Hizi ndio mbinu za biashara nilizojifunza kutoka kwa muuzaji nguli wa simu Kariakoo

Its Jensen

Member
Mar 30, 2023
14
18
Habari wana Jamvi, ni matumaini yangu mpo salama kabisa, mnaendelea kuchapa kazi na kutafuta tonge

Katika uzi wangu uliopita nilizungumzia mbinu mbalimbali ambazo unaweza kuzitumia katika biashara yako kuongeza mauzo na wateja pasipo kuongeza gharama za matumizi yako na kuendelea kumaintain mtaji wako hasa kwa wale wafanyabiashara wadogo wadogo, kama hukupata nafasi ya kuusoma unaweza upitia ukapata madini zaidi

Kwenye tamasha lililopita la TOT linalofahamika kama "TOT Bonanza" nilipata nafasi ya kukutana na rafiki angu ambaye ndiye alinipokea na kunikaribisha wakati naingia kidato cha tano miaka hio, baada ya kukutana nae tulipiga story nyingi sana, kuhusu maisha ya shule, chuo pia swala la maisha yetu ya sasa, kwa sasa yeye ana duka kubwa la simu pale makumbusho.

Kwa sasa ni mfanyabiashara mzoefu wa biashara ya simu lakini kupitia biashara yake hio ameweza kujifunza mambo mengi sana ambayo natumaini hata wewe unaweza yatumia kama mfano kwenye biashara yako na ukaweza kudumu kwa mda mrefu na hivyo ukaweza kuongeza mauzo

Miongoni mwa kitu alichojifunza kikubwa ni kufanya utafiti wa kina kuhusu soko la biashara yake na washindani wake (kwenye kitabu changu cha Mauzo booster niliongelea kwa kina jinsi ya kufanya utafiti wa kina kwenye soko na kuua ushindani wa biashara, hii inapelekea kupata wateja wengi na mauzo mengi )kwa mfano Bidhaa zipi zinatoka, bei gani zinauzwa, wapi wanauza kwa bei ndogo na pia nani anauza, haya ni mambo ya msingi ambayo wewe kama mfanyabiashara unatakiwa kuyazingatia kwa kina ili uweze kuongeza wateja na mauzo

Swala lingine lilikua ni njia gani utaweza kuuza mzigo wako kwa mda mfupi na kupata faida kubwa, hili limekua ni swala ambalo linasumbua sana watu wengi, mtu anaanza biashara akiwa na mawazo yake kichwani kwamba atafanya A,B,C mzigo utakua umeisha, sasa anapokuja sokoni anakutana na kitu kipya kabisa, mzigo hauendi huku akiangalia wennzake kila wiki wanaagiza mizigo mipya, hapo ndipo yanakuja mawazo ya nimerogwa kumbe tatizo lake hajajua namna gani atauza mzigo wake na wateja wake ni wa namna gani, kuna mbinu nyingi sana za kufanya mauzo ambazo nimezielezea kwenye kitabu changu cha mauzo booster nafikili walionunua awamu ya kwanza watakua wanakitu wamejifunza.

Pia aliweza kujifunza jinsi ya kutengeneza mkakati sahihi wa biashara yake, hii haijarishi wewe ni mfanyabiashara wa aina gani, mkakati mzuri wa biashara ndio nguzo ya kukua kwa biashara yako, mfano angalia wahindi au wasomali pale kariakoo unajua kwa nini wameweza kudumu kwa miongo na miongo kwenye biashara zao ? huku wewe biashara yako haimalizi hata mwaka inakua imekufa au inaendelea kuwepo lakini imekula mtaji wote, yani unakua na biashara ya kujikokota kokota ni sababu hauna mkakati mzuri juu ya uendeshaji wa biashara yako

Ndio mana nimeamua kukuletea kitabu ambacho kitakua mentor kwako kitakupa mbinu zote za biashara , siri ambazo matajiri wanazitumia kukuza biashara zao, siri ambazo kampuni la volkswagen walizitumia miaka hio kuweza kuwin soko la magari huko ujerumani kwa kiasi kikubwa

Kumbuka! Offa hii ni ndani ya masaa 48 tu na baada ya hapo haitakuepo tena, na madini hayo yote utayakosa, kumbuka biashara ni akili nambinu ndio mana wazungu wanawekeza sana kupata maarifa na biashara zao zinasiamama kwa mda mrefu

Uwe na siku njema huku ukisherekea ushindi wa wananchi
1686657582.jpg
 
Kitabu hiki utakipata kwa gharama ya Tsh 9,999 Tu badala ya Tsh 39,999 ambayo ndio bei yake utalipia kwenda namba 0759952554 jina (sidonia) kisha utanitumia screenshot ya muamala whatsapp na utapatiwa kitabu chako + Offa kwa wale watu 10 wa mwanzo, na hii ni offa kwa watu 10 tu wa mwanzo watakao wahi kulipia, na pia watapatiwa offa ya siri ambayo hautaipata popote

Kumbuka! Offa hii ni ndani ya masaa 48 tu na baada ya hapo haitakuepo tena, na madini hayo yote utayakosa, kumbuka biashara ni akili nambinu ndio mana wazungu wanawekeza sana kupata maarifa na biashara zao zinasiamama kwa mda mrefu

Uwe na siku njema huku ukisherekea ushindi wa wananchi
View attachment 2656037
La le li lo lu..
Ra re ri ro ru...
Jifunze matumizi sahihi mwalimu wa biashara
 
Back
Top Bottom