hadhara mahali ambapo watu wanapitapita kama inavyoonekana kwenye video ile.
-Lwakatare kama alirekodiwa basi lazima ielezwe je ilikuwa ni kwa hiari yake kama si hivyo ni makosa
-Issa Michuzi Mpiga picha wa Rais alikuwa akipongezana na watu wa Ikulu wenzake kuwa TISS (Usalama wa Taifa) wamefanya kazi nzuri kwa kurekodi ile video. Kisheria usalama wa taifa hawatakiwi wala hawaruhusiwi kurekodi au kuvifanyia ushushu vyama vya siasa kwa maslahi ya Chama tawala.
-Ludovick baada ya kukutana na Rwakatale tarehe 28Dec saa 5 muda mfupi baadae yaani saa 5:59 alimpigia simu Mwigulu Nchemba kwa kutumia namba ya simu ya Mwigulu ambayo ameiandikisha kwenye kumbukumbu na vitabu vya Bunge Lissu anadai wana rekodi ya mazungumzo yao.
-Siku iliyofuata tarehe 29Dec akiwa kwenye kipindi cha Tuongee asubuhi cha Star TV alidai ana mkanda wa video unaowaonyesha CHADEMA wakipanga mauaji.
-Pia amedai itabidi waambiwe video hiyo imerekodiwa studio gani, maneno gani yameondolewa na yapi yameongezwa.
Anamalizia kwa kusema walianza kwa kusema CHADEMA ni chama cha familia wakashindwa, wakasema ni chama cha wachaga wakashindwa, wakesema ni chama cha wakatoliki wakashindwa, wakasema ni chama cha wakristo wakashindwa, wakasema ni chama cha ukanda wakashindwa leo wanasema ni chama cha kigaidi WATASHINDWA. Press nzima itakuwa www.chadema.tv muda mfupi ujao

Kumbe kumrekodi mtu bila hiari yake ni makosa, sikulijua hili...
 
Lwakatare kama alirekodiwa basi lazima ielezwe je ilikuwa ni kwa hiari yake kama si hivyo ni makosa
Kumbe investigative journalism Tanzania kwa kutumia video ni makosa ambayo unashitakiwa mahakamani. DUh, Kwangu hii ni MPYA.
 
Kwa faida yetu tusiyojua maana ya ugaidi, ebu tueleze nini maana ya ugaidi.

There is neither an academic nor an international legal consensus regarding the definition of the term "terrorism". Various legal systems and government agencies use different definitions of "terrorism". Moreover, the international community has been slow to formulate a universally agreed upon, legally binding definition of this crime. These difficulties arise from the fact that the term "terrorism" is politically and emotionally charged.


Angus Martyn in a briefing paper for the Australian Parliament has stated that "The international community has never succeeded in developing an accepted comprehensive definition of terrorism. During the 1970s and 1980s, the United Nations attempts to define the term foundered mainly due to differences of opinion between various members about the use of violence in the context of conflicts over national liberation and self-determination." These divergences have made it impossible to conclude a Comprehensive Convention on International Terrorism that incorporates a single, all-encompassing, legally binding, criminal law definition of terrorism.


In the meantime, the international community adopted a series of sectoral conventions that define and criminalize various types of terrorist activities. In addition, since 1994, the United Nations General Assembly has condemned terrorist acts using the following political description of terrorism: "Criminal acts intended or calculated to provoke a state of terror in the general public, a group of persons or particular persons for political purposes are in any circumstance unjustifiable, whatever the considerations of a political, philosophical, ideological, racial, ethnic, religious or any other nature that may be invoked to justify them."


A 2003 study by Jeffrey Record for the US Army quoted a source (Schmid and Jongman 1988) that counted 109 definitions of terrorism that covered a total of 22 different definitional elements.[7] Record continued "Terrorism expert Walter Laqueur also has counted over 100 definitions and concludes that the 'only general characteristic generally agreed upon is that terrorism involves violence and the threat of violence.' Yet terrorism is hardly the only enterprise involving violence and the threat of violence. So does war, coercive diplomacy, and bar room brawls".

As Bruce Hoffman has noted: "terrorism is a pejorative term. It is a word with intrinsically negative connotations that is generally applied to one's enemies and opponents, or to those with whom one disagrees and would otherwise prefer to ignore. (...) Hence the decision to call someone or label some organization 'terrorist' becomes almost unavoidably subjective, depending largely on whether one sympathizes with or opposes the person/group/cause concerned. If one identifies with the victim of the violence, for example, then the act is terrorism. If, however, one identifies with the perpetrator, the violent act is regarded in a more sympathetic, if not positive (or, at the worst, an ambivalent) light; and it is not terrorism." For this and for political reasons, many news sources (such as Reuters) avoid using this term, opting instead for less accusatory words like "bombers", "militants", etc.


In many countries, acts of terrorism are legally distinguished from criminal acts done for other purposes
 
Lissu

- Hakuna mtu anayepanga mauaji katika hadhara mahali ambapo watu wanapitapita kama inavyoonekana kwenye video ile.
-Lwakatare kama alirekodiwa basi lazima ielezwe je ilikuwa ni kwa hiari yake kama si hivyo ni makosa
-Issa Michuzi Mpiga picha wa Rais alikuwa akipongezana na watu wa Ikulu wenzake kuwa TISS (Usalama wa Taifa) wamefanya kazi nzuri kwa kurekodi ile video. Kisheria usalama wa taifa hawatakiwi wala hawaruhusiwi kurekodi au kuvifanyia ushushu vyama vya siasa kwa maslahi ya Chama tawala.
-Ludovick baada ya kukutana na Rwakatale tarehe 28Dec saa 5 muda mfupi baadae yaani saa 5:59 alimpigia simu Mwigulu Nchemba kwa kutumia namba ya simu ya Mwigulu ambayo ameiandikisha kwenye kumbukumbu na vitabu vya Bunge Lissu anadai wana rekodi ya mazungumzo yao.
-Siku iliyofuata tarehe 29Dec akiwa kwenye kipindi cha Tuongee asubuhi cha Star TV alidai ana mkanda wa video unaowaonyesha CHADEMA wakipanga mauaji.
-Pia amedai itabidi waambiwe video hiyo imerekodiwa studio gani, maneno gani yameondolewa na yapi yameongezwa.
Anamalizia kwa kusema walianza kwa kusema CHADEMA ni chama cha familia wakashindwa, wakasema ni chama cha wachaga wakashindwa, wakesema ni chama cha wakatoliki wakashindwa, wakasema ni chama cha wakristo wakashindwa, wakasema ni chama cha ukanda wakashindwa leo wanasema ni chama cha kigaidi WATASHINDWA. Press nzima itakuwa www.chadema.tv muda mfupi ujao


NOTE: Nimependa kauli ya Lisu
Kuhusu video iliyoonyeshwa kwenye
Kuhusu video iliyoonyeshwa kwenye mitandao Lissu anasema kuna mashaka makubwa sana kuhusiana na video ile na kisheria kesi hiyo
ikifika mahakamani haitachukua hata nusu saa ataibuka mshindi.​
 
Kwa wale waliokuwa wanasema hiyo video siyo ya Lwakatare nafikiri jibu limepatikana vizuri ila point wanayoshikilia wanasheria ni kuhusu sound editing kama wanavyosema hapa chini.





Naona ufahamu umeanza kuwarudia taratibu. Mwisho wa ubaya ni aibu na dawa ya NJAA ni kufanya kazi kwa bidii na sio kujikomba kwa akina Mwigulu na Nape

I am telling u mtu aliyepata F ya Maths kama Nape hana akili ya kupanga mchezo mchafu ambao uta prevail mbele ya haki
 
Terrorism is the systematic use of terror, often violent, especially as a means of coercion. In the international community, however, terrorism has no legally binding, criminal law definition.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] Common definitions of terrorism refer only to those violent acts which are intended to create fear (terror); are perpetrated for a religious, political or, ideological goal; and deliberately target or disregard the safety of non-combatants (civilians). Some definitions now include acts of unlawful violence and war. The use of similar tactics by criminal organizations for protection rackets or to enforce a code of silence is usually not labeled terrorism, though these same actions may be labeled terrorism when done by a politically motivated group. The writer Heinrich Böll and scholars Raj Desai and Harry Eckstein have suggested that attempts to protect against terrorism may lead to a kind of social oppression.[SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP]
The word "terrorism" is politically and emotionally charged,[SUP][5][/SUP] and this greatly compounds the difficulty of providing a precise definition. Studies have found over 100 definitions of "terrorism".[SUP][6][/SUP][SUP][7][/SUP] The concept of terrorism may be controversial as it is often used by state authorities (and individuals with access to state support) to delegitimize political or other opponents,[SUP][8][/SUP] and potentially legitimize the state's own use of armed force against opponents (such use of force may be described as "terror" by opponents of the state).[SUP][[/SUP][QUOTE=Kyenju;5967998]Kwa faida yetu tusiyojua maana ya ugaidi, ebu tueleze nini maana ya ugaidi.[/QUOTE]
 
Na kibaya zaidi wanataka L abakie police kwa upelelezi zaidi ili badae wamchomoe kiaina,bora hakimu kawachomolea kwani angeaibisha Taaluma yake!

Mungu stil yupo upande wa CDM
kama kuna kosa kubwa maccm walibugi ni kuwapa uongozi wa chama watu kama kikwete,mwigulu,wasira na nape! hii movie ya kijinga lazima imewashirikisha wote hawa wanne na waganga njaa wengine! sidhani kama kinana, mangula, salim,tibaijuka wanaweza shiriki ktk vikao vya kupanga upumbavu kama huu!
 
Issa Michuzi Mpiga picha wa Rais alikuwa akipongezana na watu wa Ikulu wenzake kuwa TISS (Usalama wa Taifa) wamefanya kazi nzuri kwa kurekodi ile video. Kisheria usalama wa taifa hawatakiwi wala hawaruhusiwi kurekodi au kuvifanyia ushushu vyama vya siasa kwa maslahi ya Chama tawala.

Hapa anakubali kile kilichofanyika ni kweli lakini waliokifanya hawakupaswa wawe wao. Mmmmh.

Kwani hiyo video polisi wameipata wapi?. Na nani aliye record?.
 
Kikwete na serikali yako, maisha yenu hapa duniani ni mafupi sana. ila mna safari ndefu sana huko akhera?
RAIS DHAIFU JAKAYA KIKWETE, utajibu nini kwa MUNGU wako siku y kiyama?
 
Nyongeza: kuhusu video amesema tayari kuna ushahidi wa kimawasiliano baina ya Mwigulu Nchemba ya tarehe 28.12.2012 wakiwasiliana na Ludovick saa 5:55 asubuhi , na Lwakatare amesema kuwa yeye alikutana na Ludovick kuanzia saa tano asubuhi tarehe 28.
Nilijua tangu awali, kwamba kama mpango huu haukupangwa na Lwakatare na Ludovick kwapamoja, basi lazima mmoja wapo alishiriki.... Mwisho wa siku tutaujua tu ukweli. Na kwa hatua hii hawawezi kumkana Ludovick tena, kama kweli wangekuwa hawajuani, angemruhusu vipi kwenda nyumbani kwake na kuzungumza waliyozungumza?



Maelezo aliyotoa Lwakatare polisi kuhusu maneno yaliyoko kwenye video alisema kuwa yeye anakumbuka siku ya tarehe 28, alikuwa nyumbani kwake na Ludovick ndio alienda kwake , ila picha ya video ni ya kwake , sura ni ya kwake ila baadhi ya maneno yaliyoko sio ya kwake na ameandika hivyo , kwa hiyo kuhusu ukweli wa mkanda majibu ya kina yanatakiwa kutoka polisi
Utam kolea... wameanza kukubali wenyewe kwamba mkanda ule una ukweli ndani yake ee? haya na tuwe wapole tusubiri majibu ya polisi. Ha ha ahaaaa
 
Kumbe Mwigulu Nchemba ile zuga ya kutuletea uzi hapa kuwa anaenda JKT alikuwa anajua kabisa baada ya kwenda huko nini kitakachotokea....

Mbaya zaidi pamoja na mipango yao yote hii ya ghilba dhidi ya watanzania, KIBANDA waliyemuweka kama kafala ndio kaishatolea jicho na ana maumivu makali, pia wameshindwa kuhamishia ishu ya Lwakatare kwa Kibanda na huyo Msacky waliyemtumia kumbe ndie waliyeshirikiana kupanga njama.

Inahitaji uwe chizi kuwaamini waandishi wa habari wa nchi hii, walishaaminishwa na maccm kuwa huwezi kuendesha maisha bila kujipendekeza
 
Naona ufahamu umeanza kuwarudia taratibu. Mwisho wa ubaya ni aibu na dawa ya NJAA ni kufanya kazi kwa bidii na sio kujikomba kwa akina Mwigulu na Nape

I am telling u mtu aliyepata F ya Maths kama Nape hana akili ya kupanga mchezo mchafu ambao uta prevail mbele ya haki
Tatizo unaongea hata hujui unachoongea ni nini?. Ufanyishe kazi ubongo wako kujua angalau nini na kwa style ipi unaandika hata kabla ya kuelewa kile nilichokiandika. You're just all over the place.
 
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!

Kuwa na akili angalau kidogo tu Tundu Lissu alijidhalilisha vipi? kama sio serikali ndo ilijidhalilisha na itaendelea kujidhalilisha zaidi siku zinavyoendelea.
 
wewe hata kiswahili huelewi? Lwakatare amesema kuwa kwenye ile video, picha ni ya kwake, halafu hiyo siku yeye hakuwepo huko eneo inakoonekana ilichukuliwa lakini Ludovick alifika nyumbani kwake siku hiyo video ilipochukuliwa. Baadhi ya maneno ni yake lakini mengine siyo yake.

Kwa haraka, hii ina maana gani? Ludovick ndiye aliyemrekodi Lwakatare alipoenda nyumbani kwake. Baada ya kurekodi, nahisi kwa kutumia simu, alikwenda ku-edit video hiyo ili ionekana kama inavyoonekana. Lakini kuna uwezekano mkubwa kuwa video hiyo imekuwa edited zaidi ya mara moja, ndiyo maana ile iliyopo kwenye Youtube inatofautiana na ile waliyo nayo polisi.

Mkuu Bams,

Sasa naanza kupata mwanga. Kuna mdau mmoja majuzi alielezea sababu kadhaa za kwa nini ile video ya youtube iwe ni 'feki'. Mojawapo ya sababu alizoeleza ni kwamba, kuna mahali inasikika watu wanakoroga chai na kijiko kinawekwa mezani. Lakini watu hao hawaonekani na WL anaonekana anaongea tuuu, pasipo kuwa interfered na tukio la chai.

Hapa napata jibu moja; Ludo alipofika kwa WL, akikaribishwa chai na akawa anarekodi mazungumzo yao kwa simu au kwa njia yeyote na baada ya hapo akatumia hayo maneno baadhi kuingiza kwenye script lakini akasahau kufuta vijiko vikikoroga chai.

Twende mahakamani, tutayajua mambo mengi!

Cc Molemo
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni muumini wa gazeti la
uhuru manake ndio gazeti pekee lililoandika hayo ingekuwa kweli TBC!
siwangeonyesha kila baada ya saa

hawaruhusiwi kuchukua picha wakati kesi inaendelea!
 
Siku zote uwongo haijawahi kushindwa na haki!
Mafisadi mbinu zao ziko mkononi mwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo!
 
Back
Top Bottom