Sajuki anaendelea vema mda wowote atarejea nyumbani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sajuki anaendelea vema mda wowote atarejea nyumbani

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Yericko Nyerere, Jun 3, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Sekion Devidi kiongozi wa kundi la Orijino Komedi anasema:

  Nimezungumza na SAJUKI na mkewe Wastara kwa dakika 15;Dakika moja iliyopita! Afya yake inaimarika na anaweza rejea Tanzania mapema!

  MASANJA MKANDAMIZAJI nae anasema:

  Ndugu yetu Sajuki anaendelea vizuri! Muda si mrefu uliopita mkewe amezungumza kwa njia ya simu na mwakilishi wa kundi la Orijino Komedi!

  Hivyo UZUSHI uliotapakaa hapa na kwingine hasa ukianzia INDIA ktk mtandao wa Mehraj News na nchini Kenya ktk mtandao wa Kenya Daily News, kuwa msaniii wa maigizo wa Tanzania ndugu yetu SAJUKI ametutoka sio kweli!
   
 2. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  mungu ampe nuru njema, yule jibwa lililopotosha lijitokeze likanushe:A S 12:
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Watu wanakera sana, wanatuharibia tu jf yetu inaonekana ya waongo!

  Nitashukuru ikiwa yule bwana ataadhibiwa na mods waliopo!
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa. Mods, plz funga zile thread mbili za kilozi tafadhali.
   
 5. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Asante kwa taarifa vile vile hongera mods kwa kufunga zile thread za uzushi. Tunakuombea maisha marefu Sajuki.
   
 6. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Yule jamaa ni mpumbavu sana. Sijui linajisikiaje huko lilipo. Nafsi inakusuta wewe mjinga na mpuuzi mkubwa, hayawani tena malaya wa habari, taka taka we mwanaume au mwanamke usiyeoga. Kenge mkubwa, kimbulu mwenye njaa, paka shume ambaye hukamati panya kazi yako ni kuiba kuku za watu. Mwanakharamu na khanithi mkubwa kabisa, shetani wa mguu mmoja we. Ukome na ukomae akili yako ya matope siku nyingine usilete upuuzi wako hapa. Nyani kasoro mkia we DIALLO. Nyoko zako we, mshenzi mkubwa mbwa asiye fugika. Iwe mwanzo na mwisho kuwazushia kifo wenzako. Kufa wewe kama unataka. ****** wee.
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Haaahaaaa ebwaaanaeee kwa mara yakwanza nashuhudia matusi marefu kiasi hiki! Naamini jamaa hatarudia tena! Haahaaaahaa aaaaha!
   
 8. k

  kagame Senior Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duuh, dizaini ungebahatika kumuona huyo aliyeweka huo uzi wa kijinga na kizushi hakika ungemnyotoa roho maana kwa mitusi hii sikupatii maelezo jinsi ulivyoghadhibika.
   
 9. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Inauma sana mtu kumzushia mwenzie kifo bila kuwa na habari za uhakika.
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Ningekupokea mkuu lakini kengele za sabato zishaanza kugongwa huko nje nazisikia.

  Ila siwezi kumuacha ivihivi...
  ''ushuzi wako''
  Nyooooo
   
 11. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Mwe!

  Wanamagamba ndio wenye tabia ya kuiharibu taswira ya Jf kwa jamii, wanastahili matusi haya.
   
 12. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Duh pande hizi ni kwa watu wanaohitaji ban nini naona watu wanajiachia tu.Ijapokuwa kuleta uzushi ni mbaya na sisi nao tuangalie lugha zetu simnajua hasira hasara
   
 13. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,015
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wana-post habari ili wapate umaarufu tu, jamaa jana limeandika habari za kifo na akasema anakwenda kulala kwa uchungu alio nao.... kumbe habari hewa.!!!


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  Mkuu huwa unahusika na utunzi wa taarab?
   
 15. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Hakika Mungu ndiye muweza wa yote, azidi kukupa uzima kijana wetu urudi kuendeleza sanaa.
   
 16. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  Yule dogo SAJUTI SINA TATIZO NAE KABISA, SA AKITOKEA ******** kama huyo alieanzisha uzi wake inauma kido ila na JUMAKIDOGO Umezidisha maneno ya haja kubwa. JIFUNZE kutotoa maneno kama hayo kupitia mdomoni mwako, ungeweza kuyatoa via *(&^#! ****8 ingekuwa mwake lo!
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  upone haraka sajuki!
   
 18. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 280
  Chachandu la leo nn?
   
 19. k

  kisukari JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  alifanya vibaya,ila matusi ya namna hii,hayafai jamani.
   
 20. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  astaghafirulah x 3,haonekane na id ya uongo angekuwa live sipati picha,but ujumbe umefika
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...